Katibu Mkuu wa Chama Mhe. John Mnyika atafanya mkutano na waandishi wa habari kesho jumamosi tarehe 31 Julai 2021 saa 5 kamili asubuhi, Makao Makuu ya Chama, Kinondoni.
Waandishi wote mnakaribishwa na tuchukue tahadhari dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona.
Enzi za JK kulikuwa kunaibuka Agenda tata sana mwenyewe anasafiri zake kama mwezi watu wanaongea wanapambana wao kwa wao kila mtu anakuwa na mtizamo wake. Siku anarejea waandishi kibao airport wanamuuliza Mh hili suala vipi anawajibu hata mwenyewe ndo nalisikia saa hii
Dah nimemkumbuka Mzee...
Manara amekuwa anawafanyia waandishi wa habari vitendo vya kidhalilidhaji sana. Aliwatukana ni takataka na juzi kati kuna Clip anamfokea Prisca Kishamba kwa makelele.
Amekuwa na tabia hii mbaya kwa kujirudia lakini waandishi hawamchukulii hatua, na mbaya zaidi wengine walicheka kitendo...
Taarifa ya ghafla iliyosambazwa na Chama hicho inaeleza kwamba Mkutano huo utafanyika saa 7 kamili mchana wa leo , kwenye makao makuu ya Chama hicho Nje ya Jiji la Dar es Salaam , Kinondoni , Mtaa wa Ufipa .
Waandishi mtakaohudhuria mnaombwa kufuata muongozo wa WHO wa kuzuia maambukizi ya...
Nimekuwa nikifuatilia ishu zinazoibuliwa mara nyingi labda na top leaders ndio inakuwa mijadala rasmi ya media.
Mfano: leo gazeti la uhuru linazungumzia rushwa pale kariakoo, kuna gazeti moja nalo linazungumzia kuhusu aliyekua DC Hai. Yote ni baada ya viongozi kuibua taarifa wao ndio wanapatia...
Hii ndio Taarifa iliyosambazwa mapema leo duniani, Mwamba Mbowe ataongea na wanahabari hao kutokea kwenye Hotel ya Golden Rose Mjini Arusha.
Sikio la Dunia nzima limetegwa upande huo ili kujua kitakachozungumzwa.
Wote mnakaribishwa.
Muhimu: Tufuate mwongozo wa WHO wa kudhibiti Corona...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Daniel Chongolo anafanya mkutano na waandishi wa habari katika ukumbi wa Halmashauri Kuu (NEC) Makao Makuu ya Chama jijini Dodoma.
=====
KATIBU MKUU CCM AWAONYA WENYE NIA OVU SUALA LA UMEME, ATOA MAAGIZO KWA WIZARA TATU
CHAMA Cha Mapinduzi CCM...
Habari ya asubuhi ndugu wanajamvi, natumaini bila shaka mu wazima wa afya na mmeianza vema siku ya leo. Kwa ambao ni wagonjwa nawaombea kwa Mwenyezi Mungu Muumba wa awajalie nafuu ya haraka ili muweze kurejea katika majukumu yenu ya kila siku.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Daniel...
Kumekuwa na Utamaduni wa Kipuuzi kutoka hasa kwa Waandishi wa Habari, Watangazaji wa Michezo nchini pamoja na Mashabiki wa Yanga SC juu ya Kauli hii ya Kinafiki.
Kila ambapo Klabu ya Simba (hasa pale tu Kikosi chake) kikiwa imara na kinafanya vyema katika Mechi zake kuliko Klabu ya Yanga...
Wanahabari wengi na vyombo vyao zaidi wapo kufanya biashara kuliko kutoa huduma sahihi ya habari. Wakiwa chini ya ushawishi mkubwa wa falsafa ya kimagharibi wanaona habari za uzushi uongo kuhusu sera zinazochukiwa na wazungu ndio zinauza kuliko kuandika au kusema kweli yenye manufaa kwa...
Uandishi wa uhakika huwezi kuwa rafiki na Mamlaka, Kuna siku moja Trump alikuwa anaishambulia CNN kwa Twitter kuwa badala ya kuitangaza vizuri Marekani na miradi yake ya kiuchumi chombo hicho kimekazana kupambana na Utendaji wa Rais na proganda zingine.
Muda huo huo CNN wakamjibu Tena kwa...
Hii ndio taarifa yao mpya waliyoisambaza kwa vyombo vyote vya habari duniani
Wote Mnakaribishwa .
Tunasisitiza kwa wale wote watakaohudhuria kufuata mwongozo wa WHO wa kudhibiti maambukizi ya corona
Awamu za serikali zilikuwa na malengo tofauti, mfano wakati wa Mwl. Nyerere vyombo vya habari vilikuwa ni vya ku-promote siasa za ujamaa na kujitegemea hakukuwa na vyombo huru kulikuwa na vyombo vya chama na serikali"- Emmanuel Muga, Wakili.
Alivyokuja Mzee Mwinyi akaruhusu vyombo vya habari...
By Elisha Magolanga
The Citizen Correspondent
Press freedom has shrunk considerably in Tanzania, with journalists and media houses finding it more difficult to do their work, according to the 2013 World Press Freedom Index. The country has dropped 36 places and is now ranked at number 70 of...
Wanabodi,
Kuna hoja nyingi huwa zinaibuliwa humu JF kuhusiana na sisi waandishi wa habari, kwa vile na mimi ni mwandishi, naomba nichangie kwa lengo la kuhabarisha na kuelimisha na sio kujitetea!
Intro ya Pasco au Paskali.
Mimi ni Mtanzania, nimezaliwa jiji Dar es Salaam, nimesoma primary Dar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.