Mimi ni moja kati ya
wafanyabiashara wa soko la Mawenzi lipo Morogoro mjini kata ya uwanja wa Taifa
ili soko lina miundombinu mibovu kume kuwa na migogoro baina ya Manispaa na wafanyabiashara wanataka kutuamisha pasipo kufuata taratibu
Tumeshapeleka sana malalamiko kwa mbunge na mkuu wa...
Maombi yangu siku zote ilikua mama asiingie mkenge wa wafanya biashara maana tunajua kitakachotokea.
Bahati mbaya mama ameuvaa mkenge wa wafanya biashara. Tusitegemee chochote cha maana kufanyika kwa miaka 4 ijayo. Mama mwenyewe amekiri kua kwa kauli yake makusanyo yatashuka, unajiuliza kwa...
Daa aise,
Kumbe asilimia 90 ya wafanyabiashara wa Tanzania walifeli Darasa la saba.
Kumbe haya mavazi mazuri ni wao ndio wanaotuuzia alafu sisi tunapendeza.
Kumbe wao ndio wanaofuata mizigo China.
Kumbe ndio wanaolipa kodi nyingi serikalini.
Yaani kumbe yale majengo mazuri mazuri ya maduka...
Mgombea Urais kupitia CCM Dkt John Magufuli amesema, watu wanazusha kwamba Machinga wanalazimishwa kuwa na vitambulisho, sio kweli. Vitambulisho sio lazima.
''Vitambulisho havilazimishwi ni lazima itolewe elimu kwa wanaoshiriki kwenye vitambulisho ili wakafanye bishara mahali popote, tunataoa...
Nianze kwa kusema wazi!
Inchi yetu ipo kwenye mfumo wa "SOKO HURIA"
Inakuwaje kila Mara bidhaa inapoadimika Serikali inakimbilia kukamata Mali za wafanya biashara kwa (kupoka) kisa mtaani zimeadimika? ikumbukwe wafanya biashara Hawa wanazimiliki bidhaa hizo kihalali na wamelipia ushuru Sasa...
Habari wanaJF
Kitu nilichojifunza kwa sasa kama hauna moyo wa kutoa na hauna uwezo wa kutoa ni bora ukae single kuliko kuumizwa kichwa na hawa wafanyabiashara wa sasa.
Yani kila unapogusa iwe ni rafiki(I mean positive friendship) au mahusiano lazima mizinga ihusike. Wengine una chat nao au...
Habari wana jamvi,
Naomba ushauri nataka kwenda uganda kuleta nguo za mitumba, pochi na viatu pamoja na vipodozi napenda kujua cha kufanya maana ndo nataka kuanza ikiwemo accomodation nikiwa uganda,je huku Tanzania nitaziuzaje, mtaji kwa mzigo wa kwanza uwe shingapi vip usafiri,Ushuru na TRA...
Utangulizi
Heko Mpendwa wetu Daktari JPM, Huu ni mchango wangu kwa Taifa langu, ambao ni imani yangu kuwa nautoa kwa muda mahususi na kwa Mtu mahususi aliyeteuliwa na Mungu kulivusha Taifa lake la Tanzania kutoka katika maisha ya ufukara, udhalili, utapeli wa kisiasa na kiuchumi na unyongwaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.