Waheshimiwa wabunge wateule
Salaam
Ofisi ya bunge inapenda kuwaarifu kuwa katika mkutano wa kwanza wa bunge la 13
Utakao anza tarehe 11/ 11/2025 siku ya jumanne ambao ni mahususi kwa ajili ya wabunge wateule kula kiapo cha uaminifu
Wageni hawataruhusiwa kabisa kuingia katika ukumbi na viunga...