Nimekuwa nikifuatilia mahojiano kadhaa yanayofanywa na viongozi mbalimbali wa taasisi za Serikali na Wana habari, ila kilichonisikitisha ni kuona mwanahabari anahoji swali ambalo hata uelewa wa hilo jambo hana kiasi kwamba swali likirudishwa kwake kwa ufafanuzi zaidi anabaki kumbwelambwela tu...
WATANZANIA
Pamoja na kushikwa na taharuki ya mliyoyafanya
Basi NENDEN kwenye press
Ombeen radhi kwa wananchi wote kwa upuuzi wenu
Hakuna aliefurahia hata mmojaa
Tulitarajia pamoja na mliyoyafanya mngeita waandishi WA habari Muombe radhi
Msiwe kimya kiasi hicho KUSHINDWA KUOMBA radhi
Na Mwandishi Wetu.
Mwenyekiti wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari ( Journalists Accreditation Board- JAB) Bw. Tido Mhando, akiongoza kikao cha kwanza cha Wajumbe wa Bodi hiyo ikiwa ni siku moja baada ya kuzinduliwa rasmi na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Palamagamba...
Mamlaka ya Udhibiti na Ununuzi wa Umma nchini PPRA, imefungua ofisi za Kanda ya kusini zitakazokuwa katika mkoa wa Mtwara, ambapo Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Abdlah Mwaipaya ameongoza zoezi Hilo.
Ufunguzi huo wa ofisi za Kanda uliofanyika ijumaa Tarehe 28 Februari 2025, ulienda sambamba na semina...
Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari, (Journalists Accreditation Board-JAB) imetakiwa kuhakikisha kuwa, waandishi wa habari wote nchini wanazingatia sheria, kanuni, viwango vya juu vya weledi, maadili, uwajibikaji, na miongozo inayosimamia taaluma ya uandishi wa habari.
Maelekezo hayo ni...
Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari imeanzishwa kwa mujibu wa Kifungu cha 12 cha Sheria ya Huduma za Habari Sura ya 229, ikiwa na jukumu kuu la kutoa ithibati kwa waandishi wa habari hapa nchini.
Bodi hii ni chombo muhimu katika kusimamia viwango vya taaluma ya Uandishi wa Habari...
Zama zile wakati Yanga wanaishia kwenye hatua ya makundi mashindano ya CAF, waandishi wa habari za michezo Tanzania waliipachika Yanga jina la "wa kimataifa".
Leo Simba imeingia robo fainali nne za mashindano ya CAF na kusababisha Tanzania kuongezewa timu mbili kwenye mashindano ya CAF, huoni...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Palamagamba Kabudi, Wiki ijayo anatarajiwa kuzindua Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB).
Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Gerson Msigwa imeeleza kuwa uzinduzi huo...
Baada ya malalamiko ya waalimu wasio na ajira kuishinikiza serikali kutatua changamoto zao sasa inaonekana kuna kundi jingine la vijana wasio na ajira linaibuka.
Ukiachana na hayo makundi mawili kuna hili kundi la vijana kutoka JKT wanarudishwa makwao for fun na wanapewa wengine nafasi kwa...
Jana, Februari 25, 2025, tukio la kusikitisha lilitokea wilayani Mbeya ambapo waandishi wa habari wa kujitegemea walifariki papo hapo baada ya gari la serikali walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na basi la Kampuni ya CRN.
Tukio hili limeibua maswali mengi kuhusu usalama wa waandishi...
Kwa mara ya kwanza waandishi wa habari hawajaukiza swali ktk mkutano wa CHADEMA.
Lema leo aliwaita waandishi wa habari ,lon cha ajabu hakuna alichowaambia badala yake kawaaambia kutakua na event itafanyika kesho kutwa.
Hakuna location , wala aim of event
https://www.youtube.com/watch?v=wOKzLLdnpDQ
Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA, Godbless Lema ametangaza ujio wa uzinduzi wa kampeni ya kidigitali ya Chama hicho utakaofanyika February 27,2025.
Akiongea Jijini Dar es salaam leo February 25,2025, Lema amesema
“Tarehe 27 tuna tukio muhimu Chama...
Leo nimeona kioja baada ya Mkurugenzi wa Mipango ya miundombinu kuulizwa maswali na waandishi wa habari Dodoma kuhusu ujenzi wa miundo mbinu ya barabara. Hii ni kutokana na ufinyu wa uelewa wa waandishi wetu wa habari.
Waandishi wa habari walitakiwa kuuliza maswali ya kisera yanayogusa nchi...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema kuwa juhudi za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan zimeifanya Tanzania kuwa kinara barani Afrika katika uzalishaji na usambazaji wa umeme.
Akizungumza na wanahabari katika Mradi...
Kitendo cha Jeshi la Polisi kuzuia waandishi wa habari kutozungumza na wanasiasa huu ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, vyombo vya habari na ni uvunjifu wa demokrasia na sio maelekezo ya katiba ya nchi ni uhalifu wa kutumia silaha.
Waziri wa Ulinzi na kamanda mkuu wa jeshi la polisi...
chadema
habari
jeshi
jeshi la polisi
katiba
katiba ya nchi
kisheria
kuacha
kuvunja
kuvunja katiba
kuzuia
kuzungumza
magaidi
nchi
polisi
uhuni
vyombo vya habariwaandishiwaandishiwahabariwahalifu
wajibu
wake
wanasiasa
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Gerson Msigwa, akimsikiliza Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari Wakili Patrick Kipangula, alipozitembelea ofisi za Bodi hiyo leo tarehe 23 Januari, 2025, Mtaa wa Jamhuri...
Wakuu,
Godbless Lema ametangaza kufanya Press Conference muda wowote kuanzia sasa ikiwa ni saa chache mpaka CHADEMA ifanye Uchaguzi kwenye ngazi ya Uenyekiti
Kupitia mtandao wa X wengi wamedokeza kuwa huenda Lema anaenda kuzungumzia kuhusu machakato wa Uchaguzi unaoendelea ndani ya CHADEMA kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.