Upo wajibu wa Rais, wajibu wa Makamu wa Rais, waziri mkuu, Mawaziri, wabunge, spike na wananchi. Hivyohivyo kwenye ngazi ya familia uko wajibu wa baba, wajibu wa mama na wajibu watoto. Kila wajibu (role) una matarajio (expectations) kwa wale unaowahudumia na mara nyingi kama sio mara zote kila...