Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA) imesema imetandaza maafisa wake kila sehemu kuhakikisha wanafatilia kwa karibu mchakato wa watia nia ya kugombea nafasi za uongozi kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025
Akizungumza na wasafi media Mkurugenzi Mkuu wa ZAECA Ali Abdalla...