Posho za Kujikimu kwa Ajira Mpya za Walimu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi Mhe. Selemani Jafo amewaelekeza Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini kuhakikisha wanawalipa walimu wote wa ajira mpya walioripoti kwenye Halmashauri zao posho za kujikimu ndani ya muda wa wiki moja kuanzia leo...
Habari wana jamvi.
Kwa bahati nzuri mimi ni mdau mkubwa elimu nimefurahishwa sana ujenzi na ukarabati wa mashule unavyoendelea kwani nina hakika vijana wengu watapata elimu katika mazingira bora.
Jana kwa bahati nilimshuhudia Mhe Rais akizindua ujenzi wa ihungo secondary na veta.
Kwa...
MJINGA NI NANI? NINI MAANA YA UJINGA?
#Kamusi (Dictionary) inatafasiri neno Ujinga (ignorance) kama ukosefu wa maarifa au taarifa juu ya jambo Fulani. Lack of knowledge or information.
#Kamusi (Dictionary) inaendelea kusema; Mjinga ni mtu anaeukataa au kuupuuza ukweli kwa makusudi. A person who...
Serikali itoe pesa za kujikimu kwa walimu kwani mlolongo umekuwa mrefu sana haijulikani ni lini pesa hiyo itatolewa. Nakumbuka siku katibu mkuu tamisemi anatangaza halmashauri zitakazowapokea walimu ziwe zimejiandaaa katika mapokezi ya wafanyakazi hao wapya.
Lakini cha ajabu karibia...
Kwakweli walimu wana tatizo kuhusu suala la pesa. Wengi hawajui masuala ya pesa na uwekezaji.
Utapeli wowote wa kipesa lazima uwahusishe waalimu kwa wingi. Ila sijajua kama ni sababu ya wingi wao au wanapigika kirahisi? Vyovyote vile, kuna tatizo.
CWT andaeni semina za kuwafundisha watu wenu...
Waalimu walioripoti tangu mwezi wa 12 tarehe 1. Hawajapatiwa stahiki zao. Mpaka sasa je kuna halmashauri wamepatiwa hela zao za kujikimu pamoja na mshahara wa mwezi huu? Na kama hawajalipa mshahara wa mwezi huu waalimu watau ingiza katka madai yao?
Tuchangie kiistaarabu najua wengi wana hasira...
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu amesema walimu ndio kada ya watumishi wa umma wanaolipwa mishahara mikubwa kuliko kada nyingine yoyote.
Naibu Katibu Mkuu amesisitiza kuwa walimu wanalipwa mishahara mikubwa sana nchi hii kuliko kada nyingine zote.
Naibu waziri ameyasema hayo kwenye kipindi...
TUJIKUMBUSHE..
"WAALIMU WENZANGU, HIVI MNAWAFUNDISHA NINI HAWA VIJANA?!"
MWAKA 1995. KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU, CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA (IFM)
Moja ya maeneo ambayo Prof. Lipumba alifika kufanya kampeni katika uchaguzi mkuu wa mwaka 1995 ilikuwa ni katika chuo cha usimamizi wa fedha, IFM...
Sote tunafahamu kwamba Katibu Mkuu wa TAMISEMI alitangaza majina ya waalimu wapya mwishoni mwa mwezi Novemba mwaka huu. Akatoa maelekezo kwa waajiriwa wapya kwenda kuripoti kwenye Halmashauri walizopangiwa kuanzia tarehe 1 hadi 14 Desemba.
Katibu Mkuu huyu alikwenda mbali zaidi na kuwaelekeza...
Kusema ukweli hizi ajira ni MAGUMASHI, hazina uhalisia wowote. Jina moja linajirudia mara nyngi na kituo ni kilekile.
Kuna wengine wamemaliza fom4 mwaka 2019 eti na wao wameajiriwa.
Swali: Kwanini hawajaandika vyuo walivyosomea? Kwanini hawajaweka serial number?
MUNGU TUNUSURU
---
---
---...
Uchaguzi umeisha salama ingawa hakuna chochote kinachofanyika kwenye ardhi kikawa na hakina dosari.tulikuwa tunaulizia hivi zile ajira 130000 zimeenda wapi?! Kwani mpaka sasa hakuna chochote na tamisemi tangazo wamefuta
Na kuna taarifa kwamba kuna maagizo kutoka juu yaliagiza tangazo...
Nawasalimu wanajukwaa.
Bila kupoteza muda, naleta hoja yangu kwa DED MAGU; itokanayo na hotuba yake aliyoitoa majuzi kwenye semina ya mtihani wa darasa la nne kwa waalimu wa shule za msingi.
Kati ya mengi uliyoongea, ulimzungumzia pia Mwl. Mary Maganga wa Magu S/Msingi, ukionyesha kuridhishwa...
Jinho Kim(PhD), Profesa Msaidizi katika Idara ya Sera ya Afya na Usimamizi Chuo Kikuu cha Korea anasema, kuboresha uhusiano wa Wanafunzi na Waalimu kunaweza kuwa na faida muhimu na za kudumu zaidi ya kufaulu kimasomo tu
Utafiti ulihusisha washiriki karibu 20,000 (3,400 kati yao walihusisha...
Wana jamvi katika hali ilioleta taharuki kwa vijana wetu jana Alhamisi ilisambaaa mtandaoni kwamba majina ya waalimu walioomba kazi yametoka. Hivyo kuleta taharuki na usumbufu kwa walioomba, lakini ilikuwa ni geresha tu, cha kushangaza si Tamiseni haikukanusha habari hizo kama ni kweli au la...
Ni muda kidogo umepita toka ajira hizi zitangazwe kwa mbwembwe sana.
Nilishuhudia wasaka ajira walizipokea kwa matumaini sana japo wengi walihisi ni suala la kisiasa zaidi kutokana na ajira hizo kutangazwa ghafla katikati ya kampeni.
Vipi kuna mtu anamjua mtu aliyeajiriwa kupitia ajira hizo...
Mwezi wa 9 serikali ilitangaza ajira za waalimu zipatazo 13,000. Lakini mpaka sasa hakuna kitu chochote kinachoendelea TAMISEMI imekumbwa na nini.
Zimebaki siku 4 hakuna mtumaini yeyote na uchaguzi ukishappita tusitegemee ajira kutoka serikalini wakati zikiwa zinebaki siku 3 watu wapige...
Habari wanaJF,
Kila kukicha kashfa ya ngono kwa waalimu dhidi ya wanafunzi inazidi kukita mizizi, licha ya adhabu kali zinazochukuliwa dhidi ya wabainika lakini bado imeshindikana kulidhibiti tatizo, je kwa mtizamo wako unadhani kipi kikifanyika kitasaidia kumaliza tatizo hili?
Katika hali isiyo ya kawaida Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongela amesitisha kufunguliwa kwa shule zote hapo kesho ili waalimu na wanafunzi washiriki kampeni za chama Cha CCM.
Hali hiyo imesababishwa na chama hicho kukosa ushawishi wa watu kuhudhuria mikutano yake bila kulazimishwa na hali...
Kwa heshima na taadhima naomba kuhufahamisha umma changamoto mbalimbali tunazopitia mashuleni nahisi kama serikali haijui au na kama inajua na imeamua kukaa kimya hali mashuleni mbaya sasa hivi vipindi vinamalizika mashuleni saa 11 mpaka 12.
Kwa hiyo mwalimu au waalimu tuna toil kinyama bora...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Kagera tumeendelea kutekeleza majukumu yetu kama yalivyoainishwa katika Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Namba 11 ya mwaka 2007. Katika utekelezaji wa majukumu yetu tumeendelea kushirikiana na wadau mbalimbali wa mapambano dhidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.