Tamko hilo linakuja zikisalia saa chache kufika saa 12 jioni ya leo Nov 25, 2022, muda ambao viongozi wa eneo la Kikanda walitoa kwa Waasi hao kusitisha mapigano au wakabiliane na majeshi ya kulinda amani.
Msemaji wa M23 Canisius Munyarugerero amesema kundi hilo linapuuza maamuzi yaliyofanyika...
Mamia ya vijana wameitikia wito wa Rais Felix Tshisekedi kujiunga na Jeshi katika vita dhidi ya waasi wa M23 ambao wanadhibiti maeneo makubwa karibu na Mji wa Goma baada ya mfululizo wa mashambulizi yaliyofanikiwa.
Kundi la M23, ambalo liliundwa Miaka 10 iliyopita, linadai kutetea maslahi ya...
Kuna maandamano kila mahali ya kupinga kitendo cha Rwanda kuwafadhili waasi wa M23 wanaoleta machafuka yasio isha huko DRC.
Wakongo wamechoka, Tanzania tumechoka, Afrika mashariki imechoka, Africa imechoka, na hata dunia imeshachoka. Waache sasa.
Na sisi Tanzania tujiulize, silaha nzito nzito...
Umuhimu wa chakula uonekana palipo na njaa vivyo hivyo umuhimu wa amani huonekana pasipo na amani, giza lilitanda upande wa kazkazini mwa Tanzania maskani pa majirani zetu wa nchi ya kidemokrasia ya Congo, Giza hilo liloletwa na kundi la waasi wa kundi la M27.
Kama ilivyo desturi ya ujirani...
Kamanda mkuu wa kundi la waasi la M23 Generali Sultani Makenga amerudi mashariki mwa jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, akitokea nchi Jirani ambayo msemaji wa kundi hilo Maj. Willy Ngoma hakutaja.
Maj. Ngoma amesema kwamba tangu arudi DRC, Generali Sultani Makenga amekuwa akitembelea wapiganaji...
Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limeishutumu Rwanda kwa uvamizi baada ya waasi wa M23 kuuteka mji muhimu wa Bunagana uliopo mpakani mwa Rwanda na DRC, na hivyo kuashiria kuongezeka kwa hali ya wasiwasi kati ya nchi hizo jirani
Mji wa Bunagana ulioko kaskazini mashariki mwa Goma, una...
Mamia ya watu wameingia katika mitaa ya mji mkuu wa Kongo, Kinshasa, kulaani madai ya Rwanda kuwaunga mkono waasi wa M23. Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika aonesha wasiwasi mkubwa kutokana na mvutano kati ya Rwanda na DRC.
Mei 30, 2022, mwenyekiti wa Umoja wa Afrika, Rais wa Senegal Macky Sall...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.