Kuna kitu hakiko sawa katika ajira za Tanzania hasa kwenye upande wa ajira za majeshi.
Hivi walioweka kigezo cha mtu ili apate nafasi ya Uhamiaji, JWTZ, Police, Magereza, na Fire eti lazima awe amepitia JKT waliwaza nini na kwa manufaa ya nani?
Kama tujuavyo siyo kila mtu au mhitimu yeyote...
Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Janejelly James ameishauri Serikali kuandaa eneo maalumu la viongozi kupumzika baada ya kazi akidai kuwa hivi sasa hali imebadilika kwa kuwa viongozi wameondolewa raha ya faragha na kusababaisha waonekane hawana maadili.
Kuna tetesi kuwa baadhi ya wabunge wamejipanga kuwasilisha hoja bungeni ya kutokuwa na imani na Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson baada ya kuonekana wazi kushindwa kuuongoza mhimili huo kwa manufaa ya watanzania.
Hatua ya wabunge hao inakuja baada ya Spika kuzima ajenda za wananchi ambapo baadhi...
hechejohn
Hivi ccm huwa inatoa wapi wabunge wajinga wa kiwango hiki!!!!! Imagine huyu ni kijana, kwasababu ya mshahara mkubwa na Posho hajui jinsi maisha yalivyo magumu kwa watu..
Bado anataka kuongeza mzigo!!!
Pesa zipo za kutosha lakini zinaibiwa kwasababu ya wajinga kama huyu Kushindwa...
Bunge linaloongozwa na Tulia Akson limekosa mvuto, limeshuka hadhi na limepoteza meno kabisa.
Tangu Tulia akalie kiti cha uspika hatujaona mijadala yenye tija, maazimio yenye tija na maamuzi yenye tija. Bunge halina tofauti na kijiwe.
Mbunge anatoa tuhuma za jumla jumla zinazochafua bunge na...
Nimeangalia matangazo ya bunge kwa siku tatu mfululizo waheshimiwa wengi ambao ni wageni mjengoni, wamekuwa na katabia kama ka mashabiki wa mpira wa bongo wakiwa uwanja wa taifa wanavyofanya pindi camera ikiwazoom kwenye tv la pale uwanjani nadhani mwafahamu wanavyo fanyaga.
Kituko hiki...
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 6 leo Aprili 13, 2023 jijini Dodoma.
SERIKALI YAAGIZA NHIF ITOE KIBALI MATUMIZI YA CT SCAN HOSPITALI YA IRINGA
Agizo hilo limetolewa baada Mbunge Jesca Msambatavangu kuhoji Bungeni sababu za wagonjwa wanaotumia Bima ya NHIF...
Spika Tulia amesema Ripoti ya CAG itajadiliwa kwenye Mkutano wa mwezi November 2023
Huyo ni baada ya Kamati za Bunge kuwa zimeshakamilisha wajibu wake wa kisheria.
==========
Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amesema ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka...
bunge
bungeni
cag
ccm
dkt. tulia ackson
hoja
kali
kamati kuu
kuhusu
marufuku
mbona
mbunge
novemba
ripoti
ripoti ya cag
spika
spika wa bunge
taarifa
vita
wabunge
Wabunge
Madiwani
Wenyeviti serikali za mitaa
Hawa ndio watu ambao wanasababisha nchi yetu iende hovyo hovyo.
Wabunge ambao hawajasoma hawana tija wala msaada kwa taifa na sababu ni kuwa hawaelewi miswada inayopelekwa bungeni, hivyo wao hukubaliana na kila kitu wanachoambiwa.
Madiwani kwenye...
Kama kweli hawa wabunge wanataka wabunge wote waangaliwe ushoga basi waite Daktari na wajue hakuna vifaa maalumu vya kuangalia.
Madaktari wanatumia kidole cha katikati na kuvaa gloves kupima misuli hiyo. Tunawatakia afya njema na tuanze kujadili ripoti ya CAG na sio wapenda vidole na wabunge...
Dollar za kimarekani ziliadimika hivyo ilifanya biashara kwetu wakinga kuwa ngumu kidogo na Mimi pia nilikaa kimya kutafuta dollar ili kuweza kuagiza mizigo ya biashara, Kwa bahati nzuri hata Nairobi nao dollar ilikuwa shida kwao.
Turudi kwenye mada kwa sisi wana CCM na mambo yanayoendelea...
Fedha yakuhudumia vyura iliwasilishwa Bunge la bajeti na ikapitishwa Kwa kishindo na wabunge tena Kwa sifa kedekede.
Leo TANESCO wamefanya matumizi wabunge wale wale waliopitisha hizo fedha wanashangaa na kujifanya Wana uchungu.....huu ni uzuzu.
Kama walikuwa Wana uchungu wangekataa...
Upo wajibu wa Rais, wajibu wa Makamu wa Rais, waziri mkuu, Mawaziri, wabunge, spike na wananchi. Hivyohivyo kwenye ngazi ya familia uko wajibu wa baba, wajibu wa mama na wajibu watoto. Kila wajibu (role) una matarajio (expectations) kwa wale unaowahudumia na mara nyingi kama sio mara zote kila...
WABUNGE WA TANZANIA WANAWAJIBIKA KWA NANI?
Juzi kulikuwa ni kikao cha bunge kilichobeba azimio la kumpongeza Rais Samia. Sina shaka na pongezi za rais lakini shaka ni aina ya ajenda na walioamua kuibeba ajenda.
Matatizo ya kujadili kama WABUNGE wanaowakilisha wananchi zaidi ya milioni 60 ni...
Hakuna upinzani sasa. Maana sio Chdema au wenzao wote ni sehemu ya CCM.
Hili la maridhiano ni porojp tu na hizi ni uganga njaa wa kisiasa.
Sasa kwa nini tuchague vyama ambavyo ni CCM b, c au d. Bora kuchagua CCM yenyewe tu kuliko kuchagua wanaoigiza upinzani feki
Najua wanaChadema wengi...
Mhandisi Ezra Chiwelesa amewasilisha azimio la Bunge kumpongeza Rais wa Tanzania, Samia Suluhu kwa kuimarisha demokrasia nchini na kuimarisha diplomasia ya Uchumi.
Mhandisi Ezra pia amemshukuru Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson kwa kuruhusu na kumpa fursa ya kuwasilisha hoja ya azimio...
azimio
bunge
bunge la tanzania
demokrasia
diplomasia
diplomasia ya uchumi
kuimarisha
kumpongeza
mkono
rais
rais samia
ratiba
samia
shughuli
tanzania
tulia ackson
uchumi
wabunge
wote
Napenda Kujua hawa wanaolalamikiwa ni akina Nani maana.
1. CCM wote wanalalamika.
2. Rais analalamika.
3. Mawaziri wanalalamika.
4. Wananchi wanalalamika.
5. Wabunge wote wanalalamika.
Yaani Kila mtu anapiga kelele wakamatwe wakamatwe, kwani hao wezi wa Mali zetu ni wa nchi gani?
Wabunge wa Mkoa wetu wanafahamu kutumia fursa za kiuongozi?
OMR ndiyo yenye dhamana na masuala ya mazingira nchini. Sasa Je tumeitumia vema Ofisi ya Mhe Isdory Mpango - Makamu wa Rais katka eneo hili la mazingira??
Je, Mhe Isdory Mpango (Makamu wa Rais) mwenyewe ameelekeza watendaji wake ktk...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.