waasi

Rusagonis-Waasis (2001 population: 748) is a Canadian local service district in Lincoln Parish, Sunbury County, New Brunswick, which bears the name of two communities within the local service district, Rusagonis and Waasis. Early references use an alternative spelling, Rusagornis, for the community today known as Rusagonis. Some residents advocated changing the governing structure from a local service district into a rural community.It is located 15 kilometres southeast of Fredericton, and is near Tracy. It is west-southwest of Oromocto. It formerly had at least two railway stations (flag stops) served by the Canadian Pacific Railway.

View More On Wikipedia.org
  1. Nionavyo Mimi: Wanawake ni Mashetani na Waasi toka Bustani ya Eden

    Salaam nyote! Kiumbe aliezingua paradiso (bustani ya Eden), kiumbe alieumbwa mwanaume akiwa usingizini, kiumbevaliumbwa sehemu ya mwili ya mwanaume, anawezaje kutetewa na kusemewa chochote? Wanawake ni mashetani yasioshiba, hayajui yalipo, yalipotoka na yanapoendq, akienda kama kabaki, akifikq...
  2. Ripoti: Waasi wa M23 walibaka wanawake na kuua waume zao DR-Congo

    Taasisi ya #AmnestyInternational imesema zaidi ya Wanawake na Wasichana 66 walifanyiwa Vitendo vya Ukatili ikiwemo Kubakwa katika kijiji cha Kishishe na kuua Wanaume kadhaa Novemba 2022. Kupitia mahojiano waliyofanyiwa baadhi ya Waathirika wa vitendo hivyo wamesema Waasi wa #M23 walivamia...
  3. Shehena ya silaha za Iran zakamatwa na Jeshi la wanamaji la Ufaransa, zilikuwa zikipelekwa kwa waasi wa houth

    Jeshi la ufaransa limekamata shehena ya kutisha ya silaha zilizokuwa zikielekea kwa waasi wa huthi nchini Yemen. ============================ French forces seize shipment of weapons headed from Iran to Yemen Officials say the seizure happened in January, with the weapons set for Yemen’s Houthi...
  4. Burkina Faso: Zaidi ya Wanawake 50 watekwa na Waasi

    Matukio hayo yametokea Kaskazini mwa Burkina Faso, ambapo walikamatwa katika makundi mawili nyakati mbili tofauti. Wakati matukio ya utekwaji yanatokea eneo la Arbinda, baadhi ya Wanawake walifanikiwa kutoroka na kurejea katika vijiji vyao. Wanawake wengi wamekuwa wakitembea kimakundi kuingia...
  5. Htimaye waasi wa M23 waamua kuondoka

    Waasi wa m23 wameanua kuondoka maeneo ya Richuru uko Goma kwa kile kinachodaiwa kwamba ni kuiheshimu Jumuiya ya nchi za Afrika Mashariki, lakini mimi sioni kama hilo litatekelezwa kwa muda mrefu na M23.
  6. Je, Rwanda kweli inawasaidia M23? Ubelgiji yaitaka Rwanda kuacha kuwaunga mkono waasi hao

    Ubelgiji imeitolea wito nchi ya Rwanda "kusitisha msaada wowote" kwa waasi wa M23 wanaoendelea na mapigano katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, baada ya uchunguzi wa Umoja wa Mataifa kubaini kuwa kundi hilo liliwaua raia 131 mwezi uliopita. Wizara ya mambo ya nje ya Ubelgiji ilisema jana...
  7. Makundi 53 ya waasi DRC yakubali yaishe kwenye kikao Kenya

    Kwenye shughuli iliyosimamiwa na kuratibiwa na aliyekua rais wa Kenya bwana Uhuru Kenyatta. Wamekubali kuweka silaha chini na kuanza shughuli za ujenzi wa taifa, ikumbukwe jumuia ya EAC iliazimia kwamba amani lazima ipatikane DRC kwa heri au shari, chagua moja. Pia M23 wametuma ujumbe wako...
  8. Waasi wa M23 waomba kufanya mazungumzo na Uhuru Kenyatta

    Kundi la waasi la M23 siku ya Ijumaa lilikaidi wito wa kusitishwa kwa mapigano, likitaja mashambulizi ya mara kwa mara kutoka kwa jeshi la Kongo, FARDC, lakini wakaomba kukutana na mpatanishi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Uhuru Kenyatta na Rais wa Angola Joao Lorenco, kutetea malalamiko yao...
  9. Jeshi la Kenya dhidi ya M23: Je, Kenya itaweza kufanya kile ilichofanya Tanzania mwaka 2013?

    Inakuaje brothers and sisters, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Leo ndio siku ya mwisho waliopewa waasi wa Congo ili kusalimisha silaha zao kwa serikali, kinyume na hapo hatua kali za kijeshi zitachukuliwa kwa kundi lolote la waasi ambalo limekaidi amri hiyo. Na oparation hiyo...
  10. Licha ya vitisho, Waasi wa M23 wamegoma kusitisha mapigano leo

    Tamko hilo linakuja zikisalia saa chache kufika saa 12 jioni ya leo Nov 25, 2022, muda ambao viongozi wa eneo la Kikanda walitoa kwa Waasi hao kusitisha mapigano au wakabiliane na majeshi ya kulinda amani. Msemaji wa M23 Canisius Munyarugerero amesema kundi hilo linapuuza maamuzi yaliyofanyika...
  11. DRC: Wanajeshi wa Kenya wamewasili DRC huku waasi wakikaribia Goma

    Wanajeshi wa Kenya wamewasili Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwa ajili ya kupambana na makundi ya waasi ambayo yamesababisha ukosefu wa usalama katika eneo hilo kwa miongo kadhaa. Wanajeshi 903 wa Kenya wameingia DRC chini ya makubaliano ya Jumuiya ya Afrika Mashariki...
  12. Ushauri: Rwanda iache kufadhili waasi wa M23, Wakongo wameshachoka sasa

    Kuna maandamano kila mahali ya kupinga kitendo cha Rwanda kuwafadhili waasi wa M23 wanaoleta machafuka yasio isha huko DRC. Wakongo wamechoka, Tanzania tumechoka, Afrika mashariki imechoka, Africa imechoka, na hata dunia imeshachoka. Waache sasa. Na sisi Tanzania tujiulize, silaha nzito nzito...
  13. Ethiopia: Serikali na Waasi walaumiana juu ya kukwama kwa mazungumzo ya amani

    Msemaji wa Waasi wa Tigray, Getachew Reda ameishutumu Serikali kwa kudhoofisha juhudi za kutafuta suluhu ya amani kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo, baada ya Jeshi la kudaiwa kushambulia vikosi hivyo Wakati huo huo Msemaji wa Waziri Mkuu Nchini humo, Billene Seyoum, amekanusha...
  14. Ethiopia: Serikali na Waasi walaumiana juu ya kukwama kwa mazungumzo ya amani

    Msemaji wa Waasi wa Tigray, Getachew Reda ameishutumu Serikali kwa kudhoofisha juhudi za kutafuta suluhu ya amani kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo, baada ya Jeshi la kudaiwa kushambulia vikosi hivyo Wakati huo huo Msemaji wa Waziri Mkuu Nchini humo, Billene Seyoum, amekanusha...
  15. Senegal yasaini makubaliano ya amani na Waasi wa MFDC

    Rais wa Senegal Macky Sall, chini ya Upatanishi wa Rais wa Guinea Bissau, Umaro Sissoco Embalo ametia saini Mkataba wa amani na Waasi wa Chama cha Movement of Democratic Forces of Casamance (MFDC) unaotajwa kuweza kumaliza mzozo uliodumu kwa miongo kadhaa Inaelezwa kuwa Waasi wa Jimbo hilo...
  16. Jeshi la Burkina Faso lakiri kuua raia kimakosa katika mashambulizi dhidi ya Waasi

    Jeshi la Burkina Faso limekiri kuua raia wa kawaida kwa kimakosa katika mashambulizi yake ya anga Kusini Mashariki mwa Nchi hiyo wiki hii. Nchi hiyo ya Afrika Magharibi imekuwa ikipambana na waasi wenye silaha baadhi wakihusishwa na makundi ya Al-Qaeda na ISIL (ISIS). Jeshi hilo halijataja...
  17. ICC yatoa hati ya kukamatwa kwa kiongozi wa waasi wa Jamhuri ya Africa ya Kati

    Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu( ICC) imetoa hati ya kukamatwa kwa Kiongozi wa waasi wa Jamhuri ya Afrika ya Kati kwa uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binadamu wakati wa mapigano ya wenyewe kwa wenyewe mwaka 2013 Nourredine Adam, kiongozi wa kundi la Popular Front for the Rebirth of...
  18. DRC yakataa ushiriki wa Rwanda katika kikosi cha kikanda cha kupambana na waasi nchini humo

    DRC inaishutumu Rwanda kwa kuwaunga mkono waasi wa #M23, tuhuma ambazo Rwanda imezikanusha na imekataa ushiriki wa Jeshi la Rwanda katika kupambana na waasi hao, ambapo Rais wa Rwanda Paul Kagame alisema hajali nchi yake kutengwa katika kikosi hicho Nchi saba za Jumuiya ya Afrika Mashariki...
  19. Wabunge waliofukuzwa CHADEMA wapo Bungeni leo Juni 23, 2022, Spika kawaruhusu kuuliza maswali

    Wabunge wa Viti Maalum, Salome Makamba na Grace Tendega wapo Bungeni, leo Alhamis Juni 23, 2022 na wameuliza maswali ya nyongeza baada ya kupewa fursa hiyo na Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson. Wabunge hao walifukuzwa uanachama CHADEMA na kesi waliyofungua kupinga kufukuzwa Mahakamani imetupwa...
  20. Waasi wa M23 Wamedhibiti mji wa Bunagana uliopo Mpakani mwa DRC na Rwanda

    Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limeishutumu Rwanda kwa uvamizi baada ya waasi wa M23 kuuteka mji muhimu wa Bunagana uliopo mpakani mwa Rwanda na DRC, na hivyo kuashiria kuongezeka kwa hali ya wasiwasi kati ya nchi hizo jirani Mji wa Bunagana ulioko kaskazini mashariki mwa Goma, una...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…