waganga njaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hapa ndo unaona Tofauti ya wenye Dini na Sisi Vilaza, Vibaka, Waganga Njaa, Matapeli.

    Sisi tulichoweza ni kufuga ndevu na kupaka Henna, lakini Elimu kama Elimu hatukuwahi kupata tukisha kariri mistari na kuvaa vipedo basi tunaamini tushamaliza. Wapo wenye Dini yao. Hao huwa wanakuwa tofauti na kuwa na Uelewa wa tofauti sana. Mpaka utashangaa sisi mbona ni kama nyumbu, manyani...
  2. JamiiForums Tanzania Waliokwenda kwa Mwenyekiti wote waganga njaa hakuna kitu palee

    Njaa mbaya sana kosa yootee sio njaa KUNA wah walienda kwa mwenyekiti WA chadema wakitaka agombee tenaa. Wale jamaa ukiangalia kuanzia sura zaoo na maneno yao. utaona Hawa jamaa waganga njaa Walishtuka wakahisi mbowe akiondoka maisha yao na maslahi yaoo yatakuwa hatarinii Siasa mchezo...
  3. JamiiForums Tanzania Ile dhana kuwa CHADEMA ni waganga njaa na walamba asali imeyeyuka ghafla. Wanaonekana wanauchungu na rasilimali za taifa lao. Wanaamika japo sio sana

    Huko nyuma walianza kuonekana kama waganga njaa ambao wanatumia siasa kujinufaisha. Ndio maana wakiitwa Ikulu wanakimbia kula pilau na juice. Leo hii wamekomaa na Sakata la Bandari. Wamechambua na kueleza namna huu mkataba haufai. Wananchi wanawaamini kama Wapinga ufisadi Wamerejesha imani...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Sio kweli kuwa CCM imesimika mizizi kiasi cha kutoachia dola. Bali hakuna upinzani madhubuti Zitto na Mbowe ni waganga njaa

    Hali ni mbaya sana kwa wananchi wa kawaida. Watu hawana hata uhakika wa kula. Leo hii nafaka zimepaa. Wananchi wanakosa hata pesa ya kupeleka shule na kununua sare. Maji mijini na vijijini yanapatikana kwa shida. CcM imefeli. Imefanikiwa kupandikiza mamluki ACT Wazalendo na CHADEMA.
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni

    Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni.
  6. JamiiForums Tanzania Haileweki kama sasa CHADEMA ni wapinzani au waganga njaa. Maana hata njaa walizotegemea kupozwa hazijawatoa mrithi. Wajanja wachache wameshiba kidogo

    Upinzani sio kuwa mpinge kila jambo. Upinzani sio kukomaa na kushikana mashati. Lakini sio kwa kuendekeza njaa na kuonesha wazi kuwa una njaa. Njaa za kushibisha matumbo njaa! Wananchi wanaona kwa macho. Sasa mmeambulia nini? Wakiopata chochote kitu ni Mbowe na wajanja wachache.
  7. JamiiForums Tanzania Wanaharakati wetu wengi wao ni waganga njaa wanataka Rais wetu alindwe na Sungusungu

    Wanaukumbi. Hawa wanaojiita wanaharakati wengi wao ni waganga njaa wanasema Rais analindwa na ulinzi wa kidikteta daaah wamekosa agenda kwa hiyo walitaka alindwe na mgambo au Sungusungu ndiyo wafurahi. Wanajiita wanaharakati za haki za binadamu lakini kwenye ulinzi wa Rais wanaonyesha chuki ya...
  8. JamiiForums Tanzania Wanahabari na vyombo vyao wengi ni waganga njaa kuliko kutoa huduma ya habari

    Wanahabari wengi na vyombo vyao zaidi wapo kufanya biashara kuliko kutoa huduma sahihi ya habari. Wakiwa chini ya ushawishi mkubwa wa falsafa ya kimagharibi wanaona habari za uzushi uongo kuhusu sera zinazochukiwa na wazungu ndio zinauza kuliko kuandika au kusema kweli yenye manufaa kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…