Ushauri
Chama cha waalimu wasio na ajira, Non employed Teachers Organization (NETO)
Kingeongesa wigo na kukusanya vijana wengi zaidi na kiwe Chama cha vijana wasio na ajira, Non employed Youth Organization (NEYO)
Karibuni kwa maoni
===================
Tayari kuna chama kimeanzishwa kinaitwa...
Nasikitika kwa kile kinachotokea kwa Chama chetu cha Kulinda na Kutetea Haki za Walimu Tanzania (CHAKUHAWATA), Manispaa ya Mpanda, Mkoa wa Katavi kwa baadhi ya viongozi kuona sasa chama hiki kugeuzwa kuwa mradi wa viongozi wa chama Manispaa ya Mpanda kujipatia fedha.
Tumechagua viongozi kwa...
Waziri Simbachawene unapaswa uone aibu, unatangaza nafasi 14,000 tu za Walimu wakati waombaji wapo Walimu 200,000? Huoni haya, hawa 186,000 wataenda wapi? YAANI MNACHUKUA ASILIMIA 7 TU YA WALIOOMBA? Wengine wataenda wapi?
Hii kada mwajiri mkubwa ni Serikali, pamoja na wizara ya afya, hao...
Mheshimiwa waziri wa elimu.
Kama ilivyokawaida kwa kila shule ya bweni lazima pawepo na matron ambaye majukumu yake makuu;
1. Kutunza nidhamu bwenini
2. Usalama wa wasichana na mengineyo.
Shule iliyotajwa hapo juu
Makongoro high school iliyopo Nyamiswa bunda, Mkoa wa Mara, haina matron badala...
KUHUSU USAILI WA WALIMU
Inasemekana kuwa wanatakiwa kuwa na documents zenye majina yanayofanana. Hii inamaanisha kuwa vyeti vya taaluma na vile visivyo vya taaluma vifanane majina. Yaani kama cheti Cha kuzaliwa kina majina full pasipo initial na vya taaluma view vivyo hivyo.
Sasa concern yangu...
Ni Erick Kabendera tena! Akihojiwa na muandishi Ghassan kuhusu kitabu chake IN THE NAME OF THE PRESIDENT, amesema alifanya mahojiano na waalimu wa JPM pale Katoke Seminary, wakamwambia kwamba JPM alifukuzwa seminary kutona na uvutaji bangi, na utovu wa nidhamu uliosababisha kuvunja dirisha la...
Toka Sensa ipite serikali ikagawa VISHIKWAMBI imekuwa na kigugumizi sana Cha kuajiri waalimu wapya
Toeni ajira vijana wanataka kulifanyia kazi taifa sio kupewa VISHIKWAMBI
TAMISEMI na serikali toei ajira kweli!
Ndugu zangu licha ya utititiri wa waalimu wengi kuhutimu vyuo mbalimbali lakini wengi wao wapo tu mitaani wapiga miayo, huku shule nyingi za private zikienda nje ya nchi kusaka waalimu.
Mzazi ukienda kutafuta shule kwa ajili ya mwanao basi sifa utakazopewa kuhusu shule husika basi utaambiwa...
Naonekana ntu ya kulalamika lakini hii ni zaidi ya kubeti. Tupo walimu elfu 28 tunaogombania nafasi 183. Kichwa changu nakijua ningejipa moyo kama Nafasi zingekuwa walau elfu Moja. Chuoni tuu nimeondoka na GPA ya 2.8. lekodi yangu hainipi Imani. Acha niludi kuendelea kulima
Habari za saa hizi Makada wa CCM.
Ndugu zangu wanaSongwe mliambiwa kuwa kutakuwa na Mafunzo ya Walimu Makada wa CCM yatakayofanyika tarehe 02.11.2024 hadi 03.11.2024 , Wilaya ya Mbozi eneo la Mpakani na Mbeya kata ya Nanyala katika ukumbi wa sekondari ya SONGWE SUNRISE Mafunzo haya...
Mjiandae..
Tayari baadhi mmeshaanza kuona mabadiliko katika account zenu. Utathibitisha Mkoa àmbao upo tayari kwaajili ya usaili, Kwa wale wale watakaofanikiwa kuendelea na Oral.
Kisha watakaofauli Oral watapangiwa vituo vya Kazi Kulingana na serikali itakavyoona.
Jiandaeni vizuri. Maswali...
Juzi nilipata taarifa kutoka Kwa mwalimu mwenyeji wa shule ya Kondoa girls kuwa kuwa katika shule yao wizi umekithiri sana, mwalimu yule alidai kuwa watu wasiojulikana wanaenda kuiba mbaazi katika shamba la shule na mbaya zaidi watu wale wameanza kutembelea nyumba za waalimu ili kuiba chchote...
Habari,
Tunatafuta waalimu wa chuo wa part time katika nafasi hizi:-
1. Mwalimu wa French & Spanish
2. Mwalimu wa Hotel Management
3.Mwalimu wa Tour guiding
Ni chuo kinachotoa kozi za utalii hapa Arusha hivyo tunapendekeza wale waliopo Arusha hasa mazingira ya Sakina.
Unaweza kutuma Cv zako...
Binafasi napendekeza badala ya kuwapa waalimu mitihani kabla ya kuajiriwa, kuwe tu na kigezo cha pass stahiki cha masomo atakayofundisha.....
Sijui kwa nini umchague mwalimu wa Kiswahili & History (kwa mfano) mwenye ufaulu wa D kwa masomo husika wakati umeacha kuchukua mtu mwenye ufaulu wa B...
Shule za serikali zimefungwa tangu mwishoni wa wiki iliyopita tarehe 31/5/2024.
Waalimu tulijaza Ankara za fedha za nauli ya likizo hii mapema sana na kuziwasilisha kwa wahusika ofisi Halmashauri ya Wilaya ya Magu kabla shule hazijafungwa; tukitarajia kwamba malipo yangefanyika mapema au mara...
Watabisha sana lakini kauli ya waziri wa elimu kuhusu ajira za walimu ni kauli za udhalilishaji wa waalimu na Maprofesa wa vyuo husika!
Kama mitaala ya vyuo vya walimu inasimamiwa na wizara ya elimu! Kama vyuo vyetu vina ubora unaokidhi vigezo! Kwanini waziri anawataka walimu wafanye mitihani...
Tanzania Wilaya ya Uyui Waalimu tunanyasika sana sijui tatizo nini? Tulikuwa kwenye semina ya mtaala mpya daaa h full vitisho maneno ya kukatishana tammaaaa. Posho hazieleweki za semina yenyewe mnaishia kupewa maji makubwa.
Hii wilaya ina shida serikaki iangalie kwa jicho la pekeee ni wilaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.