Siku hizi Vifaa vyetu vya kielektroniki vimekuwa fursa kwetu kutoa maoni, kushiriki Mijadala na kutoa Hoja mbalimbali
Mitandao ina nafasi muhimu katika kuhakikisha Watu wanabadilishana Mawazo na kupaza sauti zao
Uhuru Wa Kujieleza na kutoa Maoni hulindwa na Katiba za Nchi nyingi Barani Afrika...
Taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Vyombo vya Habari vya Ethiopia (EMA) ambayo iko chini ya Serikali imetoa onyo kwa mamlaka nyingine ambazo zimekuwa zikiingilia uhuru wa Waandishi wa Habari wakiwemo wanaofanya Habari za Uchunguzi.
Onyo hilo limetokana na malalamiko kutoka Kituo cha Televisheni...
Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limetangaza kampeni ya kutoa elimu kwa waandishi ya namna ya kuhamasisha jamii kutoa maoni yao kupinga ndoa za utotoni.
Akizungumza katika hafla ya kutoa Tuzo kwa Waandishi wa habari za Watoto, pamoja na mambo mengine Mwenyekiti wa TEF, Deodatus Balile amesema...
Tumekuwa na taifa la ajabu hasa kwenye waandishi wa siku hizi.
Hakuna hata blog mmoja au youtube channel ambayo ni ya rushwa! Wakati ndiyo kitu kikubwa sana wananchi hawakipendi. Tume baki kuangalia tu idadi ya wanawake wa wasanii! 🤔 na umbeya kila siku
Nashauri wana habari tengeni muda na...
Twitter yasitisha akaunti za waandishi wa habari wanaoandika habari za Musk
Twitter ilisimamisha akaunti Alhamisi ya zaidi ya wanahabari nusu dazeni waliokuwa wakiandika kuhusu kampuni hiyo na mmiliki wake mpya Elon Musk.
kuwanyamazisha waandishi wa habari kwenye Twitter huku wakidai kuwa...
Kwa mujibu wa TCU ni kwamba Mtu yoyote ( hata awe ni nani Tanzania ) akiwa ametunukiwa PhD ya Heshima akiwa anatajwa ni lazima Kianze Cheo chake kisha Jina na Tuzo hiyo ya Heshima.
Kwa mfano Cognizant nikiwa labda ni Mkuu wa Wilaya na nimezawadiwa PhD ya Heshima na Chuo Kikuu chochote Waandishi...
CALL FOR APPLICATION (25 POST)
JOB TITLE: WATETEZI TV REGIONAL REPORTERS
ORGANIZATION: TANZANIA HUMAN RIGHTS DEFENDERS COALITION (THRDC)
DUTY STATION: TANZANIA MAINLAND AND ZANZIBAR REGIONS
CLOSING DATE: 30th NOVEMBER,2022
INTRODUCTION
The Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC)...
Juzi baadhi ya wanahari walipata fursa ya kuhojiana mstaafu Kikwete wakati wa birthday yake. Kama ilivyo kawaida ya waandishi wetu walishindwa kumuuliza maswali magumu. Maswali mengi yalikuwa ya kiudaku.
Angeombwa atoe maoni yake juu ya tuhuma za wizi wa kura katika chaguzi mbalimbali. Bila...
Ni ujinga unaofanya. Waandishi wa habari hawachezi mpira. Hata kama wataisifia team sana mwisho wa siku wachezaji ndo hucheza.
Unawekeza pesa nyingi kwa vyombo vya habari wakuzungumzie wewe na team vizuri. Wanashindwa ikosoa tunaona ipo perfect. Kumbe kuna sehemu tunapaswa kujiweka...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kimeitisha Mkutano na Waandishi wa Habari, tarehe 20/09/2022 , Saa 5 Asubuhi kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho, zilizoko nje ya Jiji la Dar es Salaam huko Kinondoni, Mtaa wa Ufipa.
Wote Mnakaribishwa.
Ni kuhusu huduma za mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) - Dodoma, Septemba 1, 2022
Kuna ongezeko kubwa la idadi ya wahanga wa magonjwa yasiyo ya kuambukiza nchini. Hii inaongeza mzigo wa gharama za matibabu kwa Serikali na watu binafsi. Magonjwa haya ni tofauti na mengine kwani mgonjwa...
Kuna baadhi ya matukio yamekuwa yakitendeka mikoani, ambayo taarifa zake hazitolewi kwa wakati au kutokutolewa kabisa.
Kuna tukio la kukatwa mapanga hadi kuuawa kwa mwalimu wa shule ya sekondari kata ya masaba, wolaya ya Butiama ila hadi leo hakuna taarifa iliyotolewa na vyombo vya habari...
Baadhi ya Waandishi habari wetu wana walakini ya wazi kabisa. Maswali yao kwa makocha na wachezaji wa nje na ndani yanamtia kichefuchufu hata msikilizaji.
Wanaiangusha taaluma ya habari, hayana weledi kabisa.
Pia hawajui kiingereza lakini wanataka kuwahoji wachezaji wa timu ngeni.
Jopo la wanahabari na wanasheria wamelishitaki Shirika la Ujasusi Marekani, CIA na Mkurugenzi wake wa zamani Mike Pompeo kwa kukiuka faragha zao na kuwapeleleza walipomtembelea mwanzilishi wa WikiLeaks Julian Assange.
Wabunge kadhaa wamelishutumu Shirika hilo kutunza taarifa za siri za...
Watetezi wa Binadamu wa Human Rights Watch( HRW) wamesema Morocco inawafunga waandishi wa habari kwa mashtaka yasiyo ya kisiasa ili kuwanyamazisha, baada ya Omar Radi na Soulaimane Raissouni, kuhukumiwa karibu miaka 5 jela kwa makosa ya unyanyasaji wa kingono
Pia mwaka 2018 Taoufik Bouachrine...
Natamani kuandika andiko la pongezi kwa ubingwa wa 28 kwa Wananchi lakini nasubiri picha ya Mwenyekiti wa klabu, Dr Mshindo Msolla Mwenye picha ya Mwenyekiti akiwa na kombe hata kama imepigwa kwa simu naomba tafadhali Hata mwenye picha ya Kocha Nabi akiwa na kombe naomba.
Chanzo: Shaffih Dauda...
Ukisoma vichwa vya habari vya magazeti mengi basi unapata picha kwamba Mdee na wenzake wameshashindwa kesi jambo ambalo kitaalam sio sahihi.
Sasa wakionekana huko Bungeni wananchi wataanza kuiona serikali kama inafanya ndivyo sivyo.
Jambo hili ni hatari kwani upotoshaji ukizidi unageuka kuwa...
Waandishi wa habari 13 wamedaiwa kuwekwa vizuizini nchini katika eneo la Amhara Ethiopia ndani ya wiki moja hatua iliyoonekana kama ukandamizaji wa sauti muhimu, za wanaoripoti kuhusu mgogoro uliopo katika eneo hilo
Inaelezwa kuwa Mei 23, 2022 Siku ya Jumatatu, viongozi wa Amhara, eneo la pili...
Baada ya kusikiliza hoja za mbunge ndo ni lielewa kwanini alifanya hicho alichofanya kwa kweli nili muunga mkono, ila Waandishi wa Habari wetu walionyesha tu tukio bila kulijengea msingi wake au background ya tukio kama hilo.
Mambo kama hayo yana tokea kwenye ma bunge mengi kusindikize serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.