wafuasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Abdalah Abdulrahman

    Kwa shangwe za wafuasi wa CHADEMA jana Rais Samia njia ni nyeupe 2025

    Siku ya jana inamwingiza tena kwenye historia ya Tanzania na Dunia Mama yetu kipenzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa kudhihirisha ujasiri, utu na upendo wake kwa Watanzania wote kwa kile kitendo cha kuhudhuria kama Mgeni Rasmi sherehe za Siku ya Wanawake...
  2. Getrude Mollel

    Mioyo ya Wafuasi wa CHADEMA imesagika vyakutosha

    Kuna matukio yametoka hivi karibuni kwenye medani yetu ya siasa hapa nchini, matukio ambayo yamevunja sana mioyo ya wafuasi wa Chama Kikuu cha Upinzani, CHADEMA. Matendo ya chama yanaweza kuimarisha imani ya wanachama/wafuasi ya wanachama kwa chama chao, au kuzorotesha kabisa. CHADEMA kwa...
  3. J

    Hivi Raila Odinga anawezaje kupata wafuasi wengi hivi Kenya? Amewaloga Wakenya na uchawi gani?

    Wakuu kwema? Habari hapo kwa majirani ni mzee Odinga anadai alishinda uchaguzi na anasema ataitisha maandamano makubwa ya kwenda kumtoa Ruto Ikulu Uchaguzi ulikuwa wa wazi na matokeo yote yaliyotoka vituoni na kusainiwa na mawakala wa pande zote yote yalikuwa uploaded online Na kama kuna wizi...
  4. BARD AI

    Cristiano Ronaldo afikisha wafuasi Milioni 550 Instagram

    Mshambuliaji wa klabu ya Al Nassr na timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo amefikisha wafuasi (followers) Milioni 550+ kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram. Ronaldo ndiyo binadamu wa kwanza kuwa na wafuasi wengi zaidi katika mtandao huo wa Instagram Duniani
  5. ASIWAJU

    Swali kwa upinzani: Je, tatizo lenu ni Magufuli au CCM?

    Ningependa kuwa karibisha wafuasi wote wa siasa za upinzani hapa nchini katika hili swali langu fupi kwa majibu yao. SWALI: Tatizo sugu la wapinzani wa hapa nchini je ni Magufuli na utawala wake wa awamu iliyo pita [ awamu ya tano ] au tatizo ni CCM yote ? KARIBUNI
  6. R

    CCM watatema ndoano au watakubali kunaswa na hoja za wapinzani?

    Wana CCM wamekaa miaka sita Bila kujibu hoja za upinzani; lakini pia Kwa safu waliyonayo hakuna timu ya kupambana na wapinzani. Nchi imepitia mdororo WA kiuchumi usiosemwa, madeni yameongezeka na miradi isiyoendelevu NI mingi. Kufunguliwa Kwa majukwaa ya kisiasa maana yake nikuruhusu akina Tundu...
  7. J

    Kwanini wafuasi wa Hayati Magufuli mnaombea mabaya nchi hii? Tuwatangaze maadui wa Taifa?

    Kwa utafiti wangu mtandaoni na mtaani nimegundua kuna kundi hili linaiombea sana hii nchi ipate mkwamo ili wafurahie. Nitatoa mifano 5 1. kulipokuwa na ukame uliosababisha mgao wa umeme na mgao wa maji, watu hawa walikuwa wakifurahia sana, walipata sababu ya kuanzisha nyuzi kila dakika hapa JF...
  8. J

    Wafuasi wa Magufuli mbona ni waoga hivi? Chukueni mfano kwa hawa

    Trump, Magufuli, Bolsonaro, Hawa ni marais 3 walioibuka na style zao za uongozi zilikuwa zinafana kwa kiasi fulani. Walikuwa wakiamini wao ndio wakombozi wa nchi na wanajua kila kitu na viongozi wengine waliowatangulia walikuwa sio chochote. Wafuasi wao nao wanafanana kwa kiasi kikubwa...
  9. BARD AI

    Qatar yapiga marufuku mapenzi ya jinsia moja, ulevi na biashara ya ngono wakati wa Kombe la Dunia

    Wapenzi wa Soka ambao watakuwa nchini Qatar kwa ajili ya Kombe la Dunia la Novemba 2022 wamepewa maagizo ambayo ni lazima wayafuate ili kufurahia kukaa kwao wakati wa mashindano ya kimataifa ya soka. Zifuatazo ni hatua muhimu za tahadhari: Mapenzi nje ya ndoa ni kinyume cha sheria nchini...
  10. ASIWAJU

    Wafuasi wa vyama vya siasa vya hapa nchini wanajua siasa nini?

    Habari saa wanachama wenza wa website hii ya jamii forums katika jukwaa la siasa. Nilikuwa na machache ambayo ningeli penda kuzungumza na wanachama na wafuasi wa vyama vya siasa vya hapa nchini. Katika hayo machache ambayo nita zungumza na wanachama na wafuasi hawa, yata jikita zaidi katika...
  11. S

    Sijaona sababu za msingi kwanini Serikali haitaki kutoa takwimu za idadi ya wafuasi wa dini

    Hadi leo sijaona kwa nini serikali haitaki kabisa kutoa takwimu za idadi ya watu katika dini mbali mbali, yaani tujue Tanzania kuna Waislamu wangapi, kuna Wakristo wangapi, kuna wapagani wangapi. Na katika Waislamu kuna Suni wangapi, Shia wangapi. Na katika Wakristo, kuna Wakatoliki wangapi...
  12. Q

    Zitto hana chama, chama ni cha Wapemba na wafuasi wa Maalimu Seif

    ACT - Wazalendo haina wanachama wala jengo la ofisi inalomiliki Bara. ACT inategemea nguvu ya wanachama kutoka Zanzibar wengi wakiwa ni wale waliokuwa wafuasi wa CUF- Maalimu Seif. ACT -Wazalendo haina Jengo la Chama kwa maana ya umiliki, jengo walilopewa na Maalimu Seif Foundation ni lile...
  13. Idugunde

    Idugunde: Tusipotoshe umma wafuasi na wanachama wa CHADEMA hawatetei majambazi wala uhalifu. Criminal justice must prevail

    Kwenye ukweli basi ukweli uwekwe wazi. Hakuma mtanzania anyependa uhalifu. Kama jambazi ana silaha na anakiwa mkaidi kutii basi huyo ni halali ya polisi. Lakini inasikitisha kusikia kuwa mtuhumiwa alikamatwa nyumbani kwake na mpaka binti yake na yeye wakavuliwa nguo ili wafanye mapenzi kisa tu...
  14. Corticopontine

    Waliompenda Rais Samia toka zamani wengi wao walikuwa wanaitwa Sukuma Gang, wafuasi wa mwendazake walitaka asifike alikofika leo

    Rais Samia tuliokupenda tulikuambia ukweli kuwa njia uliyoanza nayo haikuwa sahihi ulianza kabisa kwa kutoboa matundu ya kukusanyia pesa ili hali ukijua kuwa kuwalegezea matajiri lazima masikini ateseke. Mimi nilitumia principle ya physics inaitwa principle of conservation of energy which...
  15. B

    Upinzani - walio waoga (cowards) si Wafuasi

    Imekuwa kawaida kusikia watanzania wakiwaita watanzania wenzao kuwa ni waoga (cowards). Maajabu ya Mussa. Kwani hao wanaowaita wenzao kuwa cowards utaifa wao si ni huu huu au wao ni walamba asali? Uhalisia wa mambo ni kuwa wanaowaita hivyo wenzao, nia yao ni kutokuwepo mstari wa mbele...
  16. J

    SHAKA: Atetema na Kunyunyiza Tabora wafuasi wa CHADEMA washindwa kujizuia waunga msafara

    Tabora wanafuraha sana kumuona Katibu Mwenezi ndg. Shaka Hamdu Shaka mapokezi ni Makubwa sana hata Freeman Mbowe hapokelewi kwa shangwe hivi pale Hai kwao pamoja kuwa ni mwenyekiti wa CHADEMA taifa. Kweli CCM chama kubwa mkubali hapo kaja Mwenezi tu Hali ipo hivyo. Hivi CHADEMA Mwenezi wa...
  17. Sildenafil Citrate

    Iran yakana huhusika kwenye shambulio la Salman Rushdie. Yasema Rushdie na wafuasi wake ndiyo walaani na kukemea tukio hili

    Zikiwa zimepita siku mbili tangu Salman Rushdie ashambuliwe kwa kuchomwa kisu sehemu mbalimbali za mwili wake kisha kulazwa chumba cha wagonjwa mahututi huko Marekani, msemaji wa Wizara ya Mambo ya nje ya Iran Nasser Kanaani amefutilia mbali madai yanayoendelea kushika kasi kuwa serikali ya nchi...
  18. JanguKamaJangu

    Wafuasi wa CHADEMA waliokabiliwa na kesi ya mauaji waachiwa huru Katavi

    Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Isengule Mkoani Katavi, Ocsar Sangu na wenzake watano ambao ni wafuasi wa CHADEMA waliokaa mahabusu kwa miaka minne wameachiwa huru baada ya kubainika hawana hatia Walikuwa wanakabiliwa na tuhuma za kuwaua wafanyabiashara waliokuwa wakinunua mazao katika Kijiji Chao...
  19. Inside10

    Wafuasi wa Askofu Mwaikali wasusa ibada Mbeya

    Mbeya. Baadhi ya waamini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde usharika wa Ruanda, wanaomuunga mkono Askofu Edward Mwaikali aliyeondolewa katika kanisa hilo, wamesusia ibada kwa kile kinachoendelea juu ya mgogoro katika kanisa hilo. Hatua hiyo imekuja baada ya...
  20. J

    Kwanini wafuasi wa Hayati Magufuli wanachukia maridhiano ya Rais Samia na Wapinzani, hawataki amani?

    nimekuwa nikifuatilia mtandaoni na mtaani, Rais Samia akikutana na wapinzani kujadili mambo ya siasa au mambo mengine, wafuasi wa Magufuli wamekuwa wakichukia na kutukana sana Ilianzia Samia alipokutana na Tundu Lissu alipoenda Ubelgiji, wafuasi wa Magufuli walilaumu sana na kudai Samia...
Back
Top Bottom