Hapa ndo unaona Tofauti ya wenye Dini na Sisi Vilaza, Vibaka, Waganga Njaa, Matapeli.

Hapa ndo unaona Tofauti ya wenye Dini na Sisi Vilaza, Vibaka, Waganga Njaa, Matapeli.

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Sisi tulichoweza ni kufuga ndevu na kupaka Henna, lakini Elimu kama Elimu hatukuwahi kupata tukisha kariri mistari na kuvaa vipedo basi tunaamini tushamaliza. Wapo wenye Dini yao. Hao huwa wanakuwa tofauti na kuwa na Uelewa wa tofauti sana. Mpaka utashangaa sisi mbona ni kama nyumbu, manyani, sokwe na mafisi?
 
Attachments

  • Screenshot_2026-01-01-07-51-27-913_com.instagram.android~2.jpg
    Screenshot_2026-01-01-07-51-27-913_com.instagram.android~2.jpg
    187.4 KB · Views: 33
  • Screenshot_2026-01-01-07-51-53-871_com.instagram.android~2.jpg
    Screenshot_2026-01-01-07-51-53-871_com.instagram.android~2.jpg
    185.5 KB · Views: 29
  • Screenshot_2026-01-01-07-52-01-407_com.instagram.android~2.jpg
    Screenshot_2026-01-01-07-52-01-407_com.instagram.android~2.jpg
    125.4 KB · Views: 23
  • Screenshot_2026-01-01-07-51-58-189_com.instagram.android~2.jpg
    Screenshot_2026-01-01-07-51-58-189_com.instagram.android~2.jpg
    128.9 KB · Views: 30
  • Screenshot_2026-01-01-07-52-10-636_com.instagram.android~2.jpg
    Screenshot_2026-01-01-07-52-10-636_com.instagram.android~2.jpg
    112.9 KB · Views: 33
  • Screenshot_2026-01-01-07-52-07-498_com.instagram.android~2.jpg
    Screenshot_2026-01-01-07-52-07-498_com.instagram.android~2.jpg
    213 KB · Views: 31
  • Screenshot_2026-01-01-07-52-17-094_com.instagram.android~2.jpg
    Screenshot_2026-01-01-07-52-17-094_com.instagram.android~2.jpg
    103.7 KB · Views: 30
  • Screenshot_2026-01-01-07-52-13-919_com.instagram.android~2.jpg
    Screenshot_2026-01-01-07-52-13-919_com.instagram.android~2.jpg
    93.2 KB · Views: 29
Kitu cha kuletewa kina kuja na mchezo wa draft.

Na aliyekueletea wala habari nacho hana.

Kuna mada hapa JF walifuta sijajua shida ni nini.
Dini ya kiislamu ina madhehebu mengi ila wanabisha wengi.

uwezi kusema uislamu ni dini moja wakati mnapingana.

uislamu wa irani sio wa saudia.Kuna makundi yanajifichia misikitini na kutengeneza misimamo yao sawa kama unavyo waona mwamposa.

Uwezi sema mafundisho ya mombasa kipindi cha marehemu shaikh logo ya kawa kama kariakoo msimbazi.
 
Nini tofauti ya uislam wa saudia na Iran?
Acha kupotosha
 
Waislam wengi wa hapa tanganyika uelewa wao n mdogo sana wanachojua wao n chuki dhid ya din nyingne wanasahau kuwaelimisha waumin wao

Hv mshajiuliza kama mimi juu ya hili ..huduma za kijamii kama MAHOSPITALI VYUO SHULE wao syo kipaumbele kabisa na hapo ndipo wanapozidiwa kete na dini nyingne
Mfano mdogo n huko nilokotokea mimi SONGEA (RUVUMA) hawana hata chuo cha ufundi au hospital kama shule labda n mbili hazikidh idadi yao

Sasa kwa hali hii utapataje watu royal yaan wafia din ambao wanaweza kuupeleka uislam.mbele kisasa zaid

Huko wilayan hali n mbaya kabisa kuna vjj watu wanaswal kwenye matembe lakn hakuna wakuwasaidia
 
Back
Top Bottom