Amini usiamini hao wahuni wataishia kupiga mkelele na hakuna kitu itatendeka .
Walikuwa wapi hadi pesa yote hiyo inapotea. Wezi wengine ni miongoni mwao.
Wanajaribu kutuhadaaa eti waanauchungu nothing...tujipange 2025 tuwatupilie mbali
Issa Mtemvu akiwa anachangia hoja amesema ana kauli mbiu inayosema Kumtenganisha Rais, kumtenganisha Rais na Wezi, akisema yuko tayari kutofautiana na kauli ya Olesendek alisema "Kuwatenganisha Mawaziri na Wezi" akisema,
Anaamini Makamisaa wamepelekwa kwenye Wizara ili wawasaidie Wabunge na...
Yaani hii ndio ingekuwa ni Tanzania pale Dodoma saa hii viti vilikuwa vinaumia kwa makofi maana ni swala ambalo wangesema tumechelewa sana 😅 Tanzania
Ila Tanzania muda mwingine unawaza kwanini haya mavituko yanafanyika kwenye mamlaka zetu nyeti kiasi kwamba hawaoni aibu hata chembe 😂
Akiwa bungeni katika katika Mkutano wa 13, Kiako cha 1, leo Oktoba 31, 2023 Spika tulia amesema, ili waweze kukomboa Muda bunge liwe limepokea pongezi zote kwa mujibu wa kanuni zake, na sio kila mbunge akianza kuongea aanze kwanza kutoa pongezi.
Hatua hiyo inafuatia taarifa za Wanajeshi kuvamia makazi ya Watu Oktoba 29, 2023 na kuwajeruhi kwa vipigo ikidaiwa ni kulipiza kisasi kwa madai kuwa Wananchi wa eneo la Garu Kaskazini Mashariki mwa Ghana waliwashambulia Maafisa wa Vikosi vya Usalama wa Taifa waliokuwa wakipambana na ugaidi...
Kiongozi huyo wa Kijeshi ametangaza rasmi kuwa hatochukua Mshahara huo kwa muda wote atakaokuwa Madarakani isipokuwa ataendelea kupokea Mshahara wa Kamanda wa Jeshi, nafasi ambayo alikuwa akiitumikia kabla ya Mapinduzi yaliyomuondoa Ali Bongo.
Msemaji wa Serikali amesema Jenerali Nguema...
Zoezi hilo linafanyika kwa kukamilisha kipindi cha kwanza cha miaka 6 cha utawala wa aliyewahi kuwa Mwanasoka Bora wa Dunia wa FIFA mwaka 1995, George Weah ambaye aliingia Madarakani mwaka 2017.
George Weah anakabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa Wagombea Urais 19 akiwemo aliyewahi kuwa Makamu...
Kila kona mnalalama, eti mafuta yanapatikana kwa bei juu, Chakula bei juu, umeme umekuwa unakatika masaa 24, rushwa na uonevu kila kona hii ni ishara mbaya.
Mkuu wa nchi yetu anapoapa ili atuongoze huwa anaapa kuilinda na kuitetea Katiba ya JMT.
Sasa kama Katiba ilitungwa ili Watanzania...
Tumeona Nachingwea kilichotokea, tumeona kwa Mrisho Gambo Arusha namna alivyoondolewa kwenye siasa za ushindani; tumeona huko Arumeru nako Mbunge aliyepo ameondolewa kabisa kwenye tamani ya kisiasa.
Hali ipo hivyo jimbo la Hai, Moshi mjini, Mikumi, Tarime, Bunda, majimbo ya Mwanza, Baridi...
Ni Wazi kabisa 2025 Serikali ya Mseto inanukia na CCM imeanza mazoezi kwa kuteua Naibu Waziri mkuu ambaye hapigiwi kura na Wabunge.
Japo haipo kikatiba lakini uwezekano mkubwa ni Vyama vya Upinzani kutoa Wabunge wengi kuliko CCM na hivyo maamuzi ya nani awe Waziri mkuu yatakuwa mikononi mwao...
Huu ni mtazamo wangu binafsi kuhusu hali ya kisasa nchini sijui ni nini kimetokea kwenye taifa letu. Hilo jambo litatokea si Kwa sababu watu wanamapenzi mema na CCM na wala si kwa sababu watu wana Imani na CCM na sera zake, bali itatokea Kwa sababu ya watanzania kukosa mwamko wa kisiasa...
Kauli za kiongozi mwandamizi wa CCM ndugu A. Kinana kuwa Chadema wanakiuka misingi ya maridhiano ni picha kuwa Chadema wanashusha maneno mazito yanayoumiza umtima.
Sakata la bandari limeibua mengi. Huko mikoani Chadema wanashambulia majukwaa . Wanaongea mengiii kiasi cha kuonekana wanakiuka...
Bashe amesema sio dhambi kwa viongozi wa bodi ya pamba kufanya biashara ya pamba, na wala hakuna tatizo kwa wabunge kufanya biashara hiyo ya pamba.
Jana tar 2/9/2023 Lissu aliongelea jambo hili akiwataja viongozi wa CCM ambao akiwepo Mwenyekiti wa Bodi ya Pamba kutawala biashara hivyo na hivyo...
Ule usemi wa "nyani haoni kundule" umedhihirika pale Katibu Mkuu wa CCM, Abdallahaman Kinana alipowachana wanachama wa CCM katika mkutano alioufanya hapo jana mjini Kigoma kwa kuwaambia wanachama wa chama hicho waache kupendeleana wala kubebana kwani kwa kufanya hivyo tutazalisha makundi mengi...
Sakata la Bandari na kashifa nyingine zinaziendelea kuibuliwa kama hii ya kuwapa Waarabu hifadhi za misitu yetu na nyinginezo kama ya Ngorongo, zinakwenda kuimalliza vibaya CCM pamoja na mgombea wao wa uraisi ambae bila shaka atakuwa ni Mama Samia kwenye uchaguzi mkuu ujao wa 2025.
Kashifa...
Taarifa za rafiki yangu ambaye ni mfanyabiashara ni kwamba wabunge wengi ikiwa pamoja na waziri wa Fedha schoolmate wangu Mwigulu ni wawekezaji wakubwa kwenye magari. Tatizo wanaogopa safari za treni zikianza biashara zao zitapata wakati mgumu.
Hivyo wanahujumu kucheleweshwa kwa mradi kwa...
22 August 2023
https://m.youtube.com/watch?v=jOoXIZ27tUA
Abdulrahman Kinana anasema toka mfumo wa vyama vingi idadi ya wabunge na wawakilishi imekuwa ikipanda na hata uchaguzi wa 2020 idadi ingekuwa kubwa zaidi ya namba za wabunge kutoka vyama vya upinzani ila changamoto mbalimbali ikiwemo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.