waandamana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MBOKA NA NGAI

    Goma: Raia waandamana kupinga uwepo wa MONUSCO na majeshi ya nje

    Leo hii, tarehe 17 Februari 2025, mjini Goma, asubuhi ya leo kumekuwa na maandamano; lengo likiwa wanajeshi wa UN waliopo Congo,hususani Goma, kwa zaidi ya miaka 20, waondoke, na kwamba usalama wao watahakikisha unatokana na wao wenyewe. Si MOUNUSCO tu, bali na jeshi la SAMIDRC(Afrika kusini...
  2. Vichekesho

    Jamii ya Waislamu waishio UK Waandamana kuunga mkono ndoa za jinsia moja

    Uislamu ni dini inayokua kwa kasi ulimwenguni, jamii hiyo imefanya maandamano ya amani kuunga mkono ndoa za jinsia moja. Pichani ni waislamu wa uk wakifurahia mwenendo wa maandamano. Nakuacha na nukuu toka kwa Mtume Muhammad, kipenzi cha Waislamu wakweli. Kasema Mtume (s.a.w) "Anamwijia...
  3. M

    Waisrael wakataa kumpa kiki Netanyahu, waandamana ang'oke madarakani kwa kushindwa kurejesha mateka

    Benjamin Netanyahu alidhani kuwa kuendelea kuuaua watu, umwaga damu za watoto basi itakuwa Kinga kwake ya kuwaconvince waisrael kuwa ni waziri mkuu mzuri. Lakini maelfu ya waisraeli wameendelea kuandamana kumtaka ang'oke. Hawako impressed na muenendo wake wa kiuongozi. Baada ya Kuona raia...
  4. The Watchman

    Madereva Bolt Dar Waandamana Mpaka Ofisi za Bolt

    Madereva wa taksi za mtandaoni za kampuni ya Bolt wameandamana leo Oktoba 15,2024, mpaka yalipo makao makuu ya kampuni hiyo eneo la Morocco Kinondoni. Madereva hao wanapinga makato ambayo kampuni hiyo inawakata katika kila safari, ambapo wanaeleza ni asilimia 25, huku wakieleza kuwa agizo la...
  5. Mindyou

    Maelfu ya Waislamu wenye msimamo mkali waandamana Ujerumani wakitaka uwepo wa Sheria za Kiislamu (Sharia Laws)

    Impact za illegal and mass migration zimeanza kuonekana huko Ujerumani na hii ni baada ya maelfu ya waislamu kuonekana wakiandamana huko Ujerumani wakitaka kuwepo na sheria za kiislamu kwenye nchi hiyo yaani Sharia Laws. I have no words, video inajieleza! Soma Pia: Wakristo wa Yemen...
  6. K

    Wafanyakazi Mgodi wa CATA Mining Mara waandamana, wakidai Mishahara, NSSF, wamwangukia Rais Samia

    Waliokuwa wafanyakazi wa mgodi wa dhahabu wa CATA MINE uliopo kijiji cha Kyabakari, Wilayani Butiama Mkoani Mara, jana wameandamana kwa mara nyingine kuelekea katika Ofisi za mgodi huo, kushinikiza mwekezaji kuwalipa malimbikizo ya mishahara yao pamoja na NSSF. Wakiwa na mabango yenye jumbe...
  7. W

    Ufaransa Waandamana Uteuzi wa Waziri Mkuu mpya

    Maelfu ya watu wamejitokeza jijini Paris Julai 7, 2024 kufanya maandamano ya kupinga uamuzi wa Rais Emmanuel Macron kumteua Mwanasiasa, Michel Barner kuwa waziri mkuu. Maandamano hayo yaliyopangwa na vyama vya Wafanyakazi na wanachama wa upinzani ‘New Popular Front (NPF)’ waidai matokeo...
  8. W

    Wakenya Waandamana IMF kupinga Serikali ya Kenya isipewe Mikopo

    Raia wa Kenya Wandamaana kutaka Shirika la IMF wasitoe Mikopo kwa Serikali ya Kenya Julai 20, 2024 raia wa Kenya walifanya maandamano katika makao makuu ya IMF jijini Washington DC kutaka serikali ya Kenya kutokupewa mikopo na Shirika hilo kwani inatumika kizembe Wakenya wamelaumu Shirika hilo...
  9. Kingsmann

    Maelfu ya Waisrael waandamana kushinikiza Netanyahu ajiuzulu

    Maelfu ya Waisraeli wamekusanyika nje ya bunge jijini Jerusalem wakishinikiza Waziri Mkuu, Benjamin Netanyahu ajiuzulu. Aidha, waandamanaji wanataka kuitishwa uchaguzi mpya mapema, na Serikali ifikie makubaliano ya kuachiwa kwa mateka wanaoshikiliwa na Hamas tangu kuanza kwa mapigano Oktoba 7...
  10. Webabu

    Wananchi Jordan waandamana kwa nguvu wakitaka mpaka ufunguliwe waingie Palestina

    Joto la vita limeanza kupanda ndani ya Jordan ambayo pamoja na Misri ndizo nchi muhimu kwa usalama wa Israel. Wananchi wa nchi hiyo hawajaridhishwa na namna nchi yao ambayo ina udugu mkubwa na Palestina kwa namna inavyoshughulikia madhila ya wapalestina na vita vya Gaza. Hata walipomuona mfalme...
  11. Mlaleo

    Kibao kimewageukia Hamas raia waandamana wanawaambia waondoke Gaza. Wawaita ni Majizi

    Katika hali ya Kushangaza raia wa Gaza kiukweli wamechoka walitarajia big result kutoka kwa Hamas ila matokeo yake wamejikuta walala nje na kulala njaa.. Sasa wanaandamana kila kona kuwasaka Hamas na wakiwaona ni kichapo tu.. Ismail Haniyah na Babu wao nywele mvi Sinwar Wanasema ni majizi tu sio...
  12. BARD AI

    Wakulima waandamana kutaka Waziri ajiuzulu, Bajeti ya Kilimo iongezewe

    BULGARIA: Wakulima wakubwa na Wadogo wameandamana kwa siku ya pili walishinikiza Serikali kuweka Uongozi Unaowajibika pamoja na kuongezwa kwa Fedha za Ruzuku ya Kilimo nchini humo. Kamati ya Mipango ya Wakulima hao imesema Umoja huo hautasitisha Maandamano hayo hadi Waziri wa Kilimo, Kiril...
  13. BARD AI

    Mamia waandamana kupinga Mauaji ya Kikatili dhidi ya Wanawake

    KENYA: Idadi kubwa ya Wanawake wameandamana katika Miji 11 ya wakipinga kuongezeka kwa Vitendo vya Ukatili Dhidi yao yakiwemo Mauaji mfululizo yaliyoripotiwa kati ya Desemba 2023 hadi Januari 2024. Maandamano yalitawaliwa na Mabango yenye jumbe mbalimbali za kukemea Ukatili kwa maneno ya "Sisi...
  14. Mhaya

    Mamilioni ya Raia wa Yemen waandamana kupinga mashambulizi dhidi ya kundi la kigaidi la Houthi

    Katika mji mkuu unaodhibitiwa na kundi la kigaidi la Houthi unaojulikana kama Sana'a, mamilioni ya raia wa Yemen (Yemenis) wajitokeza kuandamana kupinga mashambulizi dhidi ya kundi la Houthi. Kundi la Houthi limeripotiwa kufanya mashambulizi ya mara kwa mara katika Meli zinazopita katika...
  15. Mhaya

    Watu waandamana Nchini Marekani kupinga mashambulizi dhidi ya Yemen

    Katika Jiji la New York na jiji la Washington, makumi ya watu waandamana kupinga mashambulizi yanayofanyika huko Yemen. Marekani na Uingereza wamefanya mashambulizi makubwa katika kambi za kivita za kundi la kigaidi la Houthi lenye makazi yake Nchini Yemen. Jambo lililopelekea waandamanaji...
  16. J

    Kimenuka Israel, maelfu waandamana wakimtaka Netanyahu ajiuzulu, nyumba yake yavamiwa na wananchi wenye hasira

    Moto unawaka Israel, maelfu ya wananchi wenye hasira kali wamemiminika mtaani wakimtaka waziri Mkuu wa nchi hiyo Benjamin Netanyahu kujiuzulu kutokana na vita inayoendelea Gaza, ambayo haifahamiki itaisha lini na huku maelfu ya watu wakiuawa Wengi wao wanamuona Netanyahu kama psychopath (kichaa...
  17. J

    Watanzania tuige huu Uzalendo: Wafanyabaishara wadogo Kenya waandamana kuunga mkono kodi mpya ya Serikali

    Wafanyabishara wadogowadogo Kenya, maarufu kama Juakali wameungana na kuingia barabarani kuunga kodi mpya ya kwa ajili ya ujenzi wa nyumba iitwayo housing levy. Tukumbuke kodi ndio msingi wa maendeleo, na Tanzania itajengwa na watanzania ==== A group of youth on Thursday flocked the streets...
  18. R

    Uchaguzi DRC: Upinzani waandamana kupinga uchaguzi, polisi wafanikiwa kuwazima

    Polisi katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Kinshasa imewazuwia waandamanaji kukusanyika siku ya Jumatano 27/12/2023, baada ya kuandamana dhidi ya uchaguzi wa hivi karibuni katika taifa hilo tete la Afrika ya Kati. Wanasiasa wakuu wa upinzani katika nchi maskini lakini yenye...
  19. N

    Mkandarasi Mkuu wa SGR ametusitisha kazi lakini hataki kutulipa stahiki zetu, 'tunachohitaji sasa haki itendeke'

    Kama ilivyo kawaida dhuruma na uonevu unaendelea kufanywa na Makandarasi Mkuu wa Reli ya SGR, Yapi Merkezi dhidi ya Wafanyakazi wa Mradi. Leo tarehe 25 mwezi wa 11 baadhi wetu sisi Wafanyakazi tumeanza kuchoshwa na ubabaishaji wa Mkandarasi unaoendelea. Hapo kuna Makundi mawili ya watu...
  20. M

    Maelfu ya Waisrael waandamana dhidi ya Netanyahu, wasema anaiangamiza nchi

    Photos: Israelis protests against Netanyahu in front of his residence Israelis have staged a demonstration in front of the West Jerusalem residence of Israeli PM Netanyahu, chanting slogans and carrying banners against him. “Netanyahu is the biggest disaster to the state of Israel,” read one...
Back
Top Bottom