Naipenda Yanga,
Furaha yangu sio pombe, furaha sio mpira wa Ulaya, Furaha ni Yanga.
Mkifungwa mjue tunaumia zaidi yenu.
Wikiendi yangu imeanza vizuri, Naomba kesho muindeleze kwa furaha tele.
Ile ndoto niliyoota kwamba mnyama anakufa 3+ na ikatimie.
Asanteni.
Sioni ajabu hii Yanga kushindwa kwenda mbali kimataifa kwani mechi zinazochezeshwa na waamuzi wa nje,wanacheza mpira na sio mieleka wakati wa kukaba ndio maana wanafungika vizuri sana.
Waamuzi wetu hapa huona sana mchezaji wa yanga anapoguswa na kujiangusha pale anapozidiwa ujanja,lakini...
Wachambuzi 𝐒𝐡𝐚𝐟𝐟𝐢 𝐃𝐚𝐮𝐝𝐚 & 𝐉𝐞𝐦𝐞𝐝𝐚𝐫 𝐒𝐚𝐢𝐝 mna maoni gani kuhusu timu ya Yanga kubadili kikosi na kuamua kuwaweka Job, Paccome, Aziz & Chama nje? Hakuna tuhuma za kupanga matokeo hapa? Je ni kweli GSM anahusika na kuharibu ligi yetu? Tunasubiri makala zenu Waheshimiwa. 😀
Wachezaji wa klabu ya Yanga wakiwa wameambatana na Afisa Habari wao Ali Kamwe kwenye harusi ya Mchezaji Aziz Ki na Hamisa Mobetto.
Soma, Pia: VIDEO: Aziz Ki tayari amefunga ndoa, ala kiapo cha kuwa mume wa Hamisa Mobetto
Aziz ki na Hamisa Mobetto wanafanya sherehe ya ndoa yao (Harusi) hii leo
Coach Ramovic nitakukupopoa hadi utakapobadilika.
Mimi kama mtaalam wa football na mwanachama wa Yanga bado Ramovic hajanishawishi Kwa mbinu zake
Leo ameanza na mabeki 5 nyuma Bacca, Job, Boka, Kibwana na Israh,
Hii mbinu imenishangaza, kocha aliamua kujilinda sana dhidi ya Kagera sugar...
Anachokifanya hivi sasa ni kama amefikia ukomo wa uwezo wake, au anajiandaa kuondoka lakini anataka aiache timu katika mazingira ambayo inapelekea akumbukwe.
Amefanya mambo makuwa sana ndani ya Yanga na kujijengea heshima. Lakini Kwa ninachokiona hivi sasa, ni dhahiri kuna mgogoro ndani ya...
Nakumbuka mwanzoni mwa msimu huu nilipongeza usajili mzuri waliofanya Simba ila nikatoa angalizo moja kuwa wachezaji wa Simba wapigwe marufuku kuzoeana na wachezaji wa Yanga nje ya uwanja.
Naelewa hawa wachezaji wana maisha nje ya uwanja na naelewa pia wengine wana historia zinazoingiliana kwa...
Jamaa bana wana slogan inafurahisha sana, gusa achia twende kwao, hiyo ndio slogan ya Mjerumani.
Ukiangalia wanachokifanya uwanjani hamna lolote, hakuna gusa achia twende kwao
Ngojeni wakaliwe huko ugenini
Habari! Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.
Jana baada ya kipigo cha 0-2 toka kwa Al Hilal ya Sudan, baadhi ya wachezaji wa Yanga wakiongozwa na Kibwana Shomari walionekana kuondoka uwanjani hapo kwa usafiri binafsi na sio wa pamoja kama timu ambapo Kibwana alionekana kuondoka na bodaboda...
I salute you kinsmen.
Tulisema tangu mwanzo uongozi wetu Yanga unalega lega sana , kabla hata ya kufungwa na Azam, kisha Tabora ,na sasa wasudan wale .
Kuliikuwa na viashiria vingi tu uongozi wetu ulikuwa unafanya kazi kwa hisia sana kuliko akili.
Gamondi manzoni mwa msimu ule alihitaji...
Ndugu zangu wananchi,viongozi wenu walikosea kwenye dirisha kubwa la usajili,kwenye dirisha kubwa mchezaji aliyesajiliwa kwa usahihi ni Duke Abuya,wengine wote waliobaki Yanga imepigwa,engineer na hao viongozi wengine wamehiijumu Yanga baada ya kuona Yanga imefanya vinzuri ndani ya misimu 3...
Baada kipigo kutoka kwa Al Hilal (2-0) kocha wa yanga anasema “Wachezaji wangu hawana fitness ya kucheza dakika 90”
— Kocha Sead Ramovic
Soma Pia: FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |
Vijana Dicksoni Job, Ibrahim Bacca, Mudathir Yahya na Clement Mzize walipiga kazi ya uhakika wakiwa na pumzi Ile Ile mwanzo mwisho mpaka nikajiuliza Hawa wamechomwa sindano za kuongeza nguvu wakiwa kwenye kambi ya timu ya taifa kama tulivyoaminishwa na wajinga wachache ama imekuwaje?
Pumzi za...
Nimeshangaa kujua kumbe Azizi Ki aliyekosa Penati siku Yanga inacheza na Tabora United, aliwaongoza wachezaji wenzake wa Yanga kuishuhudia Simba ikiidungua TABORA UNITED 3-0 Agosti 18 2024.
Sasa kama hawakujifunza mbinu za kuifunga Tabora United toka kwa Simba, basi Yanga kufungwa kwao ni halali.
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane !
Tarehe 26 ni siku ambayo timu yangu ya Yanga unakwenda Kucheza mechi ya kwanza ya michuano ya klabu Bingwa Afrika dhidi ya Al Hilal Omdurman,siku hii naelewa kabisa Yanga atafungwa si chini ya Goli 3 na ndiyo siku ambayo kocha Gamondi anaenda kutimuliwa...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Nadhani kama ni kushauri nimeshauri sana!,sijajua kama viongozi wangu wa timu pendwa Afrika Kwa Sasa ya Yanga huwa wanapata wasaa wa kupita huku JF na kuokota chochote kitu kutoka Kwa wadau ili kumfikisha Gamondi kichwa kigumu Yale yote tunayotaka...
Mechi ya jana imetuonyesha ubora wa Yanga kuanzia fitness level yao mpaka team work yao ni ya viwango vya juu sana!
Tumezoea team mojawapo inapokuwa pungufu kwa mchezaji Mmoja mara nyingi uwa inafanya sub za kulinda zaidi kwenye eneo lake ili kukabiliana na mpinzani husika lakini jana ilikuwa...
Yanga ilishuka lini? Wakati wa pre-season ilichukua ubingwa wa mashindano ya ToYOTA, kwenye Yanga day ilishinda, kwenye ngao ya jamii ilishinda, kwenye ligi imeshinda mechi zote bila kufungwa na kwenye mashindano ya CAF imeingia hatua ya makundi. Yanga ilishuka kiwango kuanzia lini...
Klabu kongwe nchini, Simba Sports Club imeingia vitani na watani zao Yanga Afrika kwenye kinyang'anyiro cha kuzisaka saini za mastaa wa klabu hiyo yenye makao makuu yake Jangwani jijini Dar Es Salaam Pacome Zouzoua na Khalid Aucho.
Mastaa hao tegemezi katika kikosi cha kwanza cha Yanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.