Hili Bunge la chama kimoja ni hovyo kabisa watu hawakabani mashati
Najiuliza CCM ni watawala wako wenyewe wanaisimamia serikali.
Afu madudu yakifanyika
Wanalalamika. Asa Nani awasaidie? Kwa niñi wasichukue hatuna mara moja.
Unajua kujidunga sindano mwenyewe ni kazi ngumu sana inahitaji...
6 October 2022
Namanga, Kajiado
Kenya
KENYA KUSHIDWA KUTEKELEZA MAAZIMIO YA ENEO MOJA LA FORODHA / SINGLE CUSTOMS TERRITORY, KUMELETA KERO KUBWA
WaBunge 'wasomi' kutoka Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki, hili nalo kwa kushirikiana na serikali mkalitatue jambo hili la Eneo la Forodha...
Wanabodi,
Hii ni makala ya Jumapili ya Leo
Kwa Maslahi ya Taifa, inaendelea na makala elimishi za kuijua Jumuiya ya Afrika Mashariki, leo ni makala elimishi kuhusu kulijua Bunge la Afrika Mashariki, EALA na kiini macho cha uchaguzi wa Wabunge wa EALA wa Tanzania uliofanywa na Bunge letu...
Tumezoea kuona mara nyingi inapofikia wakati wa kupiga kura kupitisha bajeti ya Wizara ya Fedha., wabunge karibia woote (99.9%) wa CCM huipigia kura ya NDIYOOO kuiunga mkono hata kama hoja zao za msingi hazikujibiwa kwa usahii, ukiachilia mbali wale wa upinzani (sio kwa bunge la sasa) ambao...
Wakuu niaje, kuna mikopo ambaypo fedha zake hutengwa kwenye asilimia 10 ya mapato ya halmashauri, mikopo hii inaelezwa inatolewa kwa vijana, wanawake na watu wenye ulemavu.
sasa kwenye bajeti ya mwaka huu imependekezwa kwenye huo mkopo badala ya kutolewa asilimia 10 ya mapato, itolewe tu...
Hivi kweli huyu Makamba ni wa kumpigia debe kwa kejeli namna hii? Eti inafikia hatua baadhi yenu mnadai sasa Msambaa kapewa zigo na amelifikisha hii ni kebehi kubwa.
Mpaka sasa nishati ya umeme ni tatizo hapa nchini. Maana kila siku ni umeme kukatika hovyo.
Tangu awe waziri ni harufu ya...
Kuna mtumishi mmoja analalamika kwanini upandishaji mishahara umekuwa wa hisani ya Mhe. Rais nikamwambia akamuulize Mbunge wake aliyempeleka Bungeni. Nimemjibu hivyo Kwa sababu awali enzi ya JK alikuwa anawaona wapinzani Bungeni kama watu wasio na uchungu na nchi hii na wasiofaa kuwepo.
Baada...
Sometimes tunapohiji uhalali wa kisheria
wa ubunge wa Halima Mdee na wenzake 18, huwa najiuliza ina maana wabunge wa CCM waliopo Bungeni ni halali?
Mimi naamini 2020 hatukuwa na uchaguzi, hivyo hata wabunge wa CCM na serikali nzima si vyombo au taasisi halali, kwahiyo kutegemea Spika atasema...
Kikao cha Kamati ya Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (party caucus) kilichofanyika leo tarehe 31 Januari 2022 chini ya Mwenyekiti wa Kamati hiyo Ndg. Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa na Waziri Mkuu wa JMT katika ukumbi wa White House Makao Makuu...
Tunajua mpo wengi ndani ya mjengo wa National Assembly. Maana ni karibu ya 98 % ya wabunge wote.
Japokuwa wengi mpo bungeni kimazabe mazabe baada ya uchaguzi mkuu wa 2020 kuwa na maluelue lakini hili la spika kuweni na Uzalendo.
Bunge haliwezi kuwa na spika ambae ataona staha kuisimamia na...
Nchi hii siku zote tunasemaga imejaa wanafiki wa kiwango kikubwa sana cha hali ya juu. Hawa wabunge wakati Mams anadhalilishwa na kusemwa vibaya na na Ndungai kuhusu Tozo na mikopo walikua kimyaa. Kelele za kumtetea Mama zilitoka kwa Wenyeviti wa CCM mikoa na Wilaya pamoja na Karibu mkuu wa...
Kipindi Cha mwendazake wengi walitangazwa kinguvu na wakurugenzi licha ya chadema kushinda viti vingi including kawe na Ubungo.
Wakurugenzi walikuwa wameshaelekezwa kuwa atakayetangaza chadema tu basi ajihesabu hana kazi na hakuna aliyekuwa tayari kupoteza kazi kisa kumpa ulaji mwingine.
Kwa...
Mi naamini wabunge wa chadema wote wa dar walishinda ispokuw temeke ambapo ni ngome ya ccm.
Wakurugrnzi waliambiwa watangaze wanaccm hivyohivyo come what may. Mfano imedhihirika wazi mbowe alishinda ila kwa vile sabaya aliagizwa kwa kazi maalumu ya kuchinja, kuteka na kuua isingekuwa rahisi...
Wabunge wengine wameingia bungeni kwa upepo au kwa kushtukiza na kwenye majimbo yao wamelala usingizi wanasubiri kupitishwa tena kurudi Dodoma bila jasho;-
1. Dkt. Kalemani
2. Msukuma
3. Prof. Ndalichako
4. Saashisha Mafue
5. Polepole
6. Priscus Tarimo
7. Dr Bashiru
8. ……………,
9. …………….,
Wabunge wote wanaogopewa na serikali ya Rais Samia na ndio mkaona kila mmoja ana uthubutu wa kuropoka na kusema analolitaka, kubwa ni kuwa wabunge hawa hawakupigiwa kura na wananchi, ila walifanyiwa utaratibu na wote wakashinda na wao wanajua yale maagizo yote waliyokabidhiwa na mbinu...
Wakuu,
Mtiririko hua uko hivi:
Mhe. Spika anasema anayefuatia kuchangia ni Mheshimiwa kipele uchungu, mheshimiwa mbunge kipele uchungu anaanza:
1. Kwanza Namshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma
2. Pili nakushukuru wewe mheshimiwa spika kwa jinsi unavoongoza vizuri bunge letu
3. Tatu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.