Spika wa Bunge, Mussa Zungu amewataka wabunge kuacha kutumia makaratasi wanapofanya shughuliza kibunge.
Amesema kitendo cha kutumia karatasi ni uchafuzi wa mazingira hivyo wabunge watumie mifumo ya kidijitali katika kutekeleza majukumu yao ya kibunge.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.