Utangulizi
Baadhi ya wafanyabiashara wakubwa, nikimaanisha wale waliofikia kiwango cha kumiliki makampuni makubwa na/au viwanda vikubwa, wana tabia ya kuwameza wafanyabiashara wadogowadogo, kwa namna mbalimbali. Kwa mfano, kampuni ina kiwanda cha kuchakata ngano, na inauza ngano iliyokobolewa na...