Ukijaribu kufatilia kuanzia mechi ya Yanga vs Kmc na leo Yanga vs Pamba Jiji utagundua kuna mkakati wa maksudi kuumiza wachezaji wa Yanga ili tarehe 19/10 Wachezaji wengi wa Yanga wawe majeruhi na Simba ipate angalau mteremko kwwnye mechi ya watani wa jadi.
Benchi la ufundi la Yanga lina kazi...
Kwahiyo imetafutwa kila namna mwisho wa Siku Yanga iwe imeita Wachezaji Watano Taifa Stars na Simba ibakie na Wachezaji Wanne walioitwa? Ndiyo maana kuna muda huwa naichukia Taifa Stars kwani imejaa mno Usimba na Uyanga wakati kumbe katika Vilabu vingine kuna Wachezaji wazuri sana wa kuipigania...
Salaam wakuu
Katika pitapita zangu huku mjini Twitter + mtandao mingine nimeshuhudia watu mbalimbali wakijadili ubora wa benchi la Yanga ......kiasi Kwamba mbinu za Gamondi zatawala michuano ya AFCON.......Kiasi Kwamba wachezaji wa Yanga wayabeba mataifa mengi mfano ... Tanzania.(...
Ana bahati ya kuwa na wachezaji wazuri na ndio wanaombeba!! Anapewa sifa asizostahili!! Wachezaji wa Yanga hata ukimpa Julio anaweza kutinga fainali CAF champions league!! Gamondi hamna kitu!!
Vijana wamepikwa wakapikika sasa wamekuwa msaada mkubwa kwenye mataifa yao.
Kule Kenya Duke abuya katupia goli maridadi kabisa, hapa Tanzania Mudathir yahya katupia pia, bila kusahau kule Zambia Kennedy musonda nae katupia!
Hiyo ndio maana halisi ya wachezaji wakubwa na mambo yao ni makubwa...
Simba iliwahi kuambiwa inapuliza dawa kwenye vyumba vya wapinzani,ikapuuzia kashfa ikafa kimya kimya
Sasa kuna kashfa moja huko mitandaoni kuwa wachezaji wa Yanga wanatumia dawa za kuongeza nguvu.
Siku CAF wakiamua kuwapima wachezaji ikionekana ni kweli tumekwisha. Kuna timu huwa zinafanya...
Impact ya Chama jangwani sio kwenye mechi tu. Bali kwenye uwanja wa mazoezi.
Sio Aziz ki, Pacome na Max wote walisema walitamani Sana kucheza na Chama. Sisi huku vilaza oh kazeeka. Oh ela kubwa.
Chama now sio mchezaji. Anaweza kuwa assistant coach au kocha kamili wa viungo washambuliaji na...
Wakuu Kwa jinsi kikosi kizito Cha Yanga ( Real Madrid ya Africa) kilivyoshonwa Kwa mastaa wazito na kukifanya kiwe kikosi hatari Kwa ukanda huu wa CECAFA na kusini mwa Jangwa la Sahara
Kwa mfano viongozi wa Yanga kama wakiamua kuongeza wachezaji wa pale Simba, Je ni wachezaji gani wa Simba...
Kama nilivyosema hapo juu hii simba itaendelea kuchezea vichapo mpaka akili za mashabiki wa simba ziamke kwamba muhindi na mpira wapi na wapi.
Wachezaji wote wa Simba usajili wao ni million 100 yaani mwaka huu Simba wametumia million 100 kusajili maana sio Kwa hii mizigo waliyoileta msimu huu...
Yanga imechagua professional football over drama na traditional ways of doing things na kimsingi wapo serious .
Hakuna mambo ya ulaghai. Kalumanzila na mpira wa mdomoni.. everything ni kwenye pitch , tuoneshe kikosi cha bil 7, otherwise ni drama na traditional ways of doing things.
Very soon...
Wanacheza vizuri, wana speed, viungo wazuri, mabeki wazuri, mshambuliaji mzuri tena vifaa vingine kama Baleke walikuwa jukwaani, unabishana na nani sasa.
Mtu yeyote anayetoa mapovu kuwa Yanga wabovu, wananunua mechi, wanabebwa huyo sio mtu wa mpira.
Hii timu yao hata ukichukia vip sio shida...
Duke abuya is overated. he plays a huge role in yanga poor attack . abuya can't be played with aziz ki, max or Aucho, The midfield gets less service with Abuya on the field. Gamondi should have noticed this.
he is a bad player who works hard 🚮
Abuya has small football brains. If you noticed...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.