waandamanaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sanalii

    Waandamanaji Iran waanza kutumia silaha za moto

    Kama ni mipango iliopangwa basi imepangika kweli kweli, vita ya Syria ilianza kwa mwanafunzi kuchora kwenye bweni la shule akimtuhumu Asad, polisi wakamkamata, watu wakaandamana aachiliwe, maandamano yakageuka vita. Sasa ni zamu ya Iran
  2. MK254

    Iran: Waandamanaji watia kiberiti iliyokua nyumba ya Khomeini, wanapinga dhuluma kutoka kwa dini ya kiislamu

    Wananchi wamechachamaa....hadi kieleweke, wamechoka unyanyasaji wa kidini, kila mtu aachiwe huru kwenye masuala ya kiimani, Iran ilikosea sana kumuua mwanamke kisa kipande cha nywele kilichomoza kichwani, serikali inaendelea kuwaua ili kumpigania "mungu" wa waislamu ila wananchi wameamua hata...
  3. YEHODAYA

    Polisi wanaosimamia Sharia za kiislamu waondoka mitaani Iran baada ya waandamanaji kuchachamaa hawataki

    Sasa hivi wameondolewa mitaani sababu waandamanaji wasiotaka kuvaa ajabu wanawafanyia Fujo na kupigwa mawe nk Sasa hivi hawapo mitaani kabisa .Wako tu Askari wa kawaida wa dini hawajulikani wamepotelea wapi!! Watu sasa wanawake wengi wanatembea bila hijab mchana kweupe Source: Aljazeera
  4. beth

    Sri Lanka: Vikosi vya Usalama vyafukuza waandamanaji

    Siku moja baada ya Rais Ranil Wickremesinghe kusema hatua kali zitachukuliwa dhidi ya wanaoandamana, Vikosi vya Usalama vimevamia kambi ya Waandamanaji katika Mji Mkuu wa Colombo, na kuwafukuza waliokuwa nje ya Ofisi ya Rais. Mara baada ya kuapishwa, Rais Wickremesinghe aliweka wazi kuwa...
  5. JanguKamaJangu

    Hatimaye Rais wa Sri Lanka akimbia Nchi kufuatia shinikizo la waandamanaji

    Rais wa Sri Lanka Gotabaya Rajapaksa ameondoka nchini mapema Jumatano kuelekea kisiwa jirani cha Maldives, maafisa wamesema. Kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 73, mke wake na mlinzi wake ni miongoni mwa abiria wanne waliokuwa ndani ya ndege ya kijeshi ya Sri Lanka aina ya Antonov 32 ambayo...
  6. beth

    Sri Lanka: Waandamanaji kutoondoka kwa Rais hadi ajiuzulu rasmi

    Waandamanaji wamesema wataendelea kubaki katika Makazi ya Rais na Waziri Mkuu hadi Viongozi hao watakapojiuzulu rasmi. Kwa mujibu wa Spika wa Bunge la Nchi hiyo, Rais Gotabaya Rajapaksa atajiuzulu Julai 13, 2022. Rais Rajapaksa hajaonekana na hakutoa kauli ya kujiuzulu mwenyewe moja kwa moja...
  7. Tanzania Nchi Yetu Sote

    Sri Lanka waandamanaji wajipa raha ndani ya vyumba vya Ikulu

    Waandamanaji nchini Sri Lanka wamefanikiwa kuingia Ikulu na kufika mpaka chumbani kwa Rais. Waandamanaji hao wamerusha picha kwenye mitandao zikiwaonyesha wakiwa wamelala kitandani kwa Rais huku wengine wakiwa sebuleni wakiangalia 'breaking news' ya maandamano yao.
  8. HIMARS

    Sri Lanka: Waandamanaji wavamia makazi ya Rais kushinikiza aachie madaraka

    Rais wa Sri Lanka kakimbia baada ya kutangaza nchi yake imefirisika Maelfu ya Waandamaji katika Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Colombo wamevamia Makazi rasmi ya Rais Gotabaya Rajapaksa. Maandamano hayo kushinikiza Kiongozi huyo aachie madaraka yanatajwa kuwa makubwa zaidi mwaka huu Inaripotiwa kuwa...
  9. beth

    Libya: Waandamanaji wadaiwa kuchoma sehemu ya jengo la Bunge

    Waandamanaji wamevamia Bunge la Nchi hiyo ikidaiwa wamechoma moto sehemu ya jengo hilo. Maandamano yamekuwa yakifanyika katika Miji mbalimbali ya Libya kupinga ukatikaji umeme, ongezeko la bei na mkwamo wa kisiasa Libya imekuwa katika machafuko tangu mwaka 2011 baada ya Muammar Gaddafi...
  10. Magonjwa Mtambuka

    Polisi yauwa waandamanaji wanne

    Demokrasia inavyofanya kazi kwenye jamhuri ya ndizi (banana republic).
  11. econonist

    Halima Mdee na Wenzake walikosea kwenda na waandamanaji

    Wakati akina Halima Mdee wanakuja ukumbini, walisindikizwa na wanawake Kama 30 ambao sio wajumbe wa mkutano, wakawa wanaimba tunamtaka Halima wetu. Hilo lilikuwa dosari kubwa Sana. Hata Kama Kuna wajumbe wa baraza kuu walikuwa na lengo la kuwasamehe baada ya kuona kile kitendo, wakaamua...
  12. Analogia Malenga

    Sudan: Idadi ya waliouawa na polisi wakati wa maandamano yafikia 80

    Maafisa wa usalama wa Sudan wamewaua kwa risasi waandamanaji wawili walipokuwa wanajaribu kuwatawanya maelfu ya waadamanaji, kwa kutumia gesi ya kutoa machozi kwenye mji mkuu wa Khartoum pamoja na mji pacha wa Omdurman siku ya Jumatatu. Kamati ya Madaktari wa Sudan inasema mwandamanaji huyo...
  13. beth

    Sudan: Majaji wakemea mauaji ya waandamanaji

    Majaji na Waendesha Mashtaka kadhaa Nchini humo wamekemea mauaji ya zaidi ya Waandamanaji wapatao 70 tangu Jeshi lililofanya Mapinduzi na kuchukua Madaraka. Sudan imeshuhudia mfululizo wa maandamano tangu Oktoba 25, 2021 ambapo waandamanaji wamekuwa wakidhibitiwa kwa mabomu ya machozi na silaha...
  14. beth

    Sudan: Idadi ya waandamanaji waliouawa tangu Jeshi kuchukua madaraka yafikia 71

    Waandamanaji wameweka vizuizi barabarani katika Mji Mkuu wa Sudan, Khartoum wakati baadhi ya maduka na Ofisi yakifungwa kutokana na mgomo wa siku mbili uliochochewa na vifo vya waandamanaji. Mgomo umeitishwa baada ya watu saba kuuawa Januari 17, ikiwa ni siku iliyotajwa kuwa mbaya zaidi tangu...
  15. beth

    Khartoum, Sudan: Polisi watumia mabomu ya machozi kutawanya waandamanaji

    Polisi wametumia Mabomu ya Machozi kutawanya Waandamanaji waliokusanyika karibu na Makazi ya Rais Jijini Khartoum, kuonesha hasira zao dhidi ya Makubaliano yaliyomrejesha Waziri Mkuu, Abdalla Hamdok Madarakani. Licha ya Kiongozi wa Jeshi, Jenerali Abdel Fattah al-Burhan kumrejesha Hamdok na...
  16. Miss Zomboko

    Thailand: Waandamanaji wanashinikiza Waziri Mkuu na Serikali yake kujiuzulu

    Maelfu ya waandamanaji wakiwa na magari na baiskeli walikusanyika leo kwenye mji mkuu wa Thailand, Bangkok kumtaka waziri mkuu Prayut Chan-O-Cha kujizulu kutokana na jinsi alivyolishughulikia jana la virusi vya corona. Waandamanaji hao wamejitokeza kwa wingi na kufanya mikusanyiko mikubwa...
Back
Top Bottom