Zaidi ya watu 500 wamekusanyika na kuandamana wakilalamikia gharama za maisha kuwa kubwa Jijini Kuala Lumpur Nchini Malaysia yakihusisha wanasiasa vijana wa upinzani ambapo pia walipata nafasi ya kutoa hotuba.
Sehemu ya madai ya waandamani ni kudhibiti ongezeko la bei za bidhaa, usalama wa...
Jeshi la Polisi Nchini Malawi limewakamata watu 76 waliokuwa sehemu ya maandamano ya Wananchi Jijini Lilongwe wanaopinga mfumo wa uendeshaji kesi wa Mahakama kuwa taratibu katika kutoa haki, rushwa na kupanda kwa gharama za maisha.
Askari waliwarushia mabomu ya machozi waandamanaji ambao...
Polisi nchini humo wanadaiwa kuwatawanya kwa mabomu ya machoI na risasi za moto Waandamanaji nchini humo waliodaiwa kufunga barabara kushinikiza ukomo wa utawala wa kijeshi, nakusababisha vifo takriban 9 na mamia kujeruhiwa
Inaelezwa kuwa huduma za intaneti na simu zilikatizwa, mamlaka...
Waandamanaji katika mjini Accra wamekusanyika kwa siku ya pili ya maandamano dhidi ya kuongezeka kwa mfumuko wa bei na matatizo mengine ya kiuchumi.
Ghana ikiwa moja ya nchi zenye uchumi mkubwa zaidi wa Afrika Magharibi na ilishuhudia ukuaji wa uchumi ukipungua kwa hadi asilimia 3.3 mwaka hadi...
Baadhi ya Watanzania wamejitokeza nje ya Ubalozi wa Tanzania Nchini #Marekani na kufanya maandamano wakiwasilisha madai mbalimbali.
Baadhi ya madai yao waliyoandika kwenye mabango yao ni Mabadiliko ya Katiba, kuachiwa huru kwa Wakili Peter Madeleka pamoja na kufukuzwa Bungeni Wabunge 19...
airport
dada
diaspora
jnia
kaskazini
katiba
katiba mpya
kudai
kusoma
mabango
marekani
miwani
mpya
mtu
mwigulu
mwigulu nchemba
nchini
picha
tanzania
ubalozi
usa
waandamana
wabongo
watanzania
Kufuatia Ziara ya rais Samia huko Marekani, wananchi waishio huko wameandamana kudai katiba mpya.
Watanzania hao walibeba mabango yenye ujumbe wa Kudai katiba mpya na Wengine kubeba mabango yanayotaka serikali imwachie huru Mwanasheria Peter Madeleka ambaye inasemekana amekamatwa na Polisi...
WALEMAVU, BODABODA WAANDAMANA WAKITAKA WAZIRI BASHUNGWA KUTENGUA TAMKO LAKE*.
Kufuatia katazo wa Waziri wa TAMISEMI Mhe. Innocent Bashungwa kuhusu sakata la bodaboda na bajaji kuingia mjini, Walemavu na Bodaboda wameandamana mpaka ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam wakishinikiza Waziri...
Walimu 250 kutoka Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza wameandamana hadi ofisi za Halmashauri ya Jiji la Mwanza kudai posho zao za kazi ya kuweka alama za anwani za makazi waliyoifanya kwa siku tano.
Watumishi hao waliandamana jioni ya Aprili 8, 2022 ambapo malipo hayo ni Sh 100,000 kwa siku tano...
Baadhi ya madereva wa Bajaji katika Manispaa ya Kigoma Ujiji wameandamana na kufunga barabara kushinikiza kupandishwa kwa bei za usafiri kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta.
Walifanya mgomo huo wakitaka mamlaka ziwaruhusu wapandishe nauli. Kwa sasa usafiri wa kuchangi abiria mmoja analipa Sh...
Nchini Zambia madaktari wasio na ajira wameandamana kuelekea Ikulu ya Nchi hiyo ili kufikisha malalamiko yao kwa Rais Hichilema kwa lengo la kujua hatima yao .
Cha kushangaza ni hatua ya Polisi wa nchi hiyo kujitokeza na kuwasindikiza waandamanaji hao kuelekea Ikulu , katika nchi ambayo ni...
Wafanyabiashara ndogondogo maarufu machinga wa soko la Karume (Mchikichini) wameandamana hadi kwenye Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla kushinikiza kiongozi huyo atoe tamko la kuwaruhusu waendelee kufanya shughuli zao kwenye soko hilo.
Wafanyabiashara hao wameandamana leo...
Madereva wa malori yanayotumia bandari ya Dar es Salaam waandamana kulalamikia ucheleweshaji wakushgulikiwa taratibu za mizigo yao na kusababisha kukaa muda mrefu mpaka wa zaidi ya siku moja bandari na wakidai kuwa ucheleweshaji huo ni scanner za humo kutofanya kazi Kwa ufanisi kwa lisaa moja...
Maelfu ya watu wameandamana katika Mji Mkuu wa Sudan, Khartoum pamoja na Miji mingine. Vikosi vya Usalama vimetumia mabomu ya machozi dhidi ya Waandamanaji katika Mji wa Omdurman.
Wananchi walikusanyika kutoa heshima kwa waliouawa na Vikosi vya Usalama. Pia, wamepinga Makubaliano yaliyomrejesha...
Maelfu waandamana mji mkuu wa Ethiopia “Addis Ababa “ kupinga propaganda dhidi ya nchi yao, wakivitaka vyombo hivyo kuacha kuitangaza vibaya nchi hiyo. Huku wengi wakiahidi kuwa wapo teyari kupambana na vikosi vya Tigray kama wataitaitajika kufanya hivyo kulitetea taifa hilo.
Ni patashika. Ndivyo unavyoweza kuelezea mvutano kati ya wafanyabiashara wadogo jijini Mwanza na mamlaka ya Jiji hilo baada ya wafanyabiashara hao kuandamana leo Jumamosi Oktoba 23,2021 na kufunga barabara ya Nyerere eneo ya Voil kushinikiza kupewa vizimba kwenye maeneo rasmi.
Kundi la...
Polisi wamelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya waandamanaji wanaotaka Tume Huru ya Uchaguzi katika Jamhuri ya Kidemokrasia Kongo
Waandamanaji zaidi ya 10,000 walitapakaa katika mitaa ya Kinshasa ambapo waliharibu sanamu ya Rais Felix Tshisekedi
Maandamano hayo yamekuja baada ya...
Waganda waishio Marekani ambao ni wakereketwa wa chama cha NUP kinachoongozwa na Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine wameandamana kuelekea Ofisi za Umoja wa Mataifa(UN), wakipinga utawala wa muda mrefu wa Rais Yoweri Museveni
Kiongozi wa maandamano hayo aliyekuwa NewYork, Mathias Mpuuga...
Wafanyakazi zaidi ya 200 wa hotel za Naura Spring na Impala za jijini Arusha wameandamana katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha wakilalamikia mwenendo mbaya wa mashauri yao ya madai yaliyopo mahakamani unaolenga kuchelewesha haki ya kulipwa Madai yao yanayofikia kiasi cha sh,milioni 700...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.