Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhandisi Hamadi Masauni, ametoa wito kwa wafanyabiashara wa maduka ya kubadilisha fedha nchini ‘Bureau de change’ ambayo yalifungwa na Serikali, waende kuchukua vifaa vyao vilivyochukuliwa na kikosi kazi kilichokuwa katika operesheni hiyo.