waandishi wa habari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tuelimishanee

    Waandishi wa habari Dar walia na kampuni ya HQ kuwapa taulo zilizokwisha muda wa matumizi

    Na Mwandishi wetu, Dar Kampuni inayozalisha taulo za kike ya Human Cherish (HQ), Desemba 8, 2021 ilifanya Mkutano na waandishi wa habari kwa lengo la kutangaza uboreshaji wa huduma za kampuni hiyo,Sambamba na kugawa bidhaa hizo kwa waandishi waliokuepo katika Mkutano huo. Katika hali ya...
  2. beth

    CPJ: Idadi ya waandishi wa habari waliofungwa duniani yaongezeka

    Kamati ya kutetea waandishi habari CPJ imesema idadi ya waandishi habari waliofungwa duniani mwaka huu imefikia kiwango cha juu huku China na Myanmar zikiropotiwa kuwaweka gerezani wanahabari 293. Katika ripoti yake ya kila mwaka, kamati hiyo ya kutetea waandishi habari imesema waandishi habari...
  3. beth

    China yatajwa kuwa mkamataji mkubwa zaidi wa Waandishi wa Habari duniani

    Ripoti iliyotolewa na Reporters Without Borders (RSF) inasema China ni mkamataji mkubwa wa Waaandishi wa Habari Duniani, ikielezwa takriban Wanahabari 127 wanashikiliwa hivi sasa. Imeeleza, China imekuwa ikifanya kile kilichotajwa kama kampeni ya ukandamizaji dhidi ya Uandishi wa Habari...
  4. Idugunde

    Waandishi wa habari wanne wapata ajali mkoani Mtwara

    Waandishi wa habari 4 mkoani Mtwara wamepata ajali ya gari na baadhi yao kuumia wakiwa katika msafara wa Mkuu wa Mkoa huo Brigedia Jen.Marco Gaguti. Gari lililopata ajali liliwabeba John Kasembe(Azam TV), Anne Roby(Daily News),Adam Malima(Chanel Ten) na Baraka Jamal(Safari Redio)...
  5. Roving Journalist

    Upanga, Dar: Yaliyojiri kutoka Ukumbi wa JWTZ, Mkutano na Waandishi wa Habari

    Salaam Wakuu, Leo Jeshi la Wananchi Tanzania, linafanya Mkutano na Waandishi wa habari. Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ) kutoa Tamko Maalumu 30 Novemba, 2021 Nipo Nimefika kwenye Ukumbi huu kuwajuza kila kitakachojiri. ===== UPDATES: 1022hrs ====== Waandishi wameshafika eneo la tukio 1034...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    Uwepo wa waandishi wa habari makanjanja ni hatari ndani ya jamii/ nchi

    WAANDISHI MAKANJANJA NI HATARI NDANI YA NCHI. Anaandika Robert Heriel. Leo nitatumia lugha ngumu kidogo, nafahamu nazungumzia kazi za watu ambazo zinawaingizia kipato. Hata hivyo Nia yangu sio kuonyesha ubinafsi, kuwaonea kijicho, isipokuwa kuwataka wabadilike, ili tujenge jamii Bora na taifa...
  7. S

    Shaka apiga ‘stop’ agizo la kuzuia bodaboda, bajaji kuingia katikati ya Mji wa Dar

    Katibu wa Halmashauri kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi Ndugu. SHAKA HAMDU SHAKA leo Oktoba 31 atazungumza na waandishi wa vyombo vya Habari kuanzia saa 6 mchana ofisi Ndogo za CCM - LUMUMBA Dar es salaam. ===== CCM yapiga ‘stop’ agizo la kuzuia bodaboda, bajaji kuingia mjini CHAMA Cha...
  8. Erythrocyte

    Mnyika: Uamuzi wa mahakama umetengeneza athari na madhara kwenye mfumo wa utoaji haki katika taifa letu

    Picha: John Mnyika akizungumza na Vyombo vya Habari Leo tarehe 21/10/2021 Chama cha Demokrasia na Maendeleo kitazungumza na Waandishi wa Habari wa Kimataifa na wa ndani kwenye ofisi za chama hicho nje ya Jiji la DSM, huko Kinondoni, kuanzia saa 6 kamili mchana. Wote mnakaribishwa. Muhimu...
  9. W

    Mabadiliko: Viongozi wa wamachinga kufanya Press Conference Ofisi za Wamachinga Kariakoo badala ya Serena Hotel

    PIA, SOMA: - Wamachinga kufanya Press Conference Serena Hotel 20/10/2021
  10. Hamduni

    Shaka Hamdu Shaka azungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma

    NUKUU: BAADHI YA NUKUU ZA KATIBU WA NEC ITIKADI NA UENEZI WA CCM, SHAKA HAMDU SHAKA ALIPOKUA ANAZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO 12 OCTOBA 2021 DODOMA "Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ameendelea kusimamia na kuimarisha haki za binadamu, usawa, demokrasia, kupinga aina zote za ubaguzi pamoja na...
  11. Erythrocyte

    CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama

    Taarifa yao iliyosambazwa hii hapa ============================================= "Ili [CHADEMA] tuweze kushiriki kikao chochote cha Msajili [wa Vyama vya Siasa] lazima zuio la vyama kufanya mikutano ya hadhara liondolewe, ili tukienda kwenye vikao, twende kama vyama huru, tusiende kama...
  12. Mukulu wa Bakulu

    Profesa Shivji ashangazwa na uteuzi wa wafanyabiashara kwenye uongozi wa TANESCO

    Msomi wa kiwango cha kimataifa wa Tanzania, Profesa Shivji ameshangazwa na kitendo cha wafanya biashara kuchaguliwa kuongoza taasisi za umma. Shivji anasema sekta ya umma haiwezi kuchangamana na sekta binafsi. Sisi wengine tumeshangazwa na uteuzi wa wafanya biashara na watu wenye maslahi...
  13. data

    Hivi ni kwanini vyombo vya habari/ waandishi wa habari Tanzania hawawezi wauliza viongozi maswali tunayoyatarajia?

    Kwa mfano... Rais atapo tua nchini tokea huko alikoenda na Royal Tour. Wananchi tunatarajia maswali haya toka kwa vyombo vya habari... 1. Je, Mh. Rais unafikiri safari hii (Royal Tour) uloifanya ina manufaa yeyote kwa Watanzania masikini!? 2. Je, Mh. Rais unafikiri hotuba yako imekidhi/imejibu...
  14. U

    Mbunge wa Mbeya Mjini Dkt Tulia Ackson kuongea na waandishi wa habari leo saa 4 asubuhi

    Mkutano huo utafanyika nyumbani kwa Mbunge huyo ambaye pia ni Naibu Spika maeneo ya Uzunguni Jijini Mbeya kuanzia saa 4 asubuhi Usipange kukosa kufuatilia Mtaarifu mwenzako
  15. Erythrocyte

    CHADEMA: Matamanio ya IGP Sirro anayosema amejifunza Rwanda kuhusu Polisi kuingia Misikitini na Makanisani na kuandaa mitaala ni kinyume na Katiba

    Kwanza Kabisa nichukue muda kidogo kumshukuru Mwenyezi Mungu , mwingi wa rehema kwa kutuwezesha kuamka salama , sema Amina . Baada ya utangulizi huo wa kiroho nafurahi kukufahamisha kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo leo 14/9/2021 kitafanya Mkutano wake na Waandishi wa Habari kwenye ofisi...
  16. B

    Msemaji Mkuu wa Serikali kutoa Taarifa ya Wiki leo Septemba 12, 2021

    Msemaji Mkuu wa Serikali Ndugu Gerson Msigwa anawakaribisha Watanzania wote kumfuatilia kwenye mkutano wake na Waandishi wa Habari. Atatoa taarifa yake ya wiki hii kwenu. Tukutane saa nne kamili asubuhi hii. 1. Taarifa ya wiki kutoka Serikalini 2. Majibu ya maswali yenu 3. Maoni na ushauri...
  17. Gordian Anduru

    Leo kuna nini, waandishi wa habari za michezo wamekazania neno MEMKWA

  18. Erythrocyte

    CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama

  19. GENTAMYCINE

    Hawa ndiyo Waandishi wa Habari wa Tanzania Manara akiwa Msemaji wa Simba SC na baada ya Manara 'Kutumbuliwa' hapo Simba SC

    Kauli za Waandishi wa Habari Haji Manara alipokuwa Msemaji wa Simba SC "Haji Manara ajirekebishe kwani tumeshamchoka na Vitendo vyake vya Kutudhalilisha huku akituita baadhi yetu ni Takataka. Kwanini Simba SC inamlea vibaya hivi huku akihatarisha Uhusiano wao na Sisi Wadau wao wakubwa wa...
  20. I

    Hakuna jipya katika hotuba ya Mnyika na Waandishi wa Habari

    Nimesikiliza hotuba ya Mnyika kwa wanahabari yaani inaonyesha tayari wameshamtosa Mwenyekiti wao na hawana maaamuzi tena hapo ndiyo kila mtu anakufa na mzigo wake nawapa pole sana Wanachadema wote na niwaombe tu wafanye siasa za kistaarabu kuliko kuingiza na mambo ya ugaidi ndani yake wajifunze...
Back
Top Bottom