Mkutano wa kwanza wa Bunge la 13, Wageni wapigwa Stop! Hawatakiwi

Mkutano wa kwanza wa Bunge la 13, Wageni wapigwa Stop! Hawatakiwi

Keyboard warrior
Hili neno nakumbuka limeandikwa kwa muda mrefu sana kabla ya MO29. Kuti la mazoea ndilo humwangusha mgema, endeleeni tu kupuuza matakwa ya wananchi huku mkiendelea kuwakejeli
 
Hili neno nakumbuka limeandikwa kwa muda mrefu sana kabla ya MO29. Kuti la mazoea ndilo humwangusha mgema, endeleeni tu kupuuza matakwa ya wananchi huku mkiendelea kuwakejeli
Keyboard warrior wote wazima,waliokufa watoto chini ya miaka 30,mmetumia ujinga wao kuwaumiza
 
Labda wanataka kupindua meza (hivi nawaza nini?🤔)
 
Hata Wana familia hawaruhusiwi ?

Hii serikali ya Sasa ni fedheha Tupu
 
Wale wahalifu kutoka nje ya nchi waliofanya bado wapo nchini.
Najiuliza wale 98% waliomchagua yule maza wakwapi? Maana hata kwenye uapisho hawakukaribishwa.
Tumeumia sana kuambiwa tukae na vibendera tufuatilie TBC

😂
 
Back
Top Bottom