Kanisa la Moravian Tanzania limetoa tamko kuhusu matukio yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, likiungana na Watanzania kutafakari na kusisitiza umuhimu wa amani, haki na mshikamano wa kitaifa.
Katika waraka huo uliotolewa Novemba 23, 2025, kanisa limesema matukio...