Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) umewahimiza wabunifu nchini kusajili kazi zao ili kuzilinda kisheria, Wakala imeeleza kuwa usajili huo utawasaidia wabunifu kuzipa thamani kazi zao na kufungua fursa mpya za kibiashara na kiuchumi.
Hayo yamebainishwa na Msajili Msaidizi Mwandamizi...