PostGE2025 Diaspora Ujerumani waandamana kuadhimisha mwaka moja tangu matukio ya Oktoba 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

carbohydates

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2026
Posts
260
Reaction score
607
Watanzania wanaoishi nchini Ujerumani wameandamana nje ya Ubalozi wa Tanzania nchini humo, wakisema maandamano hayo ni sehemu ya kuadhimisha mwaka mmoja tangu yalipotokea maandamano nchini Tanzania yaliyosababisha vifo na majeruhi wengi

Katika hatua nyingine, waandamanaji hao wamesema wameamua kufanya maandamano hayo wakidai kuwa hali nchini Tanzania si shwari. Wametaka kuwepo kwa mfumo huru, wakieleza kuwa wananchi wanaishi katika mazingira magumu na viongozi hawashughulikii ipasavyo masuala yanayowahusu wananchi.

Soma pia Watanzania Diaspora kuandaa mkesha wa mshumaa kuwakumbuka waathirika wa ghasia za uchaguzi 2025

Wakenya wanawashwawashwa
hakuna mbongo hata mmoja
 
Hata 29oct wapiga debe walikuwa wengi hiyo sio hoja
au hoja yako kifo ni kifo nyie chawa mnashida mahali.
 
Watanzania wanaoishi nchini Ujerumani wameandamana nje ya Ubalozi wa Tanzania nchini humo, wakisema maandamano hayo ni sehemu ya kuadhimisha mwaka mmoja tangu yalipotokea maandamano nchini Tanzania yaliyosababisha vifo na majeruhi wengi

Katika hatua nyingine, waandamanaji hao wamesema wameamua kufanya maandamano hayo wakidai kuwa hali nchini Tanzania si shwari. Wametaka kuwepo kwa mfumo huru, wakieleza kuwa wananchi wanaishi katika mazingira magumu na viongozi hawashughulikii ipasavyo masuala yanayowahusu wananchi.

Soma pia Watanzania Diaspora kuandaa mkesha wa mshumaa kuwakumbuka waathirika wa ghasia za uchaguzi 2025

Toeni ujinga wenu hapa.Hatukubali upuuzi wenu tena,
 
Safi kabisa. Waendelee kuandamana huko huko.
 
Dah! Inamaana Watanzania Ujerumani hawafiki kumi? Au wengi wao wame ignore ujinga?
 
Halafu wanaonekana wote ni choka mbaya.Nadhani wengi wao walichukuliwa na wazungu kama wafanyakazi wa ndani.
Wamechoka sana ..we mwangalie hata huyo nuruvuzi ..ndo machokoraa wa ulaya hao
 
Back
Top Bottom