wadada

Nicholas Wadada Wakiro (born 27 July 1994) is a Ugandan professional footballer who plays as a right-back for Azam F.C. of Tanzania and the Uganda national team.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    Kwanini wadada Wanawapiga vibuti Wanaume wafupi na Wanene, Labda wawe na pesa nyingi sana

    Kwakweli kuna msiba mkubwa sana kwa watu wafupi na wale wanene, watu hawa hasa wenye kipato cha kawaida ama kipato kidogo wamekuwa wakipata wakati mgumu sana kupata rafiki wa kike, yaani wanawake wengi wamekuwa wakitongozwa na hata ikitokea nafasi ya kuolewa na watu wafupi ama wanene wengi...
  2. Eli Cohen

    Usingomaza unaongezeka kwa maana wadada hawataki tena kutii mabwana zao ila wakienda makazini hata boss akimtuma maji ya kunywa anasema "yes sir"

    Najua mnaweza kuja na claim ya kuwa unakuta bwana ni mkorofi, aaah waapi!? Ebu jaribu kuwa mpole wa kupitiliza uone jinsi gani mwanamke atakavyokuendesha. Tatizo kuwa hamtaki tena role ya "traditional woman" iliozoeleka katika mapenzi, mnataka mapenzi ya instagram, ukweli ni kuwa mwanaume...
  3. GANJIBHAAI

    Wadada wa JamiiForums naomba mpokee maua yenu

    Kwanza kabisa naomba nianze kwa kusalimia Wakubwa zangu Shikamoo, wadogo zangu Marahaba, Mashangazi Chei chei!, Nimejiuliza sana hivi mliwezaje kujiunga na JamiiForums, maana nimejaribu kufanya tafiti kwenye jamii inayonizunguka simuoni mdada anayefanania kuwa na akaunti JF, wengi wao...
  4. KENZY

    Wadada wenye mapenzi ya dhati wawekewe nembo!

    Nimechoka kutangatanga nahitaji kuupumzisha moyo sasa mtu unahangaika nakupigwa matukio mpaka unasahau jina lako!. Wawachape tu hata kialama kidogo kwenye makomwe tujichukulie mapumziko yetu tukatulienayo nyumbani!, hizi ndimu huku mtaani zitatuua!. kama vipi serikali ingilieni kati tu!.
  5. Balqior

    Wanaume wengi siku hizi wakiombwa msaada wa kipesa na wadada, wanahisi wanatapeliwa

    Hello wanajf Wanaume wengi siku hizi nimegundua tumekua wagumu wa kuweka effort kwenye mahusiano, hasa yakiwa mapya, namaanisha effort ya attention, pesa na juhudi, wanaume zamani tulikua tuko tayari kumsuburia mdada njiani masaa 3 huku tukiumwa na mbu na kumfukuzia miezi 8 hata miaka,, ili tu...
  6. Etugrul Bey

    Hatimaye Wadada Mmefikiwa

    Kwanza naomba mjue nawapenda sana maana bila uwepo wenu hapa duniani sijui kama maisha yangekuwa na thamani yoyote,ndiyo maana pamoja na baba yetu Adamu kuwa peponi lakini bado Mola wetu akaona mpatie mama yetu Hawa Ukimpenda mtu unamwambia ukweli ili kama kuna madhaifu anajirekebisha na huo...
  7. felakuti

    Viwanja vya kistaarabu vya kula bata na wadada classic

    Sometimes unapokuwa na hela hutamani kua sehemu ambayo sawa kuna wadada ila ukiwaangalia tu anakuja mezani kwako ama sehemu ulipo anaanza kukuambia twende tukapumzike ama naomba ninunulie bia, hapo hata personal hygiene yake ni mbaya.. Napenda sehemu ambazo za kistaarabu kuna pisi kali sawa ila...
  8. kyagata

    Kuelekea mwaka mpya, nawahurumia wanawake wa 1990s na 1980s ambao hawajaolewa mpaka leo

    Nawahurumia hawa wanawake waliozaliwa 1980s na 1990s ambao mpaka leo hawajaolewa coz most of them by mwakani watakua wanahit 35yrs to 40yrs. Mungu awakumbuke tu katika ukuu wake kwa kweli maana soko lao ndio hivyo tena lishaisha yani wamechuja.
  9. Balqior

    Hii tabia ya usagaji miaka hii imeanza kuwakumba wadada wengi

    Habarini, Kwenye jamii imezoeleka kuwa mapenzi ya jinsia moja kwa wanaume sahivi ni janga kubwa, miaka ya sasa changamoto kubwa ya kimalezi inakuwa ya wazazi kumchunga sana mtoto wa kiume kuliko wa kike. Ila kuna ishu ambayo haisemwi sana ya usagaji (wadada kushiriki ngono wenyewe kwa wenyewe)...
  10. sergio 5

    Wadada mnaotamba na amapiano tunawakumbusha mtapita tu shangazi zenu walikuwa busy na viduku

    Ukienda club mdada anajua kucheza piano anaringa kama mwenye degree ya MD Ukimuongelesha mashangazi nawakumbusha Kuna walikuwa wanaringa na style za VIDUKU
  11. S

    Wadada wakijiachia wanaangukia kwa wakware, wakibana sana wanaishia kuitwa mashangazi. Sasa wafanyeje?

    Duni hii siyo fair hata kidogo kwa wanawake. Tamaduni hazimpi mwanamke nguvu ya kuamua aolewe lini na aolewe na nani. Hivyo mwanamke hubakia njiapanda. Mtanziko huu ndiyo umewaingiza wanawake wengi sana kwenye dimbwi la usingo maza. Katika umri mdogo (early 20s) wanaume wanaowahadaa kuwa...
  12. Lugano Edom

    Wanaume wengi wanapenda kunyenyekewa na kupewa heshima

    Kumekuwa na changamoto sana hasa hawa Dada zangu wanao pata mafanikio ya kimaisha, au wamepata kazi nzuri, idadi kubwa ya dada hawa huwa ni single mother Wengine huishia kuwa Mashangazi sijajua shida ni uwezo wa kimaisha walio nao ndio unawatenga na kujihusisha na mahusiano au shida nini...
  13. Sisa Og

    Kwa Wadada Wanaotaka Kuolewa

    Habari wana JF? Leo nazungumza na wadada wanaotamani kuolewa. Kumiliki mwanaume. Kama hauna mpango huo, basi endelea na threads nyingine. Haijalishi mdada ni mrembo kiasi gani, una tabia nzuri kiasi gani. Ila hizi tabia zitakufanya uishie kuwa single mother, uchukie wanaume au wakufaidi...
  14. Dogoli kinyamkela

    Kuna wadada wana kiherehere

    Kuna wadada wana kiherehere, kanaanza mahusiano na mwanaume hana kazi wala biashara. Hujawahi kuona juhudi zake za utafutaji, unajichanganya kumchukulia mkopo halafu unakuja kutuita sisi wote mbwa sababu ya ubwege wako mwenyewe. Kaa jinga🥴🥴
  15. Lovelovie

    Tunauza nguo nzuri za wadada Mwanza

    Tunauza nguo za kike Nguo nzuri, quality nzuri Tunapatikana Mwanza Kirumba 0699728254 watsap/call Mikoani natuma Karibu upendeze.
  16. Burure

    Wadada wetu wa vyuoni wanajiuza sana hasa kwenye sehemu za starehe

    Siku za hivi karibuni tumeona Biashara ya kujiuza ikiendelea kukua siku hadi siku na sababu zikiwa ni nyingi Mimi kwa utafiti wangu mdogo nimezipata zifuatazo kupitia dada zetu waliopo kwenye vyuo mbalimbali hapa nchini 1. Ugumu wa Maisha Baadhi ya dada zetu wamekuwa wakijiingiza kwenye hii...
  17. Magical power

    Wadada wenye hizi Rangi wawekewe Ulinzi

    Wadada wenye hizi Rangi wawekewe Ulinzi
  18. Magical power

    Kuna wadada wanazaa na watu ili wapate kuhudumiwa kwa mgongo wa mtoto na wakiombwa mtoto wanamng'ang'ania hawataki because huduma itakata.

    ANDIKA hii, kuna wadada wanazaa na watu ili wapate kuhudumiwa kwa mgongo wa mtoto na wakiombwa mtoto wanamng'ang'ania hawataki kwasababu huduma itakata😀 na watapauka wanatafuta mwanaume mwenye pesa wanazaa naye ili wapate maisha kupitia yule mtoto wake Andika na hii ya mwisho, wapo wadada...
  19. Roseyree

    Kwa BuKu 1000 njoo nikupe siri machimbo unayoweza pata mitumba safi na quality za watoto,za wadada bei nafuu nguo kuanzia 300 pga 0625056158

    Hello wapendwa una mtaji mdogo au mkubwa na unataka uanze biashara ya Nguo za mtumba Then karibu nikuhudumie kwa buku tu kukuelekeza na kukushauri kuhusu biashara ya nguo za mtumba Za watoto Za kike Na kiume Bei nafuu Mfano nguo za watoto unapata kwanzia sh 300 , 500 , 1000 wewe tu Nguo...
  20. Sisa Og

    Wanawake mkifatwa mnaleta nyodo mkiachwa mnaanza kulia mtu arudi, mna shida gani?

    Kijana wa watu amekukubali vizuri tu. Lakini baada ya muda unaanza kuleta nyodo. Simu ukipokea uko busy, SMS unajibu shortly. Haya sasa, kijana anaamua kukuchana kuwa umechange hivyo kila mtu ashike 50 zake. Basi unalia wee, unaomba misamaha kibao na ahadi kibao ukidai unampenda sana...
Back
Top Bottom