wafanyabiashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Optimists

    Wafanyabiashara na wajasiriamali woote pitieni hapa.

    Wakuu habari. Baada ya kutoka nduki kwenye biashara ya mchele ndugu yenu wa damu Leo nimekuja na habari mpya ambayo itamgusa kila mmoja wenu hapa jukwani kwahiyo jitahidini kwakweli. Simnajua ndugu yenu napambana nione kama nitatoboa au vipi? Sasa wateja wangui wakubwa ni nyie mnayo nafasi ya...
  2. Analogia Malenga

    Serikali yavunja mabanda ya wafanyabiashara stendi ya Kawe usiku

    Serikali imevunja vibanda vya wafanyabiashara wadogo waliokuwa wanafanya biashara hizo katika stendi ya Kawe. Hali ya kushangaza mabanda hayo yamevunjwa usiku na kwa sasa polisi wanaranda kuona kama kuna ghasia yoyote kutokana na tukio hilo Japo kuna raia walioathiriwa na tukio hilo kwa vitu...
  3. J

    Serikali yaagiza mamlaka husika kuwachukulia hatua wafanyabiashara waliopandisha bei za vifaa vya ujenzi na bidhaa nyingine muhimu

    Waziri wa viwanda na biashara Dr Kijaji amezitaka mamlaka zinazohusika kuwachukulia hatua wafanyabiashara waliopandisha bei za Soda, Cement, Nondo na bidhaa nyingine kinyume cha utaratibu. Dr Kijaji amesema uchunguzi umeonyesha kuwa wakati bidhaa hizo zinapandishiwa bei gharama za uzalishaji...
  4. Miss Zomboko

    TBS watoa tahadhari kwa Wafanyabiashara wanaoanika vyakula juani

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limewatahadharisha wafanyabiashara bidhaa za chakula zilizofungashwa yakiwemo mafuta ya kula kuweka ama kuanika kwenye jua kwani kunaweza kuleta madhara makubwa ya kiafya kwa binadamu. Ameyasema hayo leo Afisa Uthibiti ubora TBS, Bw. Baraka Mbajije wakati...
  5. Roving Journalist

    Moshi: Moto wateketeza Soko la Mbuyuni

    Soko la matunda na mbogamboga Mbuyuni lililopo wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro likiteketea kwa moto. Juhudi za kuuzima moto huo zikiendelea na bado chanzo cha moto hakijafahamika.
  6. Esokoni

    INAUZWA Jiunge na Dirm VFD uokoe 50% ya EFD machine, ni bora, salama kisasa zaidi

    HABARI NJEMA... katika kipindi hiki cha kufunga na kuanza mwaka mpya, na kufanyiwa makadilio ya kodi za TRA, ninayo furaha kubwa kukujuza wewe Mfanyabiashara kuwa unaweza kuokoa mpaka 50% ya garama za kununua mashine za EFD endapo utajiunga na mfumo wa Dirm VFD ambao ni mbadala wa EFD machine...
  7. lwambof07

    Kilindi, Tanga: Ushuru Fuso laki tatu, baadhi ya wafanyabiashara wagoma kununua maembe

    Baadhi ya wafanyabiashara wa maembe wamegoma kununua maembe ya wakulima wa Kwediboma wilayani Kilindi mkoani Tanga wakidai kuwa ushuru shilingi 300,000/= wanaotozwa na halmashauri ya wilaya hiyo kwa gari moja aina ya Fuso ni mkubwa.
  8. klinbritetz

    Hesabu za kampuni na kodi

    sajili kampuni yako leo kwa bei nafuu, 1. LTD - 125,000 tu 2. JINA LA BIASHARA- 10,000 tu 3. kuandika Memorandum.... huduma nyingine ni pamoja na 1. Audit of annual financial statements 2. Monthly VAT Return 3. Registration of employees for taxes SDL AND PAYE 4. Monthly payroll (TRA taxes...
  9. Swahili AI

    Wafanyabiashara tujifunze kupitia haya majanga ya moto

    Habarini wana JF, Kwanza kabisa nitoe pole kwa wafanyabiashara wote wa Soko la Karume, pamoja na Kariakoo (hawa sijawahi kuwapa kutokana na janga la moto walilopata). Kuna suala moja ningependa tujifunze kupitia majanga kama haya ambapo yakitokea yanasababisha hasara kubwa kutokana na upotevu...
  10. Kamanda Asiyechoka

    CHADEMA: Salamu za pole kwa wafanyabiashara soko la Karume

  11. Mpinzire

    Dar es Salaam: Machinga wa Karume waandamana kuelekea ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Wasema hawana imani na Viongozi. Mabomu ya machozi yarindima

    Wafanyabiashara ndogondogo maarufu machinga wa soko la Karume (Mchikichini) wameandamana hadi kwenye Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla kushinikiza kiongozi huyo atoe tamko la kuwaruhusu waendelee kufanya shughuli zao kwenye soko hilo. Wafanyabiashara hao wameandamana leo...
  12. L

    UVCCM endesheni Harambee ya kuwachangia wafanyabiashara wa Karume waliopata hasara ya moto

    Kutokana na hasara kubwa waliopata wafanyabiashara wa soko la Karume baada ya ajali ya moto ni busara na ubinadamu wa hali ya juu Umoja wa Vijana wa CCM ufanya harambee ya kuchangisha pesa kwa ajili ya kuwapunguzia machungu wahanga hawa wa moto. Najua UVCCM wanna ushawishi mkubwa kwa viongozi...
  13. Mpinzire

    Wafanyabiashara soko dogo Kariakoo wagoma kupisha ujenzi

    Dar es Salaam. Wakati mkandarasi wa kujenga soko dogo la Kariakoo na kukarabati lile kubwa lililoungua na moto akiwa amekabidhiwa mkataba wa kuanza kazi rasmi, wafanyabiashara katika soko dogo wametoa masimamo wao wa kutoondoka sokoni hapo. Makabidhiano ya kuanza ujenzi kati ya mkandarasi...
  14. Kiturilo

    Wafanyabiashara Arusha wafunga maduka kwa muda usiojulikana

    Baada ya wafanyabiashara na Chadema kushangilia mateso ya kufungiwa biashara kwa wamachinga hatimae zamu yao imefika, kuanzia leo kodi ya maduka kwenye jiji la Arusha imepandishwa kwa 100% na kupelekea wenye maduka kugoma kwa muda usiojulikana. Wafanyabiashara wafunga maduka kisa kupandishiwa...
  15. Komeo Lachuma

    Wafanyabiashara wachekelea kurudisha walichopoteza. Bei ya mafuta/petrol yazidi kupanda kuumiza maskini/watu wa kipato cha chini

    Katika kinachoonekana kuwa ni survival of the fittest beii ya mafuta ya gari /petrol imezidi kupanda na kufika tsh 2510 kwa lita moja mwezi huu. Unapotoa tsh 20,000 unapata lita 7.9, kitu ambacho ni kuendelea kumuumiza Mtanzania huyu wa kipato cha chini maana yeye ndiye atakayekuja umia katika...
  16. Jimmy ally

    Mwanza: Mgambo wawapiga wafanyabiashara katika Soko la Mbugani

    Mwanza mida ya saa 1&2 usiku mgambo waliingia katka soko la Mbugani walikohamishiwa machinga na akina mama wauza mbogamboga na samaki, na kuwapiga waliokuwa wamepanga mbogamboga pamoja na samaki, na kupigwa pamoja na kumwagiwa bihashara zao pamoja na kunyanganywa samaka. Katika tukio ilo wawil...
  17. robinson crusoe

    Board ya Tanesco iliyojaa wafanyabiashara ina maoni gani?

    Januari aliteua board iliyojaa watu wenye sifa mfu na wizi na hata kuwahi kushitakiwa kwa kuiibia Tanesco. Mara tu, Paa! Yamekuja haya ya kusingizia ukame. Lakini, yametanguliwa na taarifa kwamba Tanesco inafanya matengezo ya mitambo. Haieleweki taarifa halisi ya tatizo la umeme ni nini? Je...
  18. J

    Wafanyabiashara soko la Mbezi Beda wadai DC Kheri James anamhujumu RC Makalla kwa kuwarejesha baadhi yao kusikoruhusiwa

    Wafanyabiashara wadogo katika soko jipya la Mbezi Beda Ubungo wamemlaumu mkuu wao wa wilaya Kheri James kwa kuwarejesha baadhi ya wafanyaniashara maeneo yasiyo rasmi. Wamedai kila wakimfata DC James ofisini kwake anawaambia wakaanxie kwanza kwa mchungaji kabla ya kwenda kwa askofu akimaanisha...
  19. Analogia Malenga

    Moto jirani na hosteli za UDSM wateketeza vibanda vya wafanyabiashara

    Moto ambao chanzo chake hakijafahamika umeteketeza vibanda vya wafanyabiashara vilivyopo kando ya barabara ya kuelekea katika hosteli za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM). Moto huo ulianza leo Ijumaa Novemba 12,2021 saa 2 asubuhi lakini kikosi cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kilifika eneo...
  20. 6321

    Hili jambo limenitatiza na kufanya niwe na wasiwasi za vijana wa iPhone

    Nawasalimu kwa JMT Katika mizunguko ya duniani nikichomwa n jua maeneo ya magomeni mwembechai, nikiwa dukani alikuja rafiki yangu niliyesoma nae O'level akiwa na mwanamke wa umri kidogo kuliko yeye, niliwahudumia vitu vya jumla kama 100k+. Basi tukabadilisha mawasiliano, akaniambia yeye...
Back
Top Bottom