Hidden Diamond
JF-Expert Member
- Jan 31, 2024
- 260
- 481
Jamani huyu ni last born kwenye familia yetu kapata division 2 ya kumi na moja,dogo anataka chuo asome mbeya na vyuo ambavyo ana vitamani ni mzumbe na T.I,A changomoto iliyopo ni kwamba dg o level alipata hesabu F na vyuo hivi kozi nyingi najua ni zile ambazo zinataka angalau hesabu uwe umefanya vizuri o level naomba Msaada jamani kwa HGl anaweza akosoma kozi gani kwa vyuo hivi viwili.