Malalamiko kuhusu baadhi ya wafanyabiashara kuwachelewesha wateja wanaolipia bidhaa kwa kutumia namba za malipo (Lipa Namba) yameibuliwa na mtumiaji wa Instagram, Malisa G, aliyewataka wafanyabiashara kuboresha mifumo yao ya kupokea na kuthibitisha malipo.
Katika ujumbe wake aliouchapisha...