Watu wengi hawapendi kukutana na vitu vyenye maudhi kwao. Ili kuepuka maudhi watu Wana tabia ya kujizuia kukutana na vyanzo vya maudhi hayo.
Watu wengi hawapendi kuangalia mechi za ligi kuu ili kuepuka maudhi yanayoletwa na waamuzi, hii inakwenda kuua moyo wa kuangalia TV na kwenda viwanjani...
Habari wanamichezo na wapenda soka wote ndani na nje ya Tanzania.
Haya mambo yamekuwa yakijirudia mara kwa mara katika misimu yote ya ligi kuu ya Tanzania kwa sasa 'NBC Premier League' kuhusu lawama kwa Kunguru wetu hawa wa mpira. (Referees)
Tutafute hoja za msingi na mambo yanayoleta yote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.