MDOGO WANGU!
Dada yako Eva Mrema, nimewiwa kukuambukiza maarifa. Haya ni mambo matano ambayo nakuomba sana uyawekee mazingatio katika umri wa ujana kuelekea utu uzima wako.
1. ZINGATIA KUJIKUZA.
Katika umri wa ujana mbichi binti wa kisasa unawaza usome, uhitimu; upate kazi, upate mwanaume...