wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Tupige kura Mawaziri na wabunge waliofanya vizuri Bunge la Bajeti 2023/2024

    Bunge la Bajeti limekwisha leo tuweke orodha na mawaziri na wabunge walifanya vizuri Bunge hili. Mawaziri 1. Juma Aweso 2. Innocent Bashungwa 3. Angela Kairuki 4. Kapteni Mkuchika UPANDE wa Wabunge 1. Tabasamu 2. Msukuma 3. Kingu 4. Mnyeti 5. Prof. Mkumbo Wengine tuendelee.
  2. Kuna la kujifunza kuhusu mkataba wa DP World na wabunge wa CCM,

    Nimeuliza tu !! Japo mada hii itafutwa nusu saa ijayo
  3. Ni aibu sana kuona Wabunge waliokuwa wa Kwanza Kukimbia 'King'ora' jana Bungeni ni wa Kiume

    Mmetuaibisha mno Wanaume Wenzenu na kuna Mbunge wa Kiume Mmoja aliamua kabisa Kuvua Viatu vyake huku akivishika Mkononi na Kukimbia peku na akipiga Yowe kutoka nje. Wabunge wa Kike wakiongozwa na Spika wa Bunge walikuwa Watulivu hata wakati Wanatoka Bungeni. Nashukuru huyu Mbunge si wa Mara.
  4. Wabunge wakerwa watoto kukata viuno katika Mahafali yao

    Kwa anayetaka Taarifa kamili juu ya Wabunge kukerwa na watoto kukata viuno katika Mahafali yao, tafuta copy yako ya Gazeti la Habari Leo la leo ukurasa wa Nne (4) ili uyajue mengi.
  5. Wabunge walihongwa na DP World; ushahidi huu hapa!

    Naingia kwenye mada moja kwa moja nisiwachoshe na maneno mengi. Ukimsikiliza huyu mbunge kwa umakini utakubaliana nami pasi na shaka kwamba wabunge wa CCM walihongwa na kampuni ya DP World ili kuwauzia nchi. Inauma sana. Kumbe mkataba ulisainiwa tangu mwaka jana, sasa hawa wezi wanatuchora tu...
  6. T

    Rais Samia na wabunge wetu, mnataka wananchi wafanye nini msikilize maoni yao na kufanyia kazi?

    Ni swali tu kwenu viongozi wetu hasa kuhusu hili la DP world kupewa Bandari zote za Tanzania Bara. Wananchi hamtaki waandamane maana wakifanya hivyo mnawaona ni kama wanyama wasiostahili kuishi, mtahakikisha wanapigwa ikiwezekana kumiminiwa risasi za moto! Wamekubali hilo, sasa wanatoa maoni...
  7. M

    DODOMA; Wabunge Washindana kula Ubwabwa!

    Salamu Wakuu, Baadaye ya kuumiza vichwa na mijadala ya mizito ya kuitoa Tanzania kwenye Lindi la umaskini, leo Wabunge wanafanya bonanza la kushindana kula Ubwabwa na maharage!
  8. Wabunge Watoa Hoja Kuishauri Serikali Juu ya Wakulima Kuuza Mazao Nje ya Nchi

    WABUNGE WATOA HOJA KUISHAURI SERIKALI JUU YA WAKULIMA KUUZA MAZAO NJE YA NCHI Mbunge wa Jimbo la Momba, Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe amewaongoza wabunge wanaotokea maeneo ya wakulima na wafanyabiashara kutoa hoja ya kuishauri Serikali namna nzuri ya kuwasaidia wakulima wanaouza mazao...
  9. Uendeshaji wa Bandari: Wabunge Wataka Rais Samia asirudi nyuma

    WABUNGE wameishauri serikali kutosikiliza maneno ya watu wa mtandaoni kuhusu ushirikiano wa Serikali za Tanzania na Dubai katika makubaliano ya uwekezaji kwenye bandari zilizopo nchini (IGA) kwa kuwa wanaofanya hivyo hawaitaki nchi mema. Pia, wameitaka serikali kuharakisha kusaini mikataba...
  10. Wabunge mnatukera, ukishauriwa , shaurika!

    Nimesikiliza jana michango ya wabunge kwa mara nyingine kuhusu suala la Bandari. Wabunge huwa wanafikiri kwa vile wao wana kipaza sauti, basi wana akii sana, siyo hivyo. Wabunge waeelwe kuwa wanawawakilsha wananchi kule bungeni, na wananchi ndio waajiri wao. Na angalizo tu ni kwamba wabunge...
  11. Wabunge jifunzeni

    Uchawa haulipi. Nisifa tu kwa wahuni. Waheshimiwa Wanasiasa jifunzeni uwajibikaji kwa hawa waliowadogo: 1: Mbunge Waitara kutoka Tarime vijijini, Serikali'' ilipomjibu majibu mepesi kwa maswali magumu, uongo kwenye uhalisia alikataa mchana kweupe, hicho ndo tumewatuma mkafanye na sio kupigwa...
  12. Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

    Azimio la Bunge kuhusu Pendekezo la Kuridhiwa Mkataba baina ya Serikali ya Jamhuri ya Mungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai kwa lengo la kuanzisha Ushirikiano wa Kiuchumi na Kijamii katika Uendelezaji wa Maeneo ya Bandari Nchini leo Juni 10, 2023. ====== Leo Juni 10, 2023, Bunge la...
  13. DP World: Zungu atinga mkutanoni na mafaili ya makubaliano

    Akizungumza na wananchi wa jimbo lake(Ilala), Mussa Azan Zungu amesema haya ni makubaliano ya Tz na UAE sio mkataba na DP-World. Amesema mkataba ukishapita ndipo Tz itaingia mkataba na DP-World ambapo ndipo wataenda kuweka mbele maslahi ya nchi sio sasa kwenye IGA(Inter Government Agreement)...
  14. A

    Prof. Assad: Wanaotaka viongozi wakubwa waongezewe madaraka ni 'mazuzu'

    Huyu hapa Prof wa ukweli PROFESA Mussa Assad, aliyewahi kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Tanzania (CAG) amekerwa na viongozi wenye uwezo wa kuzungumza ukweli kwa maslahi ya Taifa kushindwa kufanya hivyo. CAG huyo wa zamani amesema hayo leo Jumatano, tarehe 6 Oktoba 2021...
  15. Lissu atuhumu wabunge kuhongwa, waandishi walipewa 6m na DP World

    Tundu Lissu akiongea na waandishi wa habari kuhusu Mkataba wa Bandari, amesema DPW wamehonga karibia kila awaye na ushawishi. Waandishi zaidi ya 40 walipelekwa kula raha na miongoni mwao yupo mmoja amenieleza kwa siku tatu alizokaa kule alirejea na hongo ya mililioni 6!"
  16. H

    Siuoni mchango wa wabunge toka visiwani kwenye bunge la Muungano

    Huwa naangalia Sana bunge letu likiwa live. Huwa sioni mchango wa wale ndugu 54 kutoka Zanzibar ilhali kila siku wanachukua posho. Nashauri Kama inajadiliwa wizara isiyo yamuungano, hawa 54 wasiingie bungeni na wasipewe posho kwa siku husika. Mbunge kutoka Zanzibar atachangia nini kwa mfano...
  17. Wabunge wengi wa CCM sio wazalendo kwa nchi yetu

    Nimekuwa nafuatilia mijadala na vikao mbalimbali vya bunge letu hata wawapo majimboni hawatetei nchi wala wananchi ambao kimsingi wanawawakilisha. Muda wote wanamsifia mama Samia. Wote ni chawa ukiwatoa wawili tu Mhe. Luhaga Mpina na Sanga wa Makete angalau unawasikia wanaongea nini na...
  18. Wabunge wengi wa CCM sio wazalendo kwa yetu

    Nimekuwa nafuatilia mijadala na vikao mbalimbali vya bunge letu hata wawapo majimboni hawatetei nchi wala wananchi ambao kimsingi wanawawakilisha. Muda wote wanamsifia mama Samia. Wote ni chawa ukiwatoa wawili tu Mhe. Luhaga Mpina na Sanga wa Makete angalau unawasikia wanaongea nini na...
  19. Wabunge tumieni pesa yenu vizuri, wengi hamtorudi msimu ujao

    Hali niionayo sasa na ajenda za uchaguzi zinazozidi kuzaliwa, hasira ya wananchi ninayoiona kwa mabo mengi mchanganyiko, kuchoka kwa walio wengi kuona mambo yaleyale kwa miaka 62 Ongezeko la unemployment inayoongezeka, utumwa unaoongezeka wa walionacho na wasionacho, uongozi usiolidhisha wa...
  20. Kama Wabunge wanajadili mkataba wa Bandari ambao si halisi, tuambieni mkataba halisi uko wapi?

    NDUGU WATANZANIA, Kama huu sio mkataba wenyewe, watwambie mkataba wenyewe uko wapi. Na kwanini bunge linaacha kujadili mkataba wenyewe linajadili mkataba ambao sio. Viongozi, Bunge, Wapiga debe wao, na madalali wa rasilimali zetu wanasema huu mkataba uliosambaa na uliojadiliwa sio wenyewe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…