Watanzania wanaoishi nchini Ujerumani wameandamana nje ya Ubalozi wa Tanzania nchini humo, wakisema maandamano hayo ni sehemu ya kuadhimisha mwaka mmoja tangu yalipotokea maandamano nchini Tanzania yaliyosababisha vifo na majeruhi wengi
Katika hatua nyingine, waandamanaji hao wamesema wameamua...