Maisha ya shule yana misukosiko na changamoto sana aisee, tukio la leo limenifanya nikumbuke mbali sana.
Leo katika mishe mishe nimekutana na mmoja wa waalimu wa shule ya msingi niliosoma mkoa fulani.
Nilivyomuona yale mazingira sikuamini kama ni yeye ikabidi nimsalimie na kumkumbusha mimi ni...
Mpaka vyombo vya Habari vimeliona hili, walimu mjitathimini vinginevyo mtadharaulika mpaka kufa kwenu. Mnachekwa mpaka na watoto wanadai mmekuwa ombaomba kwa kuwaomba wanafunzi wawanunulie Chai muda wa break na wakisema pesa hawana mnawachapa.
Walimu wengi mnawalazimisha wanafunzi wanunue...
Wafanyabiashara wa Kariakoo wameonesha weledi mkubwa katika kuelezea kero zao mbele ya waziri mkuu Kassim Majaliwa. Wengi wa wafanyabiashara hawajasoma sana kama waalimu, wahadhiri, madaktari, nk. Wasomi tunashindwa wapi!
Waalimu wana kero nyingi lakini hawathubutu kuzungumzia kero zao...
Watumishi wa umma wanachangishwa pesa za Mwenge kwenye wilaya na Mikoa nchini. Najiuliza hizi fedha zinakwenda wapi endapo
Wakimbiza Mwenge wamelipwa stahiki zao zote.
Mafuta ya kukimbiza Mwenge bajeti IPO
Gharama nyingine za emergency zinatengwa kwenye bajeti
Viongozi WA halmashauri wote...
Niende kwenye hoja!
Yamekuja maelekezo ya kusainisha waalimu mkataba ambao unamtaka kila mwalimu kufaulisha somo lake kwa asilimia 100. Hakuna mwanafunzi kufeli mtihani wa somo lake! Na kufeli kwao inaanzia B na sio F kama baraza la mitihani linavyo elekeza!
Je, Sikuhiz mwalimu ana sign...
Hadhi ya kazi ya ualimu inashuka sana, naomba walimu wapewe kipaumbele kwenye maslahi yao, hata hiyo mishahara ipande pande kidogo.
Tatizo la kada hii nje na mshahara hakuna plan B, hakuna posho, madaraja yenyewe kupanda miaka mitano, mtu akipanda mara nne kazeeka.
Wewe fikiria mtu anaanza...
Kuna shirika moja hapa Tanzania ni maarufu sana linahusiana na mambo ya ukimwi lipo mkoani Tabora na sehemu mbalimbali lakini cha ajabu sasa kuna halmashauri moja mkoa wa Tabora imeajiri waalimu kwa ajili ya kuwafuatilia wateja na mambo mengi yahusiano na utoaji wa dawa za kufubaza virus vya...
Walimu sita wa Kenya wamefikishwa mahakamani, baada ya kukamatwa kwa video ambayo walionekana kuwaruhusu watoto wa shule ya msingi kuiga vitendo vya ngono, katika shule moja magharibi mwa nchi.
Video hiyo ilisambazwa sana nchini Kenya na kusababisha hisia kubwa ya umma.
Walimu hao walikamatwa...
JMT; Kazi iendelee.
Nilishaandika mara kadhaa kuhusu udhaifu wa uongozi wa Shule ya Msingi Magu; nikiomba uongozi wa Elimu Msingi (W) urekebishe hali hiyo, lakini kila uchao inakuwa kama heri ya jana.
Sasa hivi baadhi ya waalimu wanafanya biashara shuleni hapo (wao wenyewe), tena wakati wa...
Nimeandika huu uzi baada ya kuwakumbuka waalimu wangu hasa wale wakuu wa miaka ya 90 mwishoni na 2000 mwanzoni waliokuwa wakali sana wasiotaka masikhara kiasi cha kuweza kujulikana hadi mkoa mzima na kanda. Wafuatao walivuma sana kanda ya kaskazini;
1. Mwalimu Kibatala - Shule ya sekondari...
Amani iwe kwenu,
Katika tafakuri yangu weekend hii nimejiuliza maswali kadhaa kuhusu faida wanayoipata waalimu kupitia chama chao cha waalimu kitaifa.
Kuna mambo kadhaa yanayotafakarisha nikaona vyema nije kwenu wanaJF tusaidiane kupata majibu.
Tukianza na usajili wa chama cha waalimu, je ni...
18 November 2022
SHEIKH JUMANNE, WEMA UMENIPONZA.
Sheikh Jumanne Kingu akiongea kwa uchungu baada ya kuachiwa huru na mahakama ya wilaya ya Arusha.
Criminal Case number 67 of 2022 Jamhuri vs Jumanne Juma Kingu Tuhuma zilikuwa kuwafanyia ukatili watoto wa shule mojawapo mjini Arusha...
Ni masikitiko makubwa sana vijana wanapambana kupata gpa ila kuna wahuni wachache wanaamua wa kumuajiri wamtakaye, kwanza Mkuu wa Idara mmoja aliwakusanya hao watano Kwa nafasi Tano, wakapewa maswali na majibu ya oral, na wakafanya presentation za slides akawarekebisha kisha wakaingia interview...
Kwa mtazamo wangu naona kuna tatizo kubwa kati ya waalimu cwt na serikali.
Ninachoelewa mimi ni kwamba cwt ni chama cha waalimu Tanzania, yaani chama cha kutetea maslahi waalimu.
Cwt haifanyi hiyo kazi kabisa. Wapowapo tu. Waalimu wa nchi hii wanaonewa na kunyonywa na kudharauliwa na kila...
Kuna Walimu wanamiaka miwili wengine zaidi wanajitolea kwenye shule za umma, wamepewa mpaka vipindi kabisa na wanafanya kazi hawana tofauti na waajiriwa.
UALIMU SI WITO, NI TAALUMA YENYE SIFA NA TIJA KWA TAIFA LA TANZANIA, TUKIWATHAMINI WAALIMU TUMEITHAMINISHA TANZANIA.
HALI YA WALIMU HIVI SASA? NI FUMBO LISILO NA MAJIBU
Kama Taifa tulipofikia hapa sasa tume muacha Mwalimu na maswali mengi hata pengine ambayo hakusitahili kujiulza, na mengine...
Huenda labda mambo ni mengi au yako kasi kupita maelezo mpaka yamenipita au nimeshindwa kuyaelewa. Hili la kuibuka ghafla mitandaoni na mitaani, chuki na dhihaka dhidi ya waalimu bado sijalielewa kabisa.
Nimehisi huenda labda limeletwa na mojawapo kati ya haya mambo mawili lakini bado sioni...
Adhabu hii aliyopewa professor wa Princeton ni kwa kosa alilofanya miaka 15 iliyopita. Tanzania tukitoa adhabu kama hizi kwa waalimu wa vyuo vyetu waliojihusisha kimapenzi na wanafunzi wao ndani ya miaka 15 iliyopita tunaweza kubaki na waalimu wachache sana. Lakini ni adhabu ambayo inabidi tuwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.