Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Kenan Kihongosi leo amepokea fidia ya sh 5.4 milioni kutoka kwa wafanyabiashara wa chuma chakavu kama fidia ya vitu walivyouziwa na wanafunzi kinyume cha sheria.
Kihongosi amesema fedha hizo zitatumika kutengeneza madawati mapya.
Kadhalika DC Kihongosi amewaponda...
Waziri wa Fedha, usiwatoe kafara watendaji wako. Wewe ndiye chanzo cha mayowe ya kodi kandamizi kwa wafanyabiashara
Ndugu zangu wanabodi, huwa napenda sana kuishi kwa kujifunza kutoka kwenye hotuba za viongozi na kupitia hotuba hizo huwa nanyakuwa baadhi ya mambo ambayo kwangu ninayoyaona...
Kutokana uchaguzi huu ulivyokwenda, binafsi naona kuna uwezekano wa asilimia 70 mpaka 80 wa wahisani na mashirika ya fedha ya kimataifa, kusitisha kutoa fedha zao kwa hii serikali unless zinafanyika jitihada kubwa sana za kidiplomasia huku serikali ikilazimika kuji-commit kwa baadhi ya mambo...
Kila nikikumbuka maamuzi magumu ya Rais Magufuli kuhusu Corona, sina shaka na utimamu wake na ujasiri.
Kwa kipindi kama kile ambacho nchi nyingi ziliamua kufunga biashara na shughuli nyingi za kiuchumi, mtu huyu aliamua kwamba wafanyabiashara waendelee na biashara zao na shughuli nyingine...
Habarini NDUGU ZANGU,
Nilikua nauliza utaratibu wakufungua biashara kwa wafanyabiashara wenye maduka, machinga, mama ntilie na wengineo wote siku ya tar 28 (uchaguzi) iko vipi? Maana kwa stori ninazosikia eti wanasema tar 28 hakutokua na ruhusa ya kufungua biashara mpaka upigaji kura...
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA ambaye ndio mgombea urais wa JMT wa chama hicho mh Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wa pembejeo sokoni kariakoo namna wanavyolipa kodi zao TRA.
Lissu alitaka pia kujua kama wafanyabiashara wana uelewa wa usahihi wa kodi wanayolipa.
Chanzo: ITV habari.
My...
Ukimsikiliza Tundu Lissu anavyowasema TRA kubambikizia wafanyabiashara kodi zisizolipika. Halafu TRA hao hao mikoa yote wanapita na magari ya matangazo wakitoa mkwara mzito wa kuanza kwa faini baada ya Septemba 30 bila shaka utajua wako kazini kwa kuongeza kuni kwenye chuki iliyotengenezwa na...
Wafanyabiashara, Sekta Binafsi na Uwekezaji nchini: ACT Wazalendo itafanya nini? #IlaniACT2020
ACT Wazalendo inaamini kuwa Sekta binafsi ndio Injini ya kuendesha Uchumi wetu na kuzalisha Ajira. Hivi sasa 91% ya Ajira zote rasmi Nchini Tanzania zinatokana na Sekta Binafsi. Wafanyabiashara...
Natafuta wafanya biashara wanaotoa na kuuza bidhaa zao kwa mkopo. Namaanisha suppliers ambao wanaweza kukupa bidhaa au huduma na ukalipa kwa instalments labda kwa miezi2, 3, 6, 9 au 12.
Ningependelea zaidi kupata wale wanaohusika na
Vifaa vya ujenzi kama vifaa vya umeme, mabomba, tofali...
Swali fikirishi: Je, kuna mtu timamu kiakili atamchagua John Magufuli kwenya uchaguzi wa 2020 licha ya ugumu wa maisha aliousababisha, onevu kwa wafanyabiashara, kuminya uhuru wa kujieleza na kupata habari, kuminya demokrasia, kuwadhulumu na kuwaonea wakulima na wafanyakazi?
NAHITAJI MAJIBU
Licha ya kuwa na mikataba na manispaa na kufuata masharti ya mkataba ikiwemo kutojenga ofisi za kudumu na kujenga vibanda vya muda yaani temporary, wafanyabiashara kwenye uwanja wa barafu au jamhuri dodoma wamefurumushwa Katika eneo Hilo na manispaa ya jiji huku Tonga tinga likibomoa misingi na...
TRA ni chombo cha ukusanyaji kodi ambacho pia kinapaswa kufanya kazi vizuri na wafanyabiashara ili kuwapa ari ya kuendeleza uchumi wetu. Cha kushangaza ni kwamba wafanyabiashara sasa wanaiona TRA kama chombo cha ukandamizaji.
Kwa kuwa serikali ya sasa imefeli kuisimamia TRA kuimarisha mazingira...
Katika ziara yake ya Mbeya, mheshimiwa Tundu Lissu amekemea vikali unyanyaswaji wa wafanyabiashara nchini kupitia TRA. Amesema TRA inapelekea biashara nyingi kufa na hivyo haisaidii biashara kukua
Wakati huohuo Tundu Lissu amelaani mtindo wa vitambulisho vya wamachinga vinavyouzwa shilingi...
Huu ni wito kwa Wafanyabiashara na Wadau wote wa Sekta Binafsi. Tafadhali sana ili maisha yenu yarejee kwenye kukuza na kuimarisha biashara zenu muondoeni huyu mtu kwenye sanduku la kura.
Mpigeni za uso ili mumkumbushe kwamba serikali iliyostaraabika duniani kote haimiliki njia za uchumi na pia...
Kusema kweli mimi mkiristu kisa cha Ramadhani Ntunzwe kimenisikitisha
Mwenye MB zako nisimwage chumvi Ona hapa[emoji116][emoji116][emoji116]
Hii issue ikianza hivi natoa pongezi kwa Ramadhani kwa uvumilivu
VIDEO: Hivi ndivyo mfanyabiashara aliyetajwa na Magufuli
Baadae ikafuata hii mpaka...
Watumishi wa umma hawajapata nyongeza ya mishahara kwa miaka mitano, kupanda madaraja na vyeo ni ndoto, uhamisho wa kubadilishana ni hadithi
Wahitimu wengi sana wa vyuo hawana ajira tangu 2015 mpaka sasa, ajira ya moja kwa moja ilikoma Mei 01, 2015 enzi za Jakaya. Wakulima wanadhulumiwa mazao...
Sana JF.
Wafanyabiashara ya mafuta ni dhahili kwamba Serikali kuoitia waziri wake pamoja na taasisi yake EWURA wameshindwa kutimiza wajibu wake, Dar sasa haina mafuta, ikitokea la kutokea mji mzima hakuna mafuta. Bagamoyo road yote karibu Sheri nyingi zimegoma kuleta mafuta.
Watanzania wengi...
Wana JF
Ni siku ya tatu mfululizo barabara ya dar bagamoyo vituo vingi havina mafuta. Hatuwezi kujua kama yamekwisha au yamefichwa kusubiri bei mpya. Kituo cha Bunju mianzini Lake Oil hicho kilifungwa jumamosi. Ninavyojua haiwezekani mafuta ya aina zote yakaisha siku moja, lazima...
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru) nchini Tanzania, imetahadharisha wafanyabishara kutojihusisha na vitendo vya rushwa, kupitia dhana ya ufadhili wa gharama za uchaguzi ndani ya vyama vya siasa.
Hayo amesema Brigedia Jenerali, John Mbungo, Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.