Samsung imetajwa kuwa ya kwanza kwenye orodha ya Forbes ya ‘Waajiri Bora Duniani 2022’ kwa mwaka wa tatu mfululizo.
Kwa ushirikiano na Statista, Forbes ilifanya utafiti kwa zaidi ya wafanyakazi 150,000 katika makampuni 800 duniani kote, yakiwemo makampuni kutoka Uingereza, Ujerumani, Marekani...