waajiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Spika Tulia aitaka Mifuko ya Hifadhi ya Jamii kuwalipa wastaafu hata kama waajiri hawajapeleka michango

    Dkt. Tulia Ackson ameihoji Serikali akitaka kujua nani anapaswa kuhakikisha michango ya mafao inayokatwa kwa wafanyakazi inapelekwa katika Mifuko ya Hifadhi ya Jamii. Pia ameitaka Mifuko kufatilia fedha kwa waajiri kwasababu sio wajibu wa mfanyakazi kujua michango imepelekewa au haijapelekwa...
  2. Meneja Wa Makampuni

    Wizara ya Nishati, tunaomba TPDC waajiri watu waliosoma fani za mafuta kwa usawa

    Kwako Wizara ya Nishati, Rejea Tangazo la ajira za shirika letu la mafuta, TPDC. AJIRA MPYA - Shirika limetoa ajira nyingi za kutosha lakini kuna baadhi ya fani za mafuta hazijatajwa kwenye Tangazo hilo ilihali watu wa fani hizo wanaweza fanya kazi hizo. Tunazo fani nyingi za mafuta na gesi...
  3. B

    Enyi Viongozi: Kwa kutushurutisha mnatukosea sana, waajiri wenu ni sisi

    Haisaidii kuacha kuwaambia bayana. Kwa Hakika mmejisahau mno. Kwamba mna agenda zisizokuwa na baraka zetu? Kwamba hata mna tozo mlizo asisi nyie, tusizoziafiki? Kwingine mbona si hivyo? Nyie hata mnatuasa kwamba kama vipi hata Burundi nayo ni nchi? Alisema Mwalimu: "Nchi siyo mashamba...
  4. T

    SoC02 Kukosekana kwa Ajira kwa Vijana Wengi Kumeibua Ajira Mpya kwa Waajiriwa

    Kuna Wimbi kubwa sana la Vijana mtaani wanaomaliza masomo yao katika Ngazi mbalimbali za Elimu lakini vijana hao wapo mtaani wakihaha na Kuwaza ni lini watapata Ajira Rasmi, Ilhali wapo Vijana ambao walichukua Uamuzi wa Kujiongeza na kuthubutu kujiajiri kutokana na kile walichokipata wakati...
  5. N

    Ushauri kwa waajiri

    Kama mna ndugu zenu na mnapanga kuwapa nafasi mnazotangaza kindugundugu basi acheni kusumbua watoto wa maskini kwa kuwaalika kwenye saili zenu feki. Unakuta watoto wa maskini wanakopa hadi nauli kwaajiri ya kuhudhuria saili zenu kumbe ni formality tu na mshaandaa watu wenu wa kuwapa hizo...
  6. I

    Hivi vyeti vinavyotolewa online na mashirika kama google na etc vina soko kwa waajiri?

    Kama kichwa cha habari hapo kinavouliza. Je hizi online course zinasaidia kwenye kupata ajira kweli? Maana kama ni skills kweli mtu unajifunza ila je vyeti vinavyopatikana kwa njia hii viko marketable?
  7. Chachu Ombara

    Waziri Nape: Natoa siku 7 waajiri kuwalipa Waandishi wa Habari waliofariki kwenye ajali. Tambueni tu leseni zenu ziko kwangu

    Waziri wa Habari na Mawasiliano ya teknolojia ya Habari Nape Nnauye ni miongoni mwa waliofika uwanja wa Nyamagana kuungana na RC Mwanza, Injinia Robert Gabriel na Waombolezaji wengine kuaga miili ya Waandishi 6 waliofariki kwenye ajali jana. Natoa siku saba kuanzia leo kwa waajiri wote, kama...
  8. Konseli Mkuu Andrew

    Serikali inawachukulia hatua gani waajiri wanaoipatishia hasara serikali kwa kufukuza kazi watumishi kihuni?

    Kumezuka tabia ya watumishi wa umma kufukuzwa kazi kihuni na waajiri wao na kutokana na kutofuraishwa na kufukuzwa kwao , watumishi hao huwa wanaenda kufungua malalamiko huko CMA Commission for Mediation and Arbitration na mwishowe huwa maamuzi hufikiwa idara hiyo ya serikali hutakiwa kumlipa...
  9. K

    Bora uuze mayai au uuze utu wako kwa waajiri?

    Vijana mnalochaguo moja tu Tanzania. Aidha, ujiajiri ubaki kusimamia unachoamini kwa utashi wako Ni sahihi au uajiriwe uelekzwe nini uamini na kutenda. Awali tumejionea vijana wasio na miradi yakueleweka walivyonyanyaswa. Na kundi hili kwa kuona aibu kila likisikia njaa likiwa upande mmoja...
  10. Teleskopu

    Waajiri wanahangaika kutafuta wafanyakazi

    Ulaya na Marekani kumeanza kujitokeza uhaba wa waajiriwa! Nirudie tena: Sio uhaba wa kazi, bali uhaba wa wanaotafuta kuajiriwa. Swali ni kuwa: Watu wameenda wapi? Makala moja iliyopostiwa juzi tarehe 14/9 inasema: A survey of nearly 45,000 employers across 43 countries showed 69 per cent of...
  11. Hell is real

    Kwanini waajiri wengi hawapendi house girl wenye watoto?

    Habari wakuu!! Siku hizi kuna uhaba mkubwa wa house girl, waajiri wengi hawapendi wadada wenye watoto, tatizo ni nini??? Wakati hiyo ni kazi kama kazi zingine. Kwa upande wangu mm naona huu ni ubaguzi na unyanyasaji Kwenye swala nzima la ajira!!!
  12. I

    Kwanini waajiri wengi wanaamini vyeti?

    Hasa shule hizi za watu binafsi wanaamini sana vyeti. Unaweza kuta mtu alimaliza form four akapata A's za physics na mathematics lakini akaamua kwenda kusoma HGL just kwa kupenda tu lakini siyo kwa kufeli. Ila unakuta labda uliamua kusoma sheria na huna ajira na baadae ukaamua uaply kufundisha...
  13. M

    SoC01 Namna bora ya Waajiri kuwakomboa Watumishi wao na kadhia ya madeni katika Taasisi za Kifedha

    Utangulizi Kwa muda mrefu kumekuwapo na kilio cha watumishi wa umma na taasisi za binafsi wakilalamikia masharti magumu wanayokumbana nayo katika taasisi za kifedha nchini ikiwemo riba kubwa za mikopo wanayoomba kwenye taasis hizo. Mabenki na taasisi hizo humvutia mkopaji kwa kumuwekea...
  14. T

    Ushauri kwa waajiri katika swala la matangazo ya ajira

    Mimi ni kijana mtanzania ambaye nimemaliza elimu ya chuo kikuu kada ya ualimu wa sayansi na nimehudhuria usaili mara kadhaa na leo nataka nizungumzie swala la matangazo ya ajira kwa taasisi zinazotoa ajira. Ajira ni changamoto ambayo inatukabili vijana wengi sana na inapotokea tangazo la ajira...
  15. T

    Ushauri kwa wito wa waajiri ambao wanatuma matangazo ya ajira ili hali tayari wana mtu wa kujaza nafasi hiyo

    Mimi ni kijana mtanzania ambaye nimemaliza elimu ya chuo kikuu kada ya ualimu wa sayansi na nimehudhuria usaili mara kadhaa na leo nataka nizungumzie swala la matangazo ya ajira kwa taasisi zinazotoa ajira. Ajira ni changamoto ambayo inatukabili vijana wengi sana na inapotokea tangazo la ajira...
  16. N

    Tanzania wananchi tunawaogopa viongozi badala ya Sheria? Je, viongozi hawawaheshimu waajiri wao ambao ni wananchi?

    Nimekuwa nikijiuliza mawaswali mengi pamoja na hayo ya utanguzi. Je, hii inatokana na Katiba mbovu? Au wananchi hatuzijui haki zetu ndani ya Katiba? Viongozi Wana kiburi Cha madaraka? Maana tunatofauti na majirani zetu hata waganda wanatuidi japokuwa mu7 ana watawala kwa mkono was chuma...
Back
Top Bottom