Kulikuwa na kisa kimoja kuwa mama mmoja alikuwa na watoto watatu. Kati ya hao wawili ni watoto wa kambo na mmoja ni WA kwake. Huyu mama alinunua machungwa mawili huku akitaka mtoto wake apate chungwa Zima lakini wale wa kambo wagawane chungwa moja nusu kwa nusu!!
Ili kuwadanganya Hawa watoto wa...
Baadhi ya viongozi wa Wafanyabiashara wadogo katika Soko la Kariakoo, Dar es Salaam, kwa kushirikiana na askari wa Jiji wanadaiwa kuwatesa na kuwanyanyasa Wafanyabiashara wadogo, na kuwatoza Wafanyabiashara hao faini kubwa kati ya Tshs 50,000/= hadi 300,000/= kama adhabu ya "makosa" mbalimbali...
Jambo wakuu!
Sitaki kuwachosha, naingia kwenye mada moja kwa moja. Kumekuwa na wimbi baya la wazee kuwaoa mabinti wadogo ambao ni sawa na watoto au wajukuu zao na kibaya zaidi, baadhi ya wazee hao waliwahi kulitumikia taifa kwa nyadhifa kubwa.
Tofauti na matarajio ya wengi kuwa wazee hawa...
Maisha yana safari ndefu sana usipofunga mkanda haswa unaweza zeekea nyumbani hasa kwa sisi tuliotoka kwenye familia masikini.
Nakumbuka wakati nimepata ajira kampuni Fulani ujira ulikuwa mdogo sana licha ya elimu niliyo nayo ilinibidi nifanye hivyo hivyo mshahara ulikuwa 200k kwa mwezi...
Rais kasema Kabudi na Lukuvi umri umewatupa hivyo kawaondoa ili kuwasimamia Mawaziri vijana.
Mbona Captain mstaafu George Mkuchika ni Mzee kuliko wao lakini kaachwa ktk Baraza jipya?
Hapa Kuna jambo, waerevu watalibaini.
Ufahamu wa mtoto tangu akiwa mdogo anaanza kuongea ni kama bank account, unachohifadhi ndicho unachovuna. Watoto wakianza kuongea wanakua na maswali mengi, hii ni asili yao ya kutaka kufahamu dunia.
Usichoke kumfahamisha mazingira anayo ishi. Ukiamka asubuhi akikuuliza unakwenda wapi mueleze...
Zamani suala la kumpatia mtoto ujuzi utakao mfaa maishani lilikuwa ni jukumu la mzazi. Mzazi mvuvi alimfundisha mtoto uvuvi. Mfua chuma, mganga, mkulima, mfinyanga vyungu, mrina asali, mfugaji, mfanyabiadhara nk. Ujuzi ulitoka kwa mzazi kwenda kwa mtoto.
Ikaja hii elimu rasmi. Jukumu la...
Nimefanya utafiti wangu mdogo na nimegundua kuwa nafasi nyingi sana za kazi zinazotoka kila siku ni za accountants, watu wa finance, HRs na Auditors. Na ni kazi ambazo zinalipa vizuri sana kulinganisha na kazi nyingine.
Sasa kuna huu mtindo wa wazazi au wanafamilia kuwasukuma watoto wasome...
Nilikuwa nataka kufatilia zaidi ila huyo mtu aliekuwa anajua hizi ishu na kufanikiwa kuvusha ng'ambo ndugu zake kadhaa aligeuka kunikatisha tamaa wazi wazi, ndipo nilipojua hii kitu wachache waaifanya iwe siri ili watu wao wa karibu pekee ndio wasome nje kirahisi kwa kuhofia ushindani wakijua...
TEMEKE GULIO KUTOA FURSA ADHIMU KWA WAFANYA BIASHARA WADOGO (WAMACHINGA) WILAYA YA TEMEKE - MHE.JOKATE MWEGELO
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe.Jokate Mwegelo ,Leo Oktoba 13 ametangaza rasmi kuja na kampeni ya TEMEKE GULIO itakayotoa fursa adhimu kwa wafanyabiashara wadogo maarufu wamachinga...
TEMEKE GULIO KUTOA FURSA ADHIMU KWA WAFANYA BIASHARA WADOGO (WAMACHINGA) WILAYA YA TEMEKE - MHE.JOKATE MWEGELO
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe.Jokate Mwegelo ,Leo Oktoba 13 ametangaza rasmi kuja na kampeni ya TEMEKE GULIO itakayotoa fursa adhimu kwa wafanyabiashara wadogo maarufu wamachinga kuweza...
Pamoja na wazazi wengi kuwasajili watoto wao shule za mbali na wanakoishi ili sababu ya ubora wa hizo shule ukweli ni kwamba wamekua wakiwatesa sana watoto wao.
Fikiria mtoto wa Dar es salaam anaishi pugu, gongo lamboto, kibamba, mbagala, toangoma halafu anasoma bunge primary, diamond au...
Kumekua na matukio mengi ya vitendo vya ukatili dhidi ya watoto wetu wa kike na wa kiume. Kwa ujumla yapo matukio mengi ya kikatili kwa watoto lakini katika makala hii nitazungumzia zaidi ubakaji na ulawiti kwa watoto wa kike na wa kiume. Katika hali ya kusikitisha sana matukio haya yamezidi...
Karibuni tena wapendwa kujifunza tena kupitia JAMIIFORUMS. Na leo tutapata wakati mzuri wa kujifunza juu ya mambo ambayo baadhi ya wajasiriamali/wafanyabiashara wanayakosea na hivo kushindwa kufikia malengo yao.
Mjasiriamali ni nani?
Ni mtu yeyote yule anayujishughulisha na kazi mbalimbali kwa...
Msongamano wa vibanda vya wafanyabiashara wadogo maarufu machinga hadi kuziba eneo la waenda kwa miguu katika eneo la Mbezi Mwisho, Manispaa ya Ubungo, mkoani Dar es Salaam, kitendo kinachosababisha usumbufu kwa wapita njia na vyombo vya moto.
PICHA: SABATO KASIKA
Chanzo: Nipashe.
Salaam Wakuu,
Afisa Biashara Manispaa ya Ilemela, amelalamikiwa na Wafanyabiashara wadogo kwamba anafanya kazi kwa kukomoa na hasikilizi Matatizo yao.
Wafanyabiashara wadogo Manispaa ya Ilemela wameomba Serikali iwasikilize kilio chao kuliko kuwafungia biashara.
Hapa chini ni nukuu ya Maneno...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.