Mishahara ya Lecturers na Maprofesa wa vyuo vya makanisa ipoje kwa wastani ?

Mishahara ya Lecturers na Maprofesa wa vyuo vya makanisa ipoje kwa wastani ?

nguvu ya buku

Senior Member
Joined
Jul 15, 2025
Posts
168
Reaction score
549
Najua ni kazi ya wito zaidi na mishahara haiwezi kufikia ya wenzao wa vyuo vya serikali ila ningependa kujua estimation / Makadirio

Vyuo vya makanisa ni kama

Saut
Tumaini
Mwecau
Teku
CuoM
Ruaha
Jordan
Askofu Mihayo
Stella Maris
 
una ndoto au malengo ya kufanya hiyo kazi?
 
Back
Top Bottom