wadada

Nicholas Wadada Wakiro (born 27 July 1994) is a Ugandan professional footballer who plays as a right-back for Azam F.C. of Tanzania and the Uganda national team.

View More On Wikipedia.org
  1. Nduka Original

    Pole Catherine Magige, hii iwe fundisho kwa wadada maarufu nchini

    Mbunge Catherine Magige amekuwa akiishi na kijana Madoda, Ex TRA Staff ambae alikuwa mkulima na pia anamiliki kampuni ya mikopo. Madoda walitengana na mke wake waliezaa watoto watatu kabla ya umauti haujamkuta. Walianza maisha na mkewe na Mungu aliwabariki kufikia walipofikia. Walitofautiana...
  2. Cryspina

    Wadada njooni niwape mpya, wakaka msahihishe panapohitaji usahihi

    Habari ya jumapili. Jana tukiwa dinner na gurls, pamoja na rafiki wengine wa kiume,tulijikuta tumeingia katika mjadala juu ya maswala ya wanawake kuomba pesa wanaume na wanaume kutokupenda kuombwa hela, pamoja na swala zima la kujitambua kifikra, finance, kutafuta mali, kujenga Wealth, na kuwa...
  3. mathsjery

    Ninyi wadada mnawaamini vipi wapenzi wanaowafatilia kwa kila kitu?

    Eti haka ka app mnakowekewa na wapenzi wenu mkikagundua vipi mnaendelea na penzi?
  4. Mboka man

    Ni kwanini wadada wengi at 30's age wanaforce sana ndoa au ukajitambulishe kwao?

    Tofauti na ladies wengi walio below 29 lakini ladies wengi ktk mahusiano akishafikisha age of 30 anataka akupeleke kwao akakutambulishe au ndoa tena mwingine ana force hatari bila hivyo hamuezi hata kuelewana. Mimi ni mmoja kati ya watu ambao bi.mdada ananiforce niende kwao akanitambulishe.
  5. Babumawe

    Tuliowahi date na wadada wa mataifa mengine tutoe ushuhuda

    Kwa wale tuliowapitia na kucheza international match na international relationship tuje tuelezee japo kwa kifupi jinsi mambo yalivyokuwa ili iwe inspiration kwa wale ambao wanatamani nao siku moja wafike international levels. Mimi nakumbuka nishawahi kuwa kwenye mahusiano na jamii mbili tofauti...
  6. Carleen

    Ila sisi wadada jamani...

    Nimeshindwa kuvumilia akii tena. Nitawasalimia tu hata kesho wapendwa wangu, Leo bwana nimejitokea zangu huko duniani kwenye mihangaiko, nikafika zangu kituoni, nikasubiri daladala ya ninakoelekea, ikaja nikapanda, Sasa tumepanda zetu kama watu kadhaa hivii, sina zangu hili wala lile, kulikuwa...
  7. zagarinojo

    Wanaume ehh! Hivi Huwa mnazingatia/mlizingatia nini zaidi ili kumpenda Mdada/Mwanamke?

    Aisee wanaume najua wengine hapa mpo kwenye mahusiano na wengine ndo bado wanatarajia kuoa. Huwa vijana wana shauku sana pindi wanapotaka kuoa na huwa na mapendekezo mbalimbali juu ya wanawake watakao taka kuwaoa/kuwa nao kwenye mahusiano. Na ule usemo wa mwanamke sio sura ni tabia haujawahi...
  8. jogijo

    Ni kweli hii style ya kungonoka huwa inawaumiza wadada?

    Habari zenu wakuu, naomba niende kwenye mada yetu: Nina mpenzi wangu ambae kila tukiwa faragha michezo yote tutacheza na kwa style zote, lakini kuna hii style moja naona napataga wakati mgumu sana. Style yenyewe ni hii inaitwa doggy style. Swali langu: Je ni kweli kwa maumbile ya wadada hii...
Back
Top Bottom