Mkutano wa kwanza wa Bunge la 13, Wageni wapigwa Stop! Hawatakiwi

Mkutano wa kwanza wa Bunge la 13, Wageni wapigwa Stop! Hawatakiwi

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Waheshimiwa wabunge wateule

Salaam

Ofisi ya bunge inapenda kuwaarifu kuwa katika mkutano wa kwanza wa bunge la 13

Utakao anza tarehe 11/ 11/2025 siku ya jumanne ambao ni mahususi kwa ajili ya wabunge wateule kula kiapo cha uaminifu

Wageni hawataruhusiwa kabisa kuingia katika ukumbi na viunga vya bunge

Hivyo tusifanye maandalizi yeyote ya mialiko ya wageni wetu wakati huu wa mkutano wa kwanza wa bunge

Nawasilisha kwenu kwa utekelezaji

Hii nimekopi na kupesti🔻
 
WAHEHawaSHIMIWA WABUNGE WATEULE

SALAAM

OFISI YA BUNGE INAPENDA KUWAARIFU KUWA KATIKA MKUTANO WA KWANZA WA BUNGE LA 13

UTAKAO ANZA TAREHE 11/ 11/2025 SIKU YA JUMANNE AMBAO NI MAHUSUSI KWA AJILI YA WABUNGE WATEULE KULA KIAPO CHA UAMINIFU

WAGENI HAWATARUHUSIWA KABISA KUINGIA KATIKA UKUMBI NA VIUNGA VYA BUNGE

HIVYO TUSIFANYE MAANDALIZI YEYOTE YA MIALIKO YA WAGENI WETU WAKATI HUU WA MKUTANO WA KWANZA WA BUNGE

NAWASILISHA KWENU KWA UTEKELEZAJI
Hawa ndo walioshinda kwa 98% au kuna wengine?
 
Waheshimiwa wabunge wateule

Salaam

Ofisi ya bunge inapenda kuwaarifu kuwa katika mkutano wa kwanza wa bunge la 13

Utakao anza tarehe 11/ 11/2025 siku ya jumanne ambao ni mahususi kwa ajili ya wabunge wateule kula kiapo cha uaminifu

Wageni hawataruhusiwa kabisa kuingia katika ukumbi na viunga vya bunge

Hivyo tusifanye maandalizi yeyote ya mialiko ya wageni wetu wakati huu wa mkutano wa kwanza wa bunge

Nawasilisha kwenu kwa utekelezaji

Hii nimekopi na kupesti🔻
Kama una namba zao waambie wataalam wa mipango ya vita wanaforce people zitokee hapo.
 
Hata "yule" ulinzi kwa sasa utakuwa siyo wa nchi hii.
 
Ndio hao haoo, hapo wanataka ku justify kumbe hata ile rais haramu kwenda kuapishiwa kule mafichoni ilikuwa sawa tu...kwamba ni sehemu ya mabadiliko kdg mapya chama cha mapinduzi kimeamua kuja nayo hahahhaaa
TUnaongozwa na wajinga kweli kweli mkuu
Wapumbavu sana hawa.

Wananchi wenye akili tumewakataa wao wanaforce mambo.

Kuna lile zuzu manara limezomewa miksa kuimbiwa wimbo wa hatuitaki CCM mpaka anashangaa.
 
Back
Top Bottom