waasi wa m23

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone mwamba

    Waasi wa M23 Wateka Bukavu, Jiji la Pili kwa ukubwa Mashariki mwa DRC

    Waasi wa M23 nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wameingia Bukavu, mji wa pili kwa ukubwa katika eneo hilo la mashariki. Corneille Nangaa, kiongozi wa Muungano unaojumuisha waasi wa M23, ameliambia shirika la habari la Reuters kuwa waasi hao waliingia katika mji mkuu wa jimbo la Kivu Kusini...
  2. Mkalukungone mwamba

    Waasi wa M23 waanza tena mashambulizi dhidi ya Jeshi la DRC baada ya kusitisha kwa siku mbili

    Waasi wa M23 wameanza tena mashambulizi dhidi ya vikosi vya jeshi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo baada ya mapigano kusimama kwa siku mbili. Soma Pia: Mamia ya wanajeshi wa Rwanda wanaosaidia waasi wa M23 wadaiwa kuuawa vitani DRC Mapigano yalianza alfajiri ya Jumanne karibu na...
  3. Waufukweni

    Mamia ya wanajeshi wa Rwanda wanaosaidia waasi wa M23 wadaiwa kuuawa vitani DRC

    Mamia ya wanajeshi wa Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF) wameripotiwa kuuawa katika operesheni za siri Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Kuuawa kwa wanajeshi hao katika operesheni hiyo kunapingana na msimamo wa Serikali ya Rwanda inayodai askari wake hawahusiki wala kushiriki...
  4. Zanzibar-ASP

    Kagame anataka DRC iwatambue waasi wa M23 lakini yeye hataki kuwatambua waasi wa kihutu!

    Moja ya utetezi aliokuja nao Rais Kagame kwenye mkutano wa wakuu wa nchi za SADC na EAC kuhusu kutatua mgogoro wa DRC ni kutaka serikali ya DRC iwatambue kwanza waasi wa M23 ambao wanajumuisha jamii ya walowezi wa kitutsi iliyopo DRC (Banyamlenge), lakini hapo hapo Kagame hataki kabisa kutaka...
  5. Zanzibar-ASP

    Ni muhimu mnoo sasa Tanzania kuingia vitani kuilinda DRC na kuwafurusha waasi wa M23.

    Ama kwa hiari (kupenda) au kwa lazima (shuruti) ni wakati muafaka sasa kwa majeshi ya Tanzania kuingia moja kwa moja uwanja wa vita (Full scale) huko DRC ili kurejesha amani na kuwafutilia mbali waasi wa M23. Sababu za kufanya hivyo zipo na kwa uchache sana nitaziweka hapa. 1. DRC ni jirani...
  6. Mkalukungone mwamba

    Rais wa Kundi la waasi wa M23: Atoa wito kwa waandishi na vyombo vya habari kuwa huru kufanya kazi katika mji wa Goma

    Waandishi wa habari wameambiwa wasiwe na hofu kabisa kuendelea kukusanya taarifa zote katika mji wa Goma! Waandishi wetu wa Bongo wangeweza hili? ======================= Rais wa Kundi la waasi wa M23 Bertrand Bisimwa ametoa wito kwa waandishi na vyombo vya habari kuwa huru kufanya kazi katika...
  7. B

    Waasi wa M23 watamani kufika Kinishasa, Je ipi nafasi ya Tanzania kuinusuru DRC Congo isihanguke

    Waasi wa 23 wanasema lengo lao ni kufika Kinshasa na kuiangusha serikali ya Tshisheked, je wataweza. JE IPI nafasi ya Tanzania km nchi yenye nguvu ya kijeshi afrika mashariki na rafiki wa kiuchumi na Congo.
  8. imhotep

    Waasi wa M23 sasa waelekea mji wa Bukavu

    Wakuu, Habari ndio hiyo, Waasi wa M23 wanaelekea Bukavu mji mkuu wa jimbo la Sud Kivu baada ya kuuteka mji mkuu wa Nord Kivu wa Goma. ================================================== The humanitarian crisis in the Democratic Republic of Congo intensifies as Rwanda-backed M23 rebels advance...
  9. W

    PDF la vita inayoendelea DRC, wakongo wa Mashariki wanaonewa na serikali yao, wakombozi wao ni M23 na Rwanda

    Kabla ya kuilaumu Rwanda kuhusu suala la M23 katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), nataka nikupatie historia fupi kuhusu kinachoendelea katika sehemu ya mashariki ya Congo. Hii ilianza vipi? Unachosikia kila mara ni kwamba Rwanda inaunga mkono waasi wa M23, na serikali ya DRC...
  10. Waufukweni

    Madereva wa Malori Watanzania waliokwama Kongo waomba msaada baada ya Waasi wa M23 kuteka Goma

    Madereva wa malori kutoka Tanzania waliokwama nchini Kongo (DRC) wameomba msaada wa haraka baada ya waasi wa kikundi cha M23, kinachodaiwa kuungwa mkono na Rwanda, kuteka mji wa Goma. Soma, Pia: Waasi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanasema wamechukua mji muhimu wa Goma
  11. Richard

    Congo DRC yavunja uhusiano na Rwanda kufuatia mzunguko wa Goma unofanywa na waasi wa M23

    Leo hii serikali ya Congo DRC imetangaza kuvunja mahusiano na Rwanda huku wanajeshi wapatao 13 wa kutoka vikosi vya kulinda amani na wanajeshi wengine wa kigeni kuuawa. Wizara ya mambo ya nje ya Congo DRC imetangaza leo kuwa inawaondoa watumishi wote walioko katika ofisi ya ubalozi wa Congo DRC...
  12. ChoiceVariable

    Kama Uganda na Rwanda Wanaisaidia M23, nini Mustakabali wa DRC Congo? Je, lengo ni kuanzisha Taifa lingine la Watusi?

    Mara ya kwanza ilikuwa ni Rwanda ndio inashitumiwa ila Sasa kumbe Hadi Uganda inasaidia ndugu zao wa Kitusi walioko Mashariki ya DRC. --- Uganda ilitoa msaada kwa waasi wa M23 nchini Congo Jeshi la Uganda limetoa msaada kwa waasi waM23 wanaoendesha harakati zao mashariki mwa Jamhuri ya...
  13. A

    Wanajeshi 3000 hadi 4000 wa Rwanda wanashirikiana na waasi wa M23 katika mapigano mashariki mwa Kongo

    UN: Vikosi vya Rwanda vyasaidiana na M23 kupigana Kongo Ripoti moja ya wataalam wa Umoja wa Mataifa iliyoonekana na shirika la habari la Ufaransa AFP inasema, kati ya wanajeshi 3000 hadi 4000 wa Rwanda wanashirikiana na waasi wa M23 katika mapigano mashariki mwa Kongo. Ripoti hiyo inasema...
  14. MK254

    Wanajeshi wengine 25 wahukumiwa kifo kwa kukimbia Mapigano dhidi ya Waasi wa M23 DRC

    Wanajeshi 25 wamehukumiwa adhabu ya Kifo baada ya kukutwa na hatia ya kukimbia Mapigano kati ya Jeshi la nchi hiyo na Waasi wa Kundi la M23 Kwa mujibu wa Msemaji wa Jeshi, Wanajeshi hao pia wamekutwa na hatia ya Wizi kwenye maduka ya Wafanyabiashara kwenye maeneo ya karibu ya Vijiji walivyokuwa...
  15. Suley2019

    Waasi wa M23 Wauteka Mji Muhimu Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

    Waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda wamechukua udhibiti wa Kanyabayonga, mji muhimu katika jimbo la Kivu Kaskazini mashariki mwa Kongo, katika hatua ambayo inawaona wakipata ardhi zaidi kutoka kwa mamlaka za nchi hiyo. Nyumba kwa zaidi ya wakazi 60,000 na makumi ya maelfu ya watu...
  16. Paul Alex

    TPDF malizieni kazi, M23 wamejikusanya karibu na nyumbani kwao Kanyabayonga na wapo Kama wote!

    Tarehe 29 ya mwezi wa sita M23 wameichukua Kanyabayonga Kaskazini mashariki mwa Congo na wanaelekea Butembo. Sasa naona wanacheza karibu na nyumbani ili likitokea la kutokea wakimbilie nyumbani kwao. M23 waliichukua Kanyabayonga ijumaa baada ya wiki mbili za mapigano na vikosi vya serikali ya...
  17. Tanzanized S

    SoC04 Tanzania 2044: Miaka Ishirini ya Kujiimarisha

    Tanzania iko katika wakati muhimu sana katika safari yake ya maendeleo. Kama Taifa ni muhimu kuandaa ramani ambayo itakuwa muongozo wetu kwa miaka 20 ijayo, ramani ambayo itagusa sekta zote muhimu katika ustawi wa nchi. Katika makala hii nimeelezea mpango wa maendeleo tunaoweza kuutumia...
  18. BARD AI

    Ripoti: Waasi wa M23 walibaka wanawake na kuua waume zao DR-Congo

    Taasisi ya #AmnestyInternational imesema zaidi ya Wanawake na Wasichana 66 walifanyiwa Vitendo vya Ukatili ikiwemo Kubakwa katika kijiji cha Kishishe na kuua Wanaume kadhaa Novemba 2022. Kupitia mahojiano waliyofanyiwa baadhi ya Waathirika wa vitendo hivyo wamesema Waasi wa #M23 walivamia...
  19. BARD AI

    Waasi wa M23 waomba kufanya mazungumzo na Uhuru Kenyatta

    Kundi la waasi la M23 siku ya Ijumaa lilikaidi wito wa kusitishwa kwa mapigano, likitaja mashambulizi ya mara kwa mara kutoka kwa jeshi la Kongo, FARDC, lakini wakaomba kukutana na mpatanishi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Uhuru Kenyatta na Rais wa Angola Joao Lorenco, kutetea malalamiko yao...
  20. 6 Pack

    Jeshi la Kenya dhidi ya M23: Je, Kenya itaweza kufanya kile ilichofanya Tanzania mwaka 2013?

    Inakuaje brothers and sisters, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Leo ndio siku ya mwisho waliopewa waasi wa Congo ili kusalimisha silaha zao kwa serikali, kinyume na hapo hatua kali za kijeshi zitachukuliwa kwa kundi lolote la waasi ambalo limekaidi amri hiyo. Na oparation hiyo...
Back
Top Bottom