Kuna taarifa kuwa basi la Shule ya King David iliyoko Manispaa ya Mtwara Mikindani limepata ajali mbaya iliyopelekea vifo vya wanafunzi na dereva wa basi hilo aliyetambulika kwa jina moja Hassan anayekadiriwa kuwa na umri wa mika (54-60)
Miili imehifadhiwa katika hospitali ya rufaa ya Ligula na...
Askari wawili wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wa kikosi cha 825 KJ kambi ya Mtabila iliyopo wilayani Kasulu mkoani Kigoma, wamefariki dunia na wengine wanne kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wamepakia kuacha njia na kupinduka.
Kaimua Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, Menrad Sindano...
Waziri Mkuu wa Sri Lanka, Ranil Wickremesinghe ametangaza kuanguka kwa uchumi wa nchi yake kulikosababisha na bei ya mafuta, umeme na uhaba wa chakula.
Colombo ambao ni mji mkuu wan chi hiyo umeshuhudiwa kuwa na misururu ya watu wakitaka kupata mafuta. Ambapo hadi sasa watu 11 wameripotiwa kufa...
Jeshi la ukraine jana limefanya shambulio baya sana kwenye mji wa luhansk na kuua wagner mercenaries 250-300
Huku akibakia mmoja tu ambae amechukua video hii huku akilia
video yao kabla hawajakula kichapo kizito
Idadi rasmi ya watu waliokufa kutokana na COVID-19 inakaribia kuzidi watu milioni sita, wakati ambapo janga hilo linaloingia mwaka wake wa tatu, likiwa bado halijaisha.
Takwimu zilizotolewa na Chuo Kikuu cha Johns Hopkins, zinaeleza kuwa hadi Jumatatu watu 5,999,158 wamekufa kutokana na virusi...
Mkoani Geita Wavuvi wawili yaani James Jonas na Rocky Kamala ambao ni wakazi wa kijiji cha Nyandago kata ya Butundwe mkoani Geita.
Wamefariki dunia huku mmoja akiokolewa baada ya Mtumbwi walio kuwa wakisafiria katika ziwa Victoria kusombwa na kimbunga cha upepo mkali uliyopelekea mtumbwi huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.