waganga wa kienyeji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TURIAN

    Radio Free Africa na waganga wa kienyeji

    Radio free Africa naona sasa imeshapoteza credibility yake kitambo. Sasa hivi imejaa vipindi vya waganga wa kienyeji tu. Sasa hivi nasikia mtu anajiita chief Magema anajitangaza kuwasaidia watu na kutaja namba zake za simu, kama sio utapeli huu ni nini!!? Hapa RFA mnaelimisha nini zaidi ya...
  2. F

    Hakuna mganga wa kienyeji wa ukweli, wote ni matapeli. Mtu anayetoa ushuhuda kuwa mganga fulani ni kiboko huwa ni dalali wake

    habari wadau. Tanzania ni mojawapo ya nchi zenye raia wengi wanao amini imani za kishirikina. hivyo waganga wa kienyeji wapo wengi sana Tanzania. uhalisia hao waganga wote ni matapeli. wanacheza na saikolojia za wateja wao. nimekutana na video tik tok dada mmoja akieleza jinsi alivyotapeliwa...
  3. Vincenzo Jr

    Usipende kwenda kwa waganga wa kienyeji

    Ukiwa na shida usiende kwa waganga wa dunia, muite mfalme wa amani anajibu maombi.
  4. Mr Dudumizi

    Haya ni machache kati ya mengi niliyoyasikia au kuyaona kutoka kwa maustaz, wachungaji na waganga wa kienyeji. Je, na wewe ushashuhudia lipi?

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Ndugu zangu katika nchi yetu kuna watu wamekuwa wakisabishiwa, au kusababisha wenyewe vifo vya ndugu zao bila wenyewe kujijua kutokana na imani zao, au mawazo yao. Hapo chini ni matukio mawili kati ya mengi ambayo nimeyashuhudia mimi mwenyewe. 1. Mnamo mwishoni...
  5. GENTAMYCINE

    Waganga wa Kienyeji Mkoani Rukwa: Mkoa wa Rukwa tunaonewa sana huku hakuna Uchawi kama tunavyochafuliwa

    "Yaani ukisema tu unatokea Mkoa wa Rukwa unaanza Kuogopwa na kuhisiwa vibaya. Sisi kama Waganga wa Kienyeji tunasema Watu wa Rukwa siyo Wachawi na ni Watu Wastaarabu mno kuliko Mikoa mingine ambayo ndiyo ina Uchawi mwingi kuliko hapa Kwetu" amesema Mmoja wa Waganga wa Kienyeji aliyewawakilisha...
  6. UMUGHAKA

    Namna Watanzania wanavyotapeliwa na Waganga wa Kienyeji nchini Kongo

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!. Watanzania wengi wameshakata tamaa ya maisha na hii si kwa wasiyo nacho tu, bali hata kwa walionacho!. Kila mtu anatafuta pesa kwa njia anayoifahamu yeye ilimradi tu kujijengea heshima kwa watu wake wa karibu na ukoo wake kutokana na dharau ambazo...
  7. GENTAMYCINE

    Mtangazaji Farhia Middley wa Redio One na ITV: Wanawake Wanaowaendea Wanaume wao kwa Waganga wa Kienyeji wako sahihi 100%

    "Huenda kutokana na Kumpenda na kutotaka Mumewe / Mpenziwe huyo asihangaike na Wanawake Wengine anaenda huko kwa Waganga wa Kienyeji Kumroga atulie nae tu na waweze Kulea Familia pamoja hivyo hata Mimi naungana nao kwenda huko" Chanzo Taarifa: Radio One Mazungumzo ya Familia leo Haya Wanaume...
  8. Roving Journalist

    TMA yatabiri mvua za wastani lakini yatoa angalizo mvua kubwa ya vipindi vifupi katika msimu wa Machi-Mei 2023

    Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Ladislaus Chang’a ametangaza mwelekeo wa msimu wa mvua za masika zinazoanza Machi mpaka Mei, 2023 ambazo zinatarajiwa kuwa za wastani huku baadhi ya mikoa kuwa wastani na juu ya wastani. MWENENDO WA MVUA ZA MSIMU (NOVEMBA, 2022...
  9. Hemedy Jr Junior

    Kwa wale muendao kwa waganga wa kienyeji...

    👉Tambua ushaibiwa nyota yako. 👉 Umepoteza nuru yako binafsi. 👉 Umepoteza uwezo wako binafs. 👉 Hufanyi kitu bila kuwaza mashariti. 👉 Una mahamuzi sahihi kuhusu changamoto zinazokukabili. 👉 Tambua kivuli chako ndo nyota yako (kitaalamu) so kivuli chako kikifunikwa hapo huwezi fanikiwa...
  10. Pang Fung Mi

    Hivi kwanini nguvu za waganga wa kienyeji wengi wakianza ufuska/umalaya nguvu zao za tiba zinaisha?

    Wasalaam nyote, Tukubbali tukatae Rais Hassan. Anaupiga mwingi, 🙏🙏🙏🙏🙏 Niende kwenye mada moja kwa zote, katika harakati zangu za kuchangamana na watu mbalimbali sehemu nyingi katika mizunguko ya kikazi hasa ndani ya nchi si mara moja nimewasikia wakulungwa wakisema. Mganga wa kienyeji awaye...
  11. GUSSIE

    Matukio na vituko ulivyokutana navyo kwa waganga wa kienyeji

    Tujuzane matukio au vitu tulivyoona au kukutana navyo kwa waganga wa jadi au Kienyeji vya kutisha na kuchekesha, Na hii itawafunza Wengine ambao wanategemea kwenda au ambao hawajui kinachoendelea huko Mimi kama mwana siasa na mfanyabiashara haya mambo kuna wakati unataka kuyakwepa lakini kundi...
  12. J

    Sijawahi kuwasikia CHADEMA wakiambatana na Waganga wa Kienyeji

    Hawa ndugu zetu wa Ufipa st Chadema wao huwa hawajihusishi na "ndumba"? Sijawahi kuwasikia wakiambatana na Waganga wa mitishamba Hata wakati ule ilikuwa wao na askofu Gwajima au askofu Malone na hata sass wanaye askofu Mwamakula na Shehe Ponda. Isijekuwa hawa jamaa ni Mpango wa Mungu kweli...
  13. Mshana Jr

    Usianzishe biashara wala kutafuta kazi kupitia waganga wa kienyeji

    Natangaza maslahi yangu! Mimi sio mganga na sifanyi ushirikina tena! Kati ya waganga wote wa kienyeji ni asililia kumi hivi kati ya mia moja ndio wakweli na kati ya hao wakweli ni asilimia 5 tu ndio wenye masharti nafuu na wanaoweza kukusaidia moja kwa moja..! Ishu ya kuwajua feki na wakweli...
  14. chizcom

    Hivi ndiyo visa vya waganga wa kienyeji wapenda pesa!

    Waganga wa kienyeji ni watu wenye mchango mkubwa upande wa pili ndani ya ulimwengu. Hapa kuna watu povu na maneno ya kejeli yata watoka kwa sababu hizi: *Wengi wanawatumia kwa ajili ya mabaya! *Wengi ni walonzi ,wanga na wachawi. *Wengi humu mtaki kujionesha kuogopa kuwa mnatatua matatizo yenu...
Back
Top Bottom