Nauliza kama jukwaa au soko la freelancers au wafanyakazi huru linaweza kua na tija au uhitaji kwa Africa mashari au hata Africa kwa ujumla. Kwa kiasi flani watu wengi naona wako Fiverr, Upwork etc ambayo ni makampuni ya Marekani au ughaibuni huko.
- Najua vijana wanahitaji na wako tayari...
Utawatazama waajiriwa wake, wengi wanakuwa na afya nzuri, uso na mwili umetakata, wana sura za furaha, wana magari mazuri haya makubwa makubwa, wanakuwa na furaha ya kumuhudumia mteja n.k
Lakini ukienda kwa taasisi, shirika au kampuni ambapo wafanyakazi wake hawana furaha, wako kinyonge nyonge...
Tangu awamu ya sita ilipo ingia madarakani wafanyakazi tulishuhudia baadhi yao wakianza kulipwa malimbikizo yao ya muda mrefu Sana,lakini baada ya muda mfupi tena Ni kama zoezi hili limekwama tena
Mimi kama mfanyakazi naomba serikali ilipe malimbikizo ya wafanyakazi Hawa kwa sababu Kuna...
Chama cha Wafanyakazi kinachotajwa kuwa na ushawishi zaidi Nchini humo kimepinga kitendo cha Rais Kais Saied kushikilia Madaraka yote na kuonya juu ya tishio kwa Demokrasia
Rais Saied ameendelea kusisitiza kitendo chake ya kusitisha shughuli za Bunge na kumfuta kazi Waziri Mkuu kilihitajika...
Ulaya na Marekani kumeanza kujitokeza uhaba wa waajiriwa!
Nirudie tena: Sio uhaba wa kazi, bali uhaba wa wanaotafuta kuajiriwa.
Swali ni kuwa: Watu wameenda wapi?
Makala moja iliyopostiwa juzi tarehe 14/9 inasema:
A survey of nearly 45,000 employers across 43 countries showed 69 per cent of...
Habari wanaJF,
Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu, kumekuwa na usumbufu mkubwa wanaoupata madereva wa magari madogo katika eneo la Kariakoo, wanapokodiwa na Wafanyabiashara wanaonunua mizigo, pindi mzigo unapokamatwa kwa madai mbalimbali ikiwemo kukosa risiti inayojitosheleza,maofisa hao wa...
Habari zenu ndugu, poleni kwa majukumu mbalimbali ya kulijenga Taifa. Ndugu zangu ninatafuta nafasi ya kazi katika kada ya afya na taasisi zinazohusu utafiti.
Nina bachelor degree ya Biotechnology and laboratory science. Ninauzoefu wa miaka minne katika kufanya kazi maabara especially kwenye...
Sasa inabidi Serikali ichukue uamuzi mgumu juu ya chanjo.
Wafanyakazi Serikalini lazima wachanje, au waachie ngazi kutazama afya zao.
Tutavaa barakoa hadi lini?
Tatizo kubwa ni hao wa Gwajima, wasiotaka kuchanja na ndio kwa kiasi kikubwa wanaeneza Covid katika jamii.
Ni jambo la kusikitisha...
Kwa maana jinsi hii...
Utajiri wa jamii unaletwa na wafanyakazi, wakulima na wataalamu wafanyao kazi. Ikiwa watachukua maisha yao katika mikono yao wenyewe, na kuchukua bidii katika kuyatanzua matatizo badala ya kuyakwepa, hapatokuwa na shida yo yote katika dunia ambayo hawatoweza kuishinda...
Wafanyakazi wa Serikali nchini Zimbabwe wametakiwa kupata chanjo ya COVID-19, vinginevyo wametakiwa kujiuzulu.
Waziri wa Katiba wa Nchi hiyo, Ziyambi Ziyambi amekiambia kituo cha Redio cha Kibinafsi nchini humo, ZiFM Stereo, kuwa Wafanyakazi wa Umma wana wajibu wa kuwalinda wengine dhidi ya...
CCM inajidhirisha kwamba ni Chama cha Wakulima na Wafanyakazi na hiyo ni baada ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo kuagiza Serikali kununua mahindi yote zaidi tani 100,000 katika mikoa ya Nyanda za Juu Kusini baada ya bilioni 14 zilizotolewa awali kununua tani 24,000 za mahindi kuisha...
Alpha Homes ni kampuni inayohusika na ukarabati wa nyumba yenye ofisi zake mtaa wa Ohio (Posta) jijini Dar es Salaam. Ili kufanikisha malengo yetu tunahitaji wafanyakazi wawili ambao ni Accountant na Civil Technician.
Sifa za waombaji;
1) Muombaji awe na elimu ya ngazi ya Diploma kwenye fani...
Nikiwa kati kati ya interview nzito, Mara ghafla simu ya HR ikaita, akaipokea huku akisikiliza kwa makini anachokiongea mpiga simu, akamjibu mpiga simu kuwa "labda niwafukuze wafanyakazi wangu nikuajiri wewe" hiyo kauli mpaka leo haijafutika kwenye akili yangu tangu niisikie akijibiwa...
Habari wadau.
Kwa zaidi ya mara 1. Nimegundua bank yetu ya makabwela inapwaya sana kwenye training za staff wao.
Zamani kidogo Kuna siku nilienda kuprocess refund ya malipo online. Staff wote niliowakuta kila mmoja alikuwa haelewi process zilivyo. Na manager alikuwa ametoka. Ilibidi nimsubiri...
Habari wadau.
Kwa zaidi ya mara 1. Nimegundua bank yetu ya makabwela inapwaya sana kwenye training za staff wao.
Zamani kidogo Kuna siku nilienda kuprocess refund ya malipo online. Staff wote niliowakuta kila mmoja alikuwa haelewi process zilivyo. Na manager alikuwa ametoka. Ilibidi nimsubiri...
Leo tarehe 19 Agosti, 2021 nimeweza kusikiliza kipindi cha CMA - Commission for Mediation and Arbitration kilichorushwa na TBC.
Katika mahojiano hayo yaliyoendeshwa na Lusekelege Mpula wa CMA ambae ni Afisa Mfawidhi wa CMA Kanda ya Dar, ameweza kueleza ni jinsi gani CMA imejikita kuhakikisha...
Habari zenu wakuu, mnaendeleaje na hali
Jamiiforums imekua nikisima cha maarifa mbalimbali kutoka kwa members wake wenye uzoefu
katika nyanja kadha wa kadha. Ukitaka ILIMU mbalimbali utapata Biashara, busara, Ndoa,Ulozi
na hata kula tunda kimasihara.
Leo nimesikia hili jambo mahala, kwangu...
Amazon imesema inalenga kuchelewesha kufungua Ofisi zake hadi Januari 03, 2022. Awali, walitarajiwa kurejea Ofisini Septemba 07 lakini hatua hiyo itasogezwa mbele huku masuala yote yanayohusu COVID-19 yakiendelea kuangaliwa kwa karibu.
Uamuzi huo umekuja wakati kuna ongezeko la wanaolazwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.